Kyenyabasa
JF-Expert Member
- Mar 8, 2023
- 247
- 715
Una maanisha nini?Kuongoza wajinga ni tofauti sana na kuongoza werevu.
Kwahiyo wanajikuta wamerelax akili hazifanyi kazi hivyo kunenepa sioKuongoza wajinga ni tofauti sana na kuongoza werevu.
Kwa kweli.Kuongoza wajinga ni tofauti sana na kuongoza werevu.
Umezingatia neno "wengi" kwenye uzi?Unalitofautishaje na neno "wote"?
Weka picha zaoNdg wasomaji kwanini maraisi wengi wa Afrika ni wanene wakati Marais karibu wote wa Ulaya, Amerika na Asia ni wembamba!?
Najiuliza Nini kinasababisha hayo! Je,waafrika ndivyo tulivyoumbwa!?
Au ni kula pasipo kipimo. Au ni utaahira maana wengine wanahusisha unene na tatizo la akili, akili kutochakata mambo sawasawa hivyo kupelekea mwili kufutuka, au ni tatizo gani haswa ndugu zangu Marais wetu kuwa wanene tofauti na wenzao wa mabara mengine!
Malengo tofauti, waafrika Wana malengo ya kujinufaisha, wa nchi zilizoendelea si malengo ya nchi zao tu, bali hata Dunia wataifanyia nini.Ndg wasomaji kwanini maraisi wengi wa Afrika ni wanene wakati Marais karibu wote wa Ulaya, Amerika na Asia ni wembamba!?
Najiuliza Nini kinasababisha hayo! Je,waafrika ndivyo tulivyoumbwa!?
Au ni kula pasipo kipimo. Au ni utaahira maana wengine wanahusisha unene na tatizo la akili, akili kutochakata mambo sawasawa hivyo kupelekea mwili kufutuka, au ni tatizo gani haswa ndugu zangu Marais wetu kuwa wanene tofauti na wenzao wa mabara mengine!
Urais Africa ni ulaji na upigaji wa mali za umma wakati Ulaya urais ni uwajibikaji.Ndg wasomaji kwanini maraisi wengi wa Afrika ni wanene wakati Marais karibu wote wa Ulaya, Amerika na Asia ni wembamba!?
Najiuliza Nini kinasababisha hayo! Je,waafrika ndivyo tulivyoumbwa!?
Au ni kula pasipo kipimo. Au ni utaahira maana wengine wanahusisha unene na tatizo la akili, akili kutochakata mambo sawasawa hivyo kupelekea mwili kufutuka, au ni tatizo gani haswa ndugu zangu Marais wetu kuwa wanene tofauti na wenzao wa mabara mengine!
🤣Umezingatia neno "wengi" kwenye uzi?Unalitofautishaje na neno "wote"?
🤣🤣Ikulu wamegeuza jiko full madiko diko
🤣🤣🤣1: vyakula vya Kiafrika ni wanga tuu, ugali na wali. Unakuwa na mwili mkubwa, nguvu nyingi lakini akili kisoda.
2: Udumavu wa akili kwa kudhani mtu mnene ni tajiri na mwenye afya.
3: Ulaji wa hovyo bila mpangilio mzuri yani hakuna balance diet
4: N.k
Kikwete, kagame mbona weembambaNdg wasomaji kwanini maraisi wengi wa Afrika ni wanene wakati Marais karibu wote wa Ulaya, Amerika na Asia ni wembamba!?