Kwanini Marekani imeshindwa kuanzisha makundi ya kigaidi katika nchi mahasimu zisizo za Kiislamu?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Kuna ukweli gani kwa madai ya baadhi ya watu kwamba Marekani ndiyo mwanzilishi wa makundi ya kigaidi kama Al-Qaeda, ISIS, Boko Haram na mengine mengi yanayosumbua katika nchi za Kiislamu au Kiarabu ili kuvuruga amani na kuchota rasilimali?

Kwa nini Marekani haijaanzisha makundi ya kigaidi kama hayo kwa mahasimu wake wengine mfano Venezuela, Ecuador, Urusi, China, Korea Kaskazini, Belarus, Zimbabwe na Cuba?

20250517_054933.jpg
 
Kwa nini Marekani haijaanzisha makundi ya kigaidi kama hayo kwa mahasimu wake wengine mfano Venezuela, Ecuador, Urusi, China, Korea Kaskazini, Zimbabwe na Cuba?
View attachment 3337137
Kwa sababu hizo nchi zinajitambua
 
Kuna ukweli gani kwa madai ya baadhi ya watu kwamba Marekani ndiyo mwanzilishi wa makundi ya kigaidi kama Al-Qaeda, ISIS, Boko Haram na mengine mengi yanayosumbua katika nchi za Kiislamu au Kiarabu ili kuvuruga amani na kuchota rasilimali?

Kwa nini Marekani haijaanzisha makundi ya kigaidi kama hayo kwa mahasimu wake wengine mfano Venezuela, Ecuador, Urusi, China, Korea Kaskazini, Belarus, Zimbabwe na Cuba?
View attachment 3337137
Kila sehemu inaangamizwa kwa udhaifu wake.
Hizo nchi dini isingefanya kazi kama nchi za kiislam ambazo zinaamini kufia dini.
Misingi ya uislam na dini zisizo za kiislam ni tofauti.
Sidhani kama umewahi kulifikiria hili mkuu!?
 
Dini yenyewe ni rahisi sana kuhusishwa kwenye maugaidi maana hata muasisi wa uislamu Muhammad mwenyewe alihusika kwenye ugaidi wa kuchinja Wayahudi wa Qurayza na kuuza watoto wao utumwani, yaani kuchinjana chinjana na maugaidi ndio zenu mpaka leo.
 
Ina maana muhusika hapo siyo USA. Angekua USA angeenda kuanzisha kwa mahasimu wake. Kingine muanzilishi ni Iran anasema tu kikahisi inatakiwa sharia itumike nchi uwe ya kiislamu Basi tayari machafuko .
 
Marekani Noma Hadi imewafundisha kabla ya kujilipua kuua wengine semeni Allah Akbar na Wana wanafuata Tu maelekezo.

Adiosamigo Jagina

Nyau de adriz
Sio Allah Akbar ni Allahu Akbar tatizo kenge kazoewa kuimba kanisani hawezi kutamka Allahu Akbar, ukiwa mkanisa huwezi kutamka sawa sawa lazima ukosee tu.
 
Ndo maana tutaomba usawa kwenye vyote isipokua Jeshini, vibarakashe vikiwa vingi jeshini mmeisha in the name of Jihad.
 
Kuna ukweli gani kwa madai ya baadhi ya watu kwamba Marekani ndiyo mwanzilishi wa makundi ya kigaidi kama Al-Qaeda, ISIS, Boko Haram na mengine mengi yanayosumbua katika nchi za Kiislamu au Kiarabu ili kuvuruga amani na kuchota rasilimali?

Kwa nini Marekani haijaanzisha makundi ya kigaidi kama hayo kwa mahasimu wake wengine mfano Venezuela, Ecuador, Urusi, China, Korea Kaskazini, Belarus, Zimbabwe na Cuba?

View: https://youtube.com/shorts/3UoGURhYeMg?si=foWktBzfqCq5ZI7U

Wamepata pesa za bure lazima wawatumie hizo fedha kufanya fujo huko Burkina Faso. Al Qaeda ni kikosi cha USA
 
Sio Allah Akbar ni Allahu Akbar tatizo kenge kazoewa kuimba kanisani hawezi kutamka Allahu Akbar, ukiwa mkanisa huwezi kutamka sawa sawa lazima ukosee tu.
Kwani kuna tija gani ama umuhimu gani kulitamka Sahihi wewe jitu jeusi lenye sijdah kuubwaa kama chapati kwenye paji jeusi.

Nyau de adriz
 
Not only USA Mabeberu wote wana support watu ambao wanaona watakidhi agenda zao, ukiwa against nao watatoa msaada kwa walio against na wewe na opportunity iliyopo sehemu hizo ni hivyo vikundi tofauti....; kama sio kwa kutumia mabavu basi hata kupenyeza Rupia kwenye Udhia

Saddam against Iran; Mobuto against Lumumba; Blaise Compaoré against Sankara; Afghan Mujahideen against Soviet Union; Fulgencio Batista's regime against Castro Rebels

Kwani kuna tija gani ama umuhimu gani kulitamka Sahihi wewe jitu jeusi lenye sijdah kuubwaa kama chapati kwenye paji jeusi.

Nyau de adriz
Kwa hio ukiwa mweusi hufai kusali sio, nikikuambia wewe ni kenge unabisha.

Sijida ni nuru hio ukiwa kaburini hio ndio touch yako, wewe mkristo utaipata wapi umeshikilia msalaba. Bibilia zenu zinawambia anaye utukuza msalaba ana lana sababu ya msalaba ni nini? Kama sio kutukuza aliye tundikwa kwenye ✝️
 
Sio Allah Akbar ni Allahu Akbar tatizo kenge kazoewa kuimba kanisani hawezi kutamka Allahu Akbar, ukiwa mkanisa huwezi kutamka sawa sawa lazima ukosee tu.
Atajuaje kuandika wakati uislamu ni utamaduni wa waarabu.
Hapo ulipo bila lugha ya bwana wako muarabu huwezi kwenda msikitini wala Allah hakusikii wala hakutambui
 
Dini yenyewe ni rahisi sana kuhusishwa kwenye maugaidi maana hata muasisi wa uislamu Muhammad mwenyewe alihusika kwenye ugaidi wa kuchinja Wayahudi wa Qurayza na kuuza watoto wao utumwani, yaani kuchinjana chinjana na maugaidi ndio zenu mpaka leo.
Joshua alipoteka canaan hakuambiwa achinje wakazi wote asiache hata vitoto vichanga? Dini zote ziliasisiwa kwa msingi wa coercive conversion.
 
Kitu unachokimudu unahagangaika nacho Cha nini? Halafu na kingine sio waislam sema waarabu wao Wanatamaa ya mali na uongozi.
 
Back
Top Bottom