Kwanini Marais wote tuliwaita 'Surname' yao wakati wa sasa tunamwita "Rais Samia"?

Kwanini Marais wote tuliwaita 'Surname' yao wakati wa sasa tunamwita "Rais Samia"?

Au labda mtoa mada alitamani tumuite MAMA HASSAN au MAMA SULUHU!! Kana kwamba ni Mama muuza vitumbua vile!! 🤭
Nimeuliza kwa nini tusimuite mama Hassan kama tulivyomwita mama Mandela au mama Machel au mama Thatcher.
 
Back
Top Bottom