Russia is not your enemy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2023
- 373
- 625
Unadharau sana.Ndg wasomaji kwanini maraisi wengi wa Afrika ni wanene wakati Marais karibu wote wa Ulaya, Amerika na Asia ni wembamba!?
Najiuliza Nini kinasababisha hayo! Je,waafrika ndivyo tulivyoumbwa!?
Au ni kula pasipo kipimo. Au ni utaahira maana wengine wanahusisha unene na tatizo la akili, akili kutochakata mambo sawasawa hivyo kupelekea mwili kufutuka, au ni tatizo gani haswa ndugu zangu Marais wetu kuwa wanene tofauti na wenzao wa mabara mengine!
Yaani unene ni utaahira??