zwangandaba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 747
- 1,404
Fanya utafiti vzuri. Hata Ulaya wapo wanene na hata Afrika wapo wembamba.Ndg wasomaji kwanini maraisi wengi wa Afrika ni wanene wakati Marais karibu wote wa Ulaya, Amerika na Asia ni wembamba?
Najiuliza Nini kinasababisha hayo! Je, Waafrika ndivyo tulivyoumbwa?
Au ni kula pasipo kipimo. Au ni utaahira maana wengine wanahusisha unene na tatizo la akili, akili kutochakata mambo sawasawa hivyo kupelekea mwili kufutuka, au ni tatizo gani haswa ndugu zangu Marais wetu kuwa wanene tofauti na wenzao wa mabara mengine!
km hujaelew huwez elew hata ...Una maanisha nini?
Fanya utafiti vzuri. Hata Ulaya wapo wanene na hata Afrika wapo wembamba.
Ukibisha nakuletea ushahidi wa haya usiyoyajua
Ezekiel mbaga bana1: vyakula vya Kiafrika ni wanga tuu, ugali na wali. Unakuwa na mwili mkubwa, nguvu nyingi lakini akili kisoda.
2: Udumavu wa akili kwa kudhani mtu mnene ni tajiri na mwenye afya.
3: Ulaji wa hovyo bila mpangilio mzuri yani hakuna balance diet
4: N.k
Na rais wako Tshekedi?katika kumbu kumbu zangu, marais wanene ni Mkapa, kibaki tu
Unamaanisha Macron na Rish Sunak?Fanya utafiti vzuri. Hata Ulaya wapo wanene na hata Afrika wapo wembamba.
Ukibisha nakuletea ushahidi wa haya usiyoyajua
Ndio na Tshisekedi japo sio mnene kama hao jamaaNa rais wako Tshekedi?
Usinfanyie hvy bhana 😂 mambo ya kukariri jina langu wakati nshabadili uache 😂Ezekiel mbaga bana
Umezingatia neno "wengi" kwenye uzi?Unalitofautishaje na neno "wote"?