Kwanini mara nyingi mwanamke anapotangulia kufariki mume naye huwa hachukui siku nyingi?

Kwasababu ya mabadiliko ya tabia nchi,binafsi nilipofariki mke wangu alinifuata chap,nadhani ni kutokana na wivu wa kimapenzi,hakutaka nukutane na warembo wa peponi.
 
Kweli tumefikia huko!!??
 
Mke wa Adam Yupo

Mke wa Musa Yupo

Mke wa Yusuph yupo

mke wa Abel yupo

inafikirisha sana
 
Kwahiyo unataka kutuambia mtangazaji wa wasafi!
 
Wanaume mara nyingi hasa umri ukiwa umesonga hatupendi kufanya replacement hali inayopelekea UNYONG'ONYEVU kutukaba koo na kutukosesha pumzi kinyume na wanawake wao kama haupo machoni pake ana KUSAHAU MUDA ULEULE.
 
Marehemu babu yangu na bibi yangu walitofautiana siku 2 alianza bibi, Mungu awarehemu.



MAGUFULI4LIFE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…