Kwanini Marais wa Kiafrika hawathaminiwi wakienda Nchi za Ulaya?

Hapa kuna vitu viwili vya kuelewa;
1. Huu ni ugeni wa UN hivyo Us hawezi kugharamia mgeni asiyekuwa wake isipokuwa ulinzi wakawaida tu

2. Unajua ukienda kwa tajiri utapokelea na walinzi lakini tajiri akija kwako atapokelewa na ukoozima na majirani tele
 
Mbona unalinganisha binadamu mkuu na sokwe.
Afrika sio kabisa sijui Bora tu mzungj arudi amtawale.
Kiongozi hawazi nchi yake. Anaangalia kuridhisha nafsi yake
 
Atapokea wangapi? Kila week atashinda Airport?
Pia wengi wetu wanaenda kuomba so lazima wa waoneshe kutojali coz hawana shida kama zako.
Mbona Nyerere alikuwa ana pokelewa na viongoz wakubwa, mfano Queen Elizabeth, John Kennedy tena kwa heshima
 
Angekua Nyerere ingekua ishu ingine

Angekua Kikwete ingekua ishu ingine

Angekua Uhuru Kenyatta ingekua ishu ingine

Angekua Raila Odinga ingekua ishu ingine

Angekua Ramaphosa ingekua ishu ingine

Ila ni huyo nanii wenu who cares aisee?Kafieni huko
Ongeza Hayati Magufuli hapo..
 
😲😲Mkuu wewe ni mkomunisti eee?!! 🤣
Yes! Ubabe wa kimaendeleo lazima itumikemwanzoni ili tupate maendeleo na sio kukaa kupigapiga mdomo tu.
Tukishakuwa na maendeleo achia Uhuru hata ukitaka kulana hadharani nyie kuleni Ila sie masikini ni kuchapa kazi tu.
Mkulima apewe kila kitu afu asipozalisha atoe maelezo tatizo kulikuwa ni Nini.
 
Mbona Nyerere alikuwa ana pokelewa na viongoz wakubwa, mfano Queen Elizabeth, John Kennedy tena kwa heshima
Nyerere alikuwa alikuwa utafananisha na Hawa mafisadi wa siku hizi kweli.
Kumbuka hao vizazi vya 1920s walikuwa tayari kufa ili nchi zao wapate Uhuru.
Siku hizi wako tayari kuuza nchi zao wapate hela.
So imekuwa vice versa.
 
C ameenda kwenye mkutano wa UN ambao unajumuisha maraisi wengi sasa unadhani watapokea wangap mkuu, wataacha kufanya kazi zao za kujenga taifa kazi iwe kupokea tuu
 
Kwani siku ile hayalt magufuli anakabidhiwa uenyekiti wa sadec,Marais wa nchi za sadec walikua wanapokelewa na Nani hapa Tanzania.
 
Kuna mkutano wa UN na hakwenda kwa mualiko rasmi wa rais wa marekani....
 
Ungejua wamarekani wengi hata hawajui kuwa kuna nchi inaitwa Tanzania sasa sembuse rais wake. Hii tabia ya kutetemekea watawala na kuwasujudia ni kwa waafrika tu.
 
Nashangaaa Kama weee
 
Mkome! Nyie ndio siku zote mnashobokea wazungu.
 
Ushawahi kumuona tajiri anajipendekeza kwa watu wenye hali duni
Mbona aliyekaribiswa ni tajiri kuliko wao waliomkaribisha? Hivi hayati JPM kumbe hakuwahi kueleweka? Apumzike kwa amani.
Ni staili yao ya mapokezi tu, wanajua viwanja vyao vya ndege viko salama, especially wanapokuwa wana uhakika kuwa hakuna watu maghaidi ambao wanaweza kuwa wapo maeneo yale
 
ma rais wetu huitwa wanaotokea nchi zisizo na ustarabu (hovyo)

a)wakuheshimu wann akati unaenda kuomba msaada

b)marekani inahusikaje hapo kwani ndio kawaita hapo inahusika UN iliyowaita huko kwamkutano

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Hawa jamaa huwa wanathamini what’s in your heart and what’s in your head! hawajali saana profile yako! Wakisha jua una natural power of love watakupa unyenyekevu feki ilimradi wapate ideas kutoka kwako! Zikiisha jipange kupambana na FITINA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…