HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,108
- 1,132
Inakusaidia nini na uinjinia wake bwana fanya yako!!Una uhakika muheshimiwa amewahi kuwa Engineer?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inakusaidia nini na uinjinia wake bwana fanya yako!!Una uhakika muheshimiwa amewahi kuwa Engineer?
Huyu alisoma kozi za ama masomo ya history so yeye anaumia kuona daktari akasoma.llb wakati yeye hawezi kusoma MDUmri wako?
Elimu yako?
Jinsia yako?
Umeuluza swali la kitoto sana
Huwezi kupractice mahakamani kama hauna LLB
Itoshe kusema wewe ni empty set
Habari Wakuu!
Katika mapitio yangu ya CV za watu mashahuri Nchini, Week kadhaa nyuma nilipata wasaa wa kupitia CV ya the Late Hon. Faustine Ndugulile, aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi mteule wa WHO kanda ya Africa.
Hivyo swali langu nilitamani kufahamu umuhimu wa MD kusomea degree ya sheria ilihali tayari yeye ni specialist kwenye Afya.
View attachment 3176412
Semenya wa ukaldayoSwali la kijinga sana.
Umejenga mtazamo kwenye akili yako kwamba mtu akiwa daktari hatakiwi kusoma kitu kingine chochote.
Huu mtazamo ni potofu.
Hivyo swali langu nilitamani kufahamu umuhimu wa MD kusomea degree ya sheria ilihali tayari yeye ni specialist kwenye Afya.
Ndio degree yake ya kwanza baada ya kumaliza form 6 PCM, pale pugu secondaryUna uhakika muheshimiwa amewahi kuwa Engineer?
Kwa hivyo kusoma, PCM kunakufanya kuwa engineer tayari?Ndio degree yake ya kwanza baada ya kumaliza form 6 PCM, pale pugu secondary