GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nina Taarifa za uhakika (100%) kwa Kujiamini kabisa (kama ilivyo Desturi yangu GENTAMYCINE) kuwa kuna Rais Mmoja Afrika (kwa sasa nimemsahau Jina) analindwa na Wajomba zake Wawili huku Mwingine akiwa ni Mfanyakazi wake wa Ndani ambaye pia ndiye aliyemlelea Wanawe Wakubwa Wawili (Mmoja Kazaa na Wanaume Wawili) kwa Nyakati tofauti.
Na Taarifa zaidi zinasema hao Wajomba zake Wawili na huyo aliyekuwa Mfanyakazi wake wa Ndani Kipindi cha Nyuma ndiyo wana Sauti Kubwa ya Kiulinzi Kwake na ndiyo anawasikiliza kuliko Mtu Mwingine yoyote.
Na sasa huyo Rais wa Barani Afrika (ambaye kwa bahati mbaya kwa sasa nimemsahau Jina ila nikimkumbuka baadae nitamtaja japo anatokea AU na SADC) anajiandaa Kupeleka Ndugu zake Wengine Kikosini na waende Kozi ya VIP Protection ili ikiwezekana basi 98% ya Wanaomlinda au Watakaomlinda wawe ni Ndugu zake na anaowaamini na siyo alindwe na GENTAMYCINE ambaye hajulikani kama no Mnyarwanda au ni Mmalawi au ni Mbotswana.
ANGALIZO
Sijamtaja hapa Rais yoyote kwa Jina lake na Nchi anayotoka sasa Wewe jifanye Kiherehere na unaujua mno Ubongo wa GENTAMYCINE na anayemlenga kisha Ujipendekeze Kumtaja nikupe za Uso Weekend yako uishuhudie huku ukiwa na Usununu (Hasira) nami.