Tatizo siyo kuwakazia mataifa ya nje...
Tatizo linakuja pale unapokazia mpaka wananchi wake mwenyewe...
Cc: mahondaw
Madikteta uchwara wa Afrika hupenda sana kutumia kisingizio cha kuangalia maslahi ya nchi na uzalendo kuwatendea udhalimu wananchi wao. Nchi ambazo zimeendelea ikiwa ni pamoja na Marekani ni watetezi wakubwa wa haki za binadamu, demokrasia na utawala unaozingatia haki na sheria. Sasa wewe dikteta ukifikiri bado tunaishi enzi za old stone age (na madikteta wengi hufikiri hivyo) utakuta dunia nzima inakusuta.
Kuna ubaya gani wa kulinda maslahi ya nchi yako (yaani ukawa mzalendo kweli kweli) na wakati huo huo ukawatendea haki (haki za msingi za kibinadamu) wananchi wako na ukazingatia utawala wa sheria ambao ni silaha muhimu kulinda maslahi hayo ya nchi? Ukiona mtu hafanyi haya, huyo ni dikiteta na ni halali yake kupingwa kadri iwezekanavyo ndani na nje ya nchi.
Daaaaaaah Kwenye mfano hapo ndo ulipoaribu uhalisia wa mada, Magufuli hangalii maslahi ya nchi, ila angalia maslahi ya tumbo lakeBaada ya Rais Magufuli kuingia madarakani na kuamua Tanzania iwe nchi inayojitegemea katika masuala yake za kiuchumi pamoja na kuleta mageuzi makubwa katika mikataba ya madini na uwindaji wanyama imekuwa kero kubwa kwa hawa wa Marekani.
Namkumbuka baada ya Rais Magufuli kuingia madarakani kundi la maseneta waliwasili na kujaribu kuonana na Rais Magufuli lakini hawakufanikiwa.
Tumeona huko Venazuela na Bolivia jinsi serikali za nchi hizo zillizopata misukosuko baada ya kuvunja mikataba na makampuni za kinyonyaji za Marekani.
Watanzania tuache ushabiki wa kisiasa ni Rais Magufuli pekee ambaye atatuvusha watanzania kuelekea taifa lenye uchumi imara. Hawa wa Marekani wanapenda kukumbatia viongozi mafisadi.
Umetumwa weweMtakumbuka CCM na Rais Magufuli kwani hata Kenya walimwita hayati Rais Moi Dictator. Walimwondoa kwa mbwembwe na kupata katiba mpya lakini leo wakenya wamekuwa masikini kuliko enzi ya utawala wa Rais Moi na Ufisadi umezidi kuwa mbaya sana. Tundu Lissu katika kampeni zake ameipa somo zuri sana CCM na nategemea CCM itafanyia kazi. President Magufuli still is the best for this country
Tatizo uyu ni mshamba.anaendesha nchi kawa wote wasukumaUko sahihi kwa asilimia 100! Naweka mkazo pale unaposema Watanzania tuache ushabiki wa kisiasa kwani Marekani wanapenda kukumbatia viongozi mafisadi. Tumeona barua aliyoandika mwanasheria wa Lissu akimuonya JPM kwa maneno makali kama vile anamuonya mtoto wake.
Umetoa mifano ya Venezuela na Bolivia ambazo zilikuwa zikijitutumua kulinda uchumi wao. Vivyo hivyo hata kwa Iraq na Libya. Tukaambiwa viongozi wao ni madikteta. Tunajionea wenyewe 'demokrasia' iliyofuatia kuuawa kwa Saddam Hussein na Moamar Gaddafi. Watanzania tujifunze kutokana na historia hiyo.
Sasa ivi wanashanga kweli kuongozwa na uyu eti phd holder.mara maendeleo hayana vyama,Mara kwenye upinzani sileti maendeleo,wanatushangaa kweeeli kweliHivi kweli watanzania leo tuone Tanzania ikiongozwa na mawaziri ya aina ya Hallima Mdee, Lema ama Heche. Dunia itatushangaa sana
Asante mkuu.eti nchi huru yangu 1961 halafu kuna watu wasiojulikana??upuuzi tu huo.waje tu wazunguUpo sahihi japo pia si wazungu wote.
Tatizo ni sisi viongozi weusi tukipata madaraka akili zetu huehuka na kujiona miungu.
Mtu anapost kibonzo cha happy birthday - anaswekwa ndani.
Mtu akikosoa jambo- jela
Mkosoaji anawindwa kuliko jambazi. Watu wanaishi kwa hofu nchini mwao.
Kweli tulinde mali zetu lakini tusinyanyasane.
Tuheshimu katiba na sheria zetu.
(Hapo ukute hata majibu haya tu tayari naanza kuwindwa)
Inasemekana hio ni fomu kutoka sehemu za Tunduru wameletewa,angalia hayo majina utajua imenyofolewa sehemu gani hapa Tanzania bara.#ZEC mnaulizwa hawa Wapiga Kura yenu ya Mapema hapo tarehe 27/10/2020 mmewatoa wapi katika mitaa na vijiji vya #Zanzibar? Maana Raha ya #Zanzibar tunajuana kila mtaa na kijiji. Mliwaandikisha lini? Kama mmeamua kuuharibu huu Uchaguzi nyiye ndiyo mtakaowajibika kwa matokeo ya matendo yenu.
View attachment 1610078
Usidanganyike mkuu Marekani anapenda sana kuona nchi inakuwa failed state ili waibe mali asili mfano halisi ni huko Syria kwasasa Wamarekani wanaiba mafuta nchini humo baada ya kuanzisha vita kwa jina la demokrasia
US Firm Secures Oil Deal with US-Backed Forces in Syria
An American company has reportedly reached a deal with Kurdish forces in northeast Syria to develop and export crude oilwww.voanews.com
U.S. Troops Really Are in Syria to Protect the Oil—for the Kurds
It’s the only way to get Trump to keep troops on the ground.foreignpolicy.com
Unatuambia sisi kinakuhusu nini??? Hujui siasa za mashariki ya kati kwa iyo kaa kimya. Kwa Mashariki ya kati Marekani anataka mtu wa kuhakikisha Israel inakuwa salama tu!Mbona Rais wa Misri Sisi ni dikteta na muuaji mkubwa lakini mpaka leo anapewa misaada na heshima zote na Marekani.
Hawa Marekani ni wahuni wakubwa
Maslahi ya nchi au wananchi?Baada ya Rais Magufuli kuingia madarakani na kuamua Tanzania iwe nchi inayojitegemea katika masuala yake za kiuchumi pamoja na kuleta mageuzi makubwa katika mikataba ya madini na uwindaji wanyama imekuwa kero kubwa kwa hawa wa Marekani.
Namkumbuka baada ya Rais Magufuli kuingia madarakani kundi la maseneta waliwasili na kujaribu kuonana na Rais Magufuli lakini hawakufanikiwa.
Tumeona huko Venazuela na Bolivia jinsi serikali za nchi hizo zillizopata misukosuko baada ya kuvunja mikataba na makampuni za kinyonyaji za Marekani.
Watanzania tuache ushabiki wa kisiasa ni Rais Magufuli pekee ambaye atatuvusha watanzania kuelekea taifa lenye uchumi imara. Hawa wa Marekani wanapenda kukumbatia viongozi mafisadi.
We unadhani ni kwa sababu gani uchumi wetu haufiki angalau asilimia 50% ya ule wa china ikiwa tumepishana miaka 11 pekee kiungozi?Chama Cha kikominist cha China kimetawala miaka 70 na leo China ndio nchi yenye uchumi mkubwa duniani. Rais Magufuli ametawala miaka 5 na ameonyesha uwezo mkubwa kwanini asipewe miaka 5 mingine akamilishe kazi zote alizozianzisha.
Nakuheahim sana The BossNa Japan je?
Mkuu unaongelea vikwazo 2025? Amini usiamini ngoja jiwe atangazwe na tume alafu baada ya muda utaniambia,l. Tena yawezekana ikawa vikwazo na baadhi ya watu kuburuzwa The Hague, mark my wordHaiwezekani uminye uhuru na demokrasia watu wakuangalie tu.
Unafosi tulia na gambo wawe wabunge, ndo wananchi wanavyotaka? Nec na polisi wanavuruga uchaguzi halafu wananchi wakae kimya kisa nini
Sauti za wananchi zimefika ulaya ila kwa sasa bado sana 2025 ujinga huu ukiendelea tutalambishwa vikwazo hapo kipindupindu kitarudi na dawa hakuna
Namibia wana UCHUMI mzuri sana, tatizo la Magufuli hana utuBaada ya Rais Magufuli kuingia madarakani na kuamua Tanzania iwe nchi inayojitegemea katika masuala yake za kiuchumi pamoja na kuleta mageuzi makubwa katika mikataba ya madini na uwindaji wanyama imekuwa kero kubwa kwa hawa wa Marekani.
Namkumbuka baada ya Rais Magufuli kuingia madarakani kundi la maseneta waliwasili na kujaribu kuonana na Rais Magufuli lakini hawakufanikiwa.
Tumeona huko Venazuela na Bolivia jinsi serikali za nchi hizo zillizopata misukosuko baada ya kuvunja mikataba na makampuni za kinyonyaji za Marekani.
Watanzania tuache ushabiki wa kisiasa ni Rais Magufuli pekee ambaye atatuvusha watanzania kuelekea taifa lenye uchumi imara. Hawa wa Marekani wanapenda kukumbatia viongozi mafisadi.
Kwani ni serious kiasi hicho?Mkuu unaongelea vikwazo 2025? Amini usiamini ngoja jiwe atangazwe na tume alafu baada ya muda utaniambia,l. Tena yawezekana ikawa vikwazo na baadhi ya watu kuburuzwa The Hague, mark my word
Hii pumba uliyoandika hapa haiendani kabisa na umri wako. Daah..Mabeberu wanapenda nchi zenye amani na viongozi walarushwa ili wazinyonye vizuri.
..Tanzania na Magufuli wanavyo vigezo nilivyovitaja hapo juu.
..Amani ikikosekana hapa Tanzania, makampuni ya madini kama Barrick hayataweza kuchimba madini.
..Pia kukiwa hakuna kiongozi fisadi kama Jiwe, Tanzania haitanunua midege tusiyoihitaji toka kwa mabeberu.
..Kwa hiyo Mabeberu kama Marekani wanapenda Tanzania iwe na amani, na zaidi iwe na kiongozi fisadi anayewapelekea mapesa ya bure kama Jiwe na miradi yake ya ununuzi wa midege[dreamliners] tusiyoihitaji.
cc Chige