Kwanini Marais wastaafu? Ni upendeleo?

Kwanini Marais wastaafu? Ni upendeleo?

In Accounting and Auditing aspects the validation of the query would be hiding in details of the cost... "How much" full stop....Hivyo mjadala mzima unaanzia hapo.

What are you talking about kiddo? Hiyo benzi na nyumba mbili zinamaliza hazina ya taifa? Hiyo sio bajeti ya kampuni kiddo.
 
Wewe huna akili...

Utaratibu wa kuhakikisha tunawajali marais wastaafu unapunguza pressure za kuwafanya
'wajijali wenyewe wanapokuwa madarakani'

Faida yake ni kubwa kuliko unavyofikiri..

Halafu huu utaratibu haukuanzishwa na Samia..
Simu Ile ya msiba Kikwete alisema Magufuli alishamwambia nyumba yake iko tayari
Wanasubiri tarehe ya kumkabidhi..

Kwa yote aliyoyafanya Mwinyi nchi hii
Mpumbavu peke yake ndo anaweza sema
'hana faida tena na nchi'..

Jitu kama wewe lisilo na shukran za sacrifices
Walizofanya watu kama Mzee Ruksa Kwa nchi hii ndo jitu lisilo na faida
Naona awamu hii umechukua kijiti cha Mzee Mwanakijiji kutetea na kusifia Serikali iliyopo Madarakani iwe kwa uzuri au kwa mabaya. Kweli kutesa kwa zamu.
 
Wewe ndio huna akili...

Hakuna sacrifices zozote ambazo Mwinyi amefanya kwa nchi hii alikuwa Rais wa kawaida tu kama wengine wote.

Jiwe amejenga Chato Airport na kwao akiwa madarakani. Na wengine wote ukiacha Nyerere wamejijali sana na watu wao wa karibu wakiwa madarakani, hujui unachoongea.
Wewe huna akili...

Utaratibu wa kuhakikisha tunawajali marais wastaafu unapunguza pressure za kuwafanya
'wajijali wenyewe wanapokuwa madarakani'

Faida yake ni kubwa kuliko unavyofikiri..

Halafu huu utaratibu haukuanzishwa na Samia..
Simu Ile ya msiba Kikwete alisema Magufuli alishamwambia nyumba yake iko tayari
Wanasubiri tarehe ya kumkabidhi..

Kwa yote aliyoyafanya Mwinyi nchi hii
Mpumbavu peke yake ndo anaweza sema
'hana faida tena na nchi'..

Jitu kama wewe lisilo na shukran za sacrifices
Walizofanya watu kama Mzee Ruksa Kwa nchi hii ndo jitu lisilo na faida
 
What are you talking about kiddo? Hiyo benzi na nyumba mbili zinamaliza hazina ya taifa? Hiyo sio bajeti ya kampuni kiddo
Bosi Uttarra umeni misquote hoja yangu; Kindly Re-read my response: Mtoa hoja amesema nyumba 2 na benzi 1 tu ndio watu wanaanza mjadala...Kifupi nimehoji kuwa nyumba 2 na benzi moja ni "How much" - as per accounting and auditing aspects....Na kuwa mjadala unaanzia hapo🙂
 
Rais analizwa na maisha ya Rais mstaafu

Rais anamnunulia BENZI la dollar 400,000 Rais mstaafu.?

Wakati huo mwanae akiwa Rais wa Zanzibar.

Rais anahailisha mechi inayofatiliwa na watu zaidi ya million 200+ Africa kwa sababu ya kitabu cha maisha yake. Maana yake unajali MTU kuliko watu.

Rais anampa nyumba Rais aliyekaa madarakani na kuchuma pesa ndefu sana ndani ya utawala wake zikiwemo kashifa kibao za wizi wa pesa za umma kama Richmond, Escrow, Dowans na kashifa ya bomba gesi kutoka mtwara.

Rais anaagiza Rais aliyefariki madarakani stahiki zake ziwaishwe

Vipi stahiki ya watumishi wengine ambao wamefanya kazi kwa uaminifu na uzalendo lakini mpaka leo wanakanyaga mpaka sole za viatu zinaisha wakifatilia mafao NSSF.

Tundu Lissu alinyang'anywa ubunge na mpaka leo hajalipwa chochote ccm mnatawala nchi kwa misingi gani?

Wakati huo bado watoto wetu wanakaa chini

Madawa hakuna kwenye zahanati

Vyumba vya madarasa havitoshi

Walimu hawatoshi

Nyumba za walimu hakuna

Madakitari na manesi hawatoshi

Barabara nyingi bado hazipitiki

Huduma ya maji na umeme bado duni

Hakika nawaambia ccm hii laana itawatafuna kwa miaka mingi ijayo Baba wa taifa na familia yake ndiye alitakiwa kuenziwa kwa vitendo maana yeye hakuiba pesa kama waliomfuata.

Kama nchi tumepotea.
 
Sheria za Unyinyaji hizo. Ndiyo maana wengine waliona aibu kuitekeleza.

By the way, kama gari anapewa kwa mujibu wa katiba kwa nini wanasema ni zawadi ya birthday.
Wote wamepewa mkuu.... kuanzia Mwinyi, Mkapa na sasa Kikwete.

Hilo la kuita zawadi hata mimi nashangaa. Labda kapewa zawadi kweli nje ya analostahili.
 
Wewe huna akili...

Utaratibu wa kuhakikisha tunawajali marais wastaafu unapunguza pressure za kuwafanya
'wajijali wenyewe wanapokuwa madarakani'

Faida yake ni kubwa kuliko unavyofikiri..

Halafu huu utaratibu haukuanzishwa na Samia..
Simu Ile ya msiba Kikwete alisema Magufuli alishamwambia nyumba yake iko tayari
Wanasubiri tarehe ya kumkabidhi..

Kwa yote aliyoyafanya Mwinyi nchi hii
Mpumbavu peke yake ndo anaweza sema
'hana faida tena na nchi'..

Jitu kama wewe lisilo na shukran za sacrifices
Walizofanya watu kama Mzee Ruksa Kwa nchi hii ndo jitu lisilo na faida
Hawa watu kila kitu kwao ni nongwa
 
hakuana upendeleo bali ni kwa mujibu wa sheria inayolenga kuwatunza na kuwahudumia Marais wastaafu
 
Wote wamepewa mkuu.... kuanzia Mwinyi, Mkapa na sasa Kikwete.

Hilo la kuita zawadi hata mimi nashangaa. Labda kapewa zawadi kweli nje ya analostahili.
Mkuu hilo la kupewa ndipo tatizo lilipo. Wangekuwa wanahudumiwa tu na serikali tungeelewa. Walikuwa wanafanya kimya kimya sasa Siku hizi toka Mwendazake awafundishe watu ubabe basi wanafanya tu mambo yao bila kuona aibu kwa madai ya kwa mujibu wa katiba ambayo pia wamejitungia wenyewe hivyo vipengele.

Hizo sheria zilitungwa wakati wa Mkapa, ila inaonekana waliona aibu kuitekeleza mpaka awamu ya 5 ambayo ilikuwa haina mshipa wa aibu. Mama naye inaonekana staendelea na hii katiba kandamixi ili mwisho wa Siku anufaike.
 
Kama viongozi wanapeana magari na mahekalu. Hao wamekaa ikulu for ten years, free accommodation, transport na food. Na bado wana pension nzito, vipi tena hizo zawadi. Mtu wa kawaida, no lakini wao kuna hela. Sure ten years wamesave mno. JK alikuwa waziri wa madini kumbukeni hilo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Endeleeni kudemka!

Mama si anawakomesha mataga,
 
She is really fooling us. Huyu mama si ndiye aliyesema Magufuli mzima kumbe amekufa. Problem ya wabongo, huwa tunasahau mambo haraka sana. 10 years of stupidity. Kazi inaendlea - what a stupid slogan. Na Mimi natKa hekalu na gari! RIP JPM
 
Naona awamu hii umechukua kijiti cha Mzee Mwanakijiji kutetea na kusifia Serikali iliyopo Madarakani iwe kwa uzuri au kwa mabaya. Kweli kutesa kwa zamu.
Nchi hii itapiga hatua kubwa sana ya maendeleo pale tutakapoacha UDINI, UKANDA NA UKABILA kwa moyo wote!
😅
 
Mimi nawashauri waendelee kukizwadia tu. Watoto wetu wapo uchi mtaani, wake zetu wapo mahospitali wanalala chini, vijana hawana kazi nk. Nyie endeleni tu. Mungu awabariki
 
umetokwa povu bila sababu za msingi kiongozi.

vyote alivyovifanya bi samia viko kwa mujibu wa katiba na sheria,kulikuwa na ulazima gani wa kuvifanya special mpaka namna hii kuonekana anapuuza mambo mazito zaidi!!!!
wacha nikuelimishe,jk mfano tu ana mansion msoga,ana jumba mikocheni,na hilo alilopewa leo,inatakiwa ajaliwe namna gani mpaka ionekane sasa katunzwa mzee wetu!!!!

mzee mwinyi ana nyumba zanzibar,ana nyumba msasani na ile alipewa na marehem mwendazake nayo ni nyumba haswaa,bado kijana wake ni amiri jeshi kisiwani.jana ilifaa mama aseme"mzee nakubadirishia gari upewe fupi inayoendana na wewe"sio nakuzawadia gari nyingine,halafu wazee wote wastaafu wana gari ndefu zisizowafaa akiwemo mzee msuya,sijui kama mama yenu ana taarifa.au kamwona mwinyi peke yake.

serikali yenyewe imeweka utaratibu wa kuwatunza wazee hao,makazi,malipo 80%,matibabu daraja la kwanza,ulinzi na makazi bora.haifai mtu yeyote kuja kufanya ni kama zawadi,maana analazimika kufanya hayo.

Excellente
 
Kama uliwahi sikia ile kauli ya “Kijiba cha Roho” basi ndio inajidhirisha humu yani wabongo kwa roho za kwanini flani kapata ndio maana hatuendelei!

Yule mzee ni public figure na ame serve kama president of the united republic!
 
Yaani kuna watu wameridhika kunyonywa, eti wanawatetea hao wazee kwa kigezo cha sheria waliozipitisha wao, au kuzilinda wao zisibadilishwe!

Watanzania wa hivi hawana tofauti na Wana Wa Israel wenye kumtetea Farao kuwa alikuwa na haki kufanya yale aliyoyafanya kisa eti alikuwa mfalme na mfalme alikuwa na haki ya kufanya alitakalo!

Kumkomboa kifikra mtu aliyetosheka kuwa mtumwa wa kifikra ni kazi kwelilweli!

Wengine wanakuja na hoja eti, inabidi tuwafanyie hivyo ili wasiibe, Mbona sisi Makazini huko hatuibi na ilihali na nyumba tunazihijitaji pia?, kwani wakiwa maraisi hawalipwi mshahara?, wakistaafu si wanalipwa 80% ya mshahara wa rais aliyeko madarakani?, Sasa kwa nini wasijenge hiyo mijumba kwa fedha zao wenyewe?

Huwa kuna Matatizo ya Kisaikolojia ya baadhi ya victims wa abuse kuwatetea na kuwalinda abusers wao, na hili ndo ninaloliona kwa baadhi ya wana JF kutetea watawala wanaowanyonya wakati nchi hii ni masikini, kila senti ya kodi ya wananchi priority ilipaswa iwe ni kusaidia wasionacho kuliko kuendelea kuwajazia mavitu watu waliokula, wanaokula na kujaza!

Unamjengea Kikwete lijumba lote hilo kwa kodi za wananchi, hilo lijumba ataenda kukaa?, Na akikaaa then Msoga akamuachie nani, Ridhiwani?, Sasa hiyo nyumba unakuwa umemjengea Ridhiwani au Kikwete?.

UNJUST LAW IS NOT A DEFENCE FOR EMBEZLEMENT. HOW CAN YOU MAKE EMBEZLEMENT LEGAL AND THEN SEE IT AS NO LONGER A PROBLEM?

Sometimes tumieni akili mnapounga mkono ujinga!
 
Pesa zilizotumika kumnunulia hilo gari ni za walipa kodi ndio maana wanauliza kwa nini, na wana haki hiyo ya kuuliza kwa nini.

Kijiba cha roho ni maneno ya kwenye khanga kwa watu wanaooneana wivu kwa mambo yao binafsi ila sio kwa pesa ya walipa kodi.Kila senti ya kodi inayotumika ina haki ya kuhojiwa matumizi yake na kupendekezwa namna bora ya kutumika.
Kama uliwahi sikia ile kauli ya “Kijiba cha Roho” basi ndio inajidhirisha humu yani wabongo kwa roho za kwanini flani kapata ndio maana hatuendelei!

Yule mzee ni public figure na ame serve kama president of the united republic!
 
Pesa zilizotumika kumnunulia hilo gari ni za walipa kodi ndio maana wanauliza kwa nini, na wana haki hiyo ya kuuliza kwa nini.

Kijiba cha roho ni maneno ya kwenye khanga kwa watu wanaooneana wivu kwa mambo yao binafsi ila sio kwa pesa ya walipa kodi.Kila senti ya kodi inayotumika ina haki ya kuhojiwa matumizi yake na kupendekezwa namna bora ya kutumika.
Ndio kashanunua Benz sasa na hakuna kitu utafanya! Ikikuudhi kunya fenesi
 
Rais analizwa na maisha ya Rais mstaafu

Rais anamnunulia BENZI la dollar 400,000 Rais mstaafu.?

Wakati huo mwanae akiwa Rais wa Zanzibar.

Rais anahailisha mechi inayofatiliwa na watu zaidi ya million 200+ Afria kwa sababu ya kitabu cha maisha yake. Maana yake unajali MTU kuliko watu.

Rais anampa nyumba Rais aliyekaa madarakani na kuchuma pesa ndefu sana ndani ya utawala wake zikiwemo kashifa kibao za wizi wa pesa za umma kama Richmond, Escrow, Dowans na kashifa ya bomba gesi kutoka mtwara.

Rais anaagiza Rais aliyefariki madarakani stahiki zake ziwaishwe

Vipi stahiki ya watumishi wengine ambao wamefanya kazi kwa uaminifu na uzalendo lakini mpaka leo wanakanyaga mpaka sole za viatu zinaisha wakifatilia mafao NSSF.

Tundu Lissu alinyang'anywa ubunge na mpaka leo hajalipwa chochote CCM mnatawala nchi kwa misingi gani?

Wakati huo bado watoto wetu wanakaa chini

Madawa hakuna kwenye zahanati

Vyumba vya madarasa havitoshi

Walimu hawatoshi

Nyumba za walimu hakuna

Madakitari na manesi hawatoshi

Barabara nyingi bado hazipitiki

Huduma ya maji na umeme bado duni

Hakika nawaambia ccm hii laana itawatafuna kwa miaka mingi ijayo Baba wa taifa na familia yake ndiye alitakiwa kuenziwa kwa vitendo maana yeye hakuiba pesa kama waliomfuata.

Kama nchi tumepotea.
The one who wanted to bring change was killed or murdered ili waweze kula vizuri. Alikuwa amewabana for 5 years, mingine tena 5, no no - yuko wapi sasa. Na maiti yake ikatembezwa kila mahali- come and see you idiots - he is actually dead. Lini maiti ikatembezwa kama hivyo. Mtu akifa, huzikwa ASAP - na hiyo ni heshima kubwa. Walituambia eti in mzima kumbe kisha kufa, na yote hayo tumeisha sahau maana tuna akili ya mbu. Other countries hao waliokuwa wanatuambia ni mzima wangewajibishwa. Look at the slogan KAZI IENDELEE, what is that? Maana yake tuendelee kula nchi kama 6 years ago. Look at Panga Pangua - is it really necessary, why did she not object as VP? not consulted in such appointments - not sure. KAZI IENDELEE - what a job - stop it please it is CRAP.
 
Back
Top Bottom