Kwanini Marais wa Kiafrika hawathaminiwi wakienda Nchi za Ulaya?

Mathalani Rais wetu kipenzi mh. SSH amekwenda MAREKANI kwa ajili ya MKUTANO WA UMOJA WA MATAIFA-UNITED NATIONS GENERAL ASSEMBLY(UNGA) ambao huhudhuriwa na marais wengi sasa ulitaka AKAPOKELEWE NA mh.Rais Joe Biden?!!!Khaaa😲
Apokelewe na balozi wetu au mwambata wa kijeshi
 
Inawezekana hajui, itapendeza zaidi wewe unayejua ukamwelimisha.
Huyo analeta ushabiki tu Marais wa nchi mbalimbali wanahudhuria mkutano na mapokezi ni kama hayo hayo why washangae ya Rais.
 
But he has a point
Hana point huo ni mkutano wa UN mkuu na sio mwaliko wa Rais Biden so kuna utifauti, pia nyie mumezoea mapokezi ya kishamba ka yetu kule mbelezi hamna huo ujinga
 
Rais hawezi kupokelewa na Rais wa marekani kwa kuwa Samia hakwenda Marekani kwa mwaliko wa Rais wa marekani bali amekwenda kuhudhuria kikao cha UN .UN iko indepemdent kabisa na mambo ya nchi pale Marekani na ndio maana hata kama una vikwazo vya nchi kama ilivyokuwa Zimbabwe na Libya Marais wao waliruhusiwa kufika NY kuhudhuria mkutano wa UN na kurudi bila kukataliwa na US Government.So Biden hausiki hata kidogo na UN meeting nae ataenda kama marais wengine walioenda.Kama Samia atakwenda Marekani kwa Ziara ya kiserikali na amealikwa au ameomba na serikali ya Marekani wamekubali basi atapokelewa kiserikali na rais wa marekani na ungemwona Ikulu ya Marekani.
 
Wewe kwenu akija mgeni toka kijijini huwa unampokeaje? Unamchukuliaje? Yaani hata haushtuki
 
Ningekuwa huko ningembebea bango la Chadema Lives Matter
 
nahisi kwenye hotuba yake atazungumzia wanawake kupewa nafasi za uongozi kama vile yeye ndio mwanamke wa kwanza kutawala
 
Alienda kama rais JMT kwa mwaliko maalum na JF Kennedy,sio kuhudhuria UN Comittee.
Akienda kwa 'mwaliko' nafasi ya urais inapanda na akienda kuhudhuria nafasi ya urais inashuka?.

☝🏾 Sijakuelewa una maana gani 🤔!.
 
Kwani hiyo ni state visit?

Wapo waliofanya state visit na wakapokelewa kama Huku


 

Munawafanyia yoote ayo,, mwisho wa siku mwafrika ni SOKWE.


Kwenye nchi za kiarabu huwezi kuta ushenzi kama huo. Refer nyerere na kikwete walivyopokerewa na kukirimiwa na waarabu wa oman. Ndiyo mtambue waarabu ni watu wema na karimu munoo kuliko jamii yoyote duniani. Wabarikiwe sana.
 
Kwani alishidwa kumtuma balozi wa Tanzania-marekani amuwakilishe acha aonekane kama mwanasesere tu
 
Yeye siyo mgeni wa Marekani.Amekwenda UNO ambayo iko Marekani
 
Hii ni dharau kubwa! Rais wa nchi anapokelewa kama mtendaji wa kijiji! Pia kulikuwa na ulazima gani kwenda huko?? Sijasikia Uhuru Kenyatta wa Kenya au M7 au Rais mwingine wa EA aliyehudhuria
 
Marais wa nchi za Afrika zaidi ya 90% wanatamani kwenda Marekani pia.
Sasa hao Marekani watapokea watu wangapi? Huyo Rais wa Marekani si ataishi airport sasa?
 
Magufuli tutakukumbuka daima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…