umetokwa povu bila sababu za msingi kiongozi.
vyote alivyovifanya bi samia viko kwa mujibu wa katiba na sheria,kulikuwa na ulazima gani wa kuvifanya special mpaka namna hii kuonekana anapuuza mambo mazito zaidi!!!!
wacha nikuelimishe,jk mfano tu ana mansion msoga,ana jumba mikocheni,na hilo alilopewa leo,inatakiwa ajaliwe namna gani mpaka ionekane sasa katunzwa mzee wetu!!!!
mzee mwinyi ana nyumba zanzibar,ana nyumba msasani na ile alipewa na marehem mwendazake nayo ni nyumba haswaa,bado kijana wake ni amiri jeshi kisiwani.jana ilifaa mama aseme"mzee nakubadirishia gari upewe fupi inayoendana na wewe"sio nakuzawadia gari nyingine,halafu wazee wote wastaafu wana gari ndefu zisizowafaa akiwemo mzee msuya,sijui kama mama yenu ana taarifa.au kamwona mwinyi peke yake.
serikali yenyewe imeweka utaratibu wa kuwatunza wazee hao,makazi,malipo 80%,matibabu daraja la kwanza,ulinzi na makazi bora.haifai mtu yeyote kuja kufanya ni kama zawadi,maana analazimika kufanya hayo.