Kwanini Marekani imeshindwa kuanzisha makundi ya kigaidi katika nchi mahasimu zisizo za Kiislamu?

Kwa hio ukiwa mweusi hufai kusali sio, nikikuambia wewe ni kenge unabisha.

Sijida ni nuru hio ukiwa kaburini hio ndio touch yako, wewe mkristo utaipata wapi umeshikilia msalaba. Bibilia zenu zinawambia anaye utukuza msalaba ana lana sababu ya msalaba ni nini? Kama sio kutukuza aliye tundikwa kwenye ✝️
dini imekulevya
 
Kuna ukweli gani kwa madai ya baadhi ya watu kwamba Marekani ndiyo mwanzilishi wa makundi ya kigaidi kama Al-Qaeda, ISIS, Boko Haram na mengine mengi yanayosumbua katika nchi za Kiislamu au Kiarabu ili kuvuruga amani na kuchota rasilimali?

Kwa nini Marekani haijaanzisha makundi ya kigaidi kama hayo kwa mahasimu wake wengine mfano Venezuela, Ecuador, Urusi, China, Korea Kaskazini, Belarus, Zimbabwe na Cuba?

Ni rahisi sana kumtumuia muislamu kwa maslai ya mabeberu kipumbavu kwa sababu nilisha sema hakuna muislamu MZALENDO
 
Joshua alipoteka canaan hakuambiwa achinje wakazi wote asiache hata vitoto vichanga? Dini zote ziliasisiwa kwa msingi wa coercive conversion.

Yesu alipoondoka aliacha maagizo ya upendo, ukipigwa shavu la kulia geuza na la pili, mitume wakahubiri amani wakauawa kinyama, miaka 500 baadaye akaja muarabu na kuanzisha dini inayohubiri kinyume na kila kitu kilichohubiriwa na Yesu.
Mwenyewe huyo muarabu akaanzisha dini huku akichinja na kuuza watoto utumwani, leo nyie wafuasi wake mnachinja na kuteka watoto.
 
Ukristo haukasisiwa katika msingi wa kulazimisha watu kuongoka/ kuifuata dini ya Ukristo
 
Yesu alisema sikuja kuleta amani,nimeleta upanga.Matokeo yake akasulubiwa na kuchomwa mkuki,na kuuliwa.Mwanafunzi wake Yuda,akayafanyia kazi,akapanga na wauaji,anaitwa Yuda msaliti,wakati aliyafanyia kazi maagizo ya Yesu.
Yesu hakuacha amani,alisulubiwa,na maandiko yanasema kila aliyasulubiwa;amelaaniwa.Hapo amani iko wapi.Kxenye laana kuna amani?
 
Ukristo haukasisiwa katika msingi wa kulazimisha watu kuongoka/ kuifuata dini ya Ukristo
Yesu asingesulubiwa na apinzani wake,kama ilikuwa halazimishi watu wawe wakristo kwa nguvu.Tena alusalitiwa na Yuda,mwanafunzi wake kwa vipande vya fedha.Walimsulubu wakamuua,aliyeleta amani anauliwa?
 
Kuna ukweli gani kwa madai ya baadhi ya watu kwamba Marekani ndiyo mwanzilishi wa makundi ya kigaidi kama Al-Qaeda, ISIS, Boko Haram na mengine mengi yanayosumbua katika nchi za Kiislamu au Kiarabu ili kuvuruga amani na kuchota rasilimali?

Kwa nini Marekani haijaanzisha makundi ya kigaidi kama hayo kwa mahasimu wake wengine mfano Venezuela, Ecuador, Urusi, China, Korea Kaskazini, Belarus, Zimbabwe na Cuba?

Ni kwasababu uislamu unafuata sheria na ukristu unafuata demokrasia ( bora liende),, mfano katika suala la ushoga uislamu uko serious na unatoa adhabu kali kwa anayebainika,lkn ukiristu haujali unaona huo ni uhuru wa mtu binafsi,apaswi kuzuiwa..
Kwa hiyo nchi kama marekani inakuwa rahisi kutumia kigezo hicho dhidi ya baadhi ya mataifa ya kiislamu,lkn hao wanaotumiwa na marekani wanakuwa eidha si waislamu au waislamu wasiojitambua, maana yafaa ujue kuna muislamu na kuna muumini wa kiislamu,huyu muumini katu awezi kubali kufanya upuuzi huo, maana dini haijasema uende katikati ya watu ujilipue na kuua watu ambao hawana hatia.
Wafanyao hivyo wanakuwa na maslahi yao binafsi kwa kutumia mgongo wa dini tu.
 
Kuna ukweli gani kwa madai ya baadhi ya watu kwamba Marekani ndiyo mwanzilishi wa makundi ya kigaidi kama Al-Qaeda, ISIS, Boko Haram na mengine mengi yanayosumbua katika nchi za Kiislamu au Kiarabu ili kuvuruga amani na kuchota rasilimali?

Kwa nini Marekani haijaanzisha makundi ya kigaidi kama hayo kwa mahasimu wake wengine mfano Venezuela, Ecuador, Urusi, China, Korea Kaskazini, Belarus, Zimbabwe na Cuba?

NChi hazina waislamu na magzidi wapo,ila hamtaki kuwaita magaidi
1.Ireland ya kaskazini ,wakatoliki na waptotestant wanauana kila silu na kutiana vilema
2.Kongo wanauwana wakristo watupu.hawaitwi magaidi
3Rwanda wanauana mpaka makanisani,hawaitwi magaidi
4 Haiti wanauana wakristo,hawaitwi magaidi
5.Sudan ya kusini,wanauana wakristo hawaitwi magaidi
6.Burundi wanauana wakristo hawaitwi magaidi
7.Urusi na Ukraine wanauana wakristo,hawaitwi magaidi
8. ASKOFU Kibwetere kawachoma moto wakristo kanisani,akishirikia na mwanamke sister,hawaitwi magaidi
9.kijana wa kizungu,aliingia kanisani Amerika ,akawaua wakristo weusi kwa bastola,hakuitwa gaidi
10.Matukio ya mauji ya watu wengi nchi za ulaya,zikifanywa na mkridto haitwi gaidi
1

Makundi ya kigaidi ya kikiristo
1.Ireland ya kaskazini ,wakatoliki na waprotestant wanauana
2 Sudan ya kusini wanauana
3.Kongo
4 Haiti
5Rwanda mpaka makanisani
5.Haiti
6.Urusi na Ukraine
7.Burubdi
8.Askofu Kibwetere na mwanamke sister,waliwachoma wakristo kanisani wakawaua
9.Kijana wa kizuungu aliwauwa waktisto weusi kanisani kwa bastola
Hao wote na wengine wakristo ni magaidi
 
Umeuliza swali la kipumbavu. Nimejisikia hata uvivu kuwa huna uwezo wa ku reason. Ukristo siyo jina.
Kama ukristo sio jina,mbona hamuitani majina ya Kibaniani,mwaitana majina ya kizungu na kiyahudi.Sijawahi kuona mkristo kuitwa Patel wala Jitendra.Hata wale Magoa(wahinndi wakristo)wana majina ya kizungu
 
NChi hazina waislamu na magzidi wapo,ila hamtaki kuwaita magaidi
1.Ireland ya kaskazini ,wakatoliki na waptotestant wanauana kila silu na kutiana vilema
2.Kongo wanauwana wakristo watupu.hawaitwi magaidi
3Rwanda wanauana mpaka makanisani,hawaitwi magaidi
4 Haiti wanauana wakristo,hawaitwi magaidi
5.Sudan ya kusini,wanauana wakristo hawaitwi magaidi
6.Burundi wanauana wakristo hawaitwi magaidi
7.Urusi na Ukraine wanauana wakristo,hawaitwi magaidi
8. ASKOFU Kibwetere kawachoma moto wakristo kanisani,akishirikia na mwanamke sister,hawaitwi magaidi
9.kijana wa kizungu,aliingia kanisani Amerika ,akawaua wakristo weusi kwa bastola,hakuitwa gaidi
10.Matukio ya mauji ya watu wengi nchi za ulaya,zikifanywa na mkridto haitwi gaidi
1

Makundi ya kigaidi ya kikiristo
1.Ireland ya kaskazini ,wakatoliki na waprotestant wanauana
2 Sudan ya kusini wanauana
3.Kongo
4 Haiti
5Rwanda mpaka makanisani
5.Haiti
6.Urusi na Ukraine
7.Burubdi
8.Askofu Kibwetere na mwanamke sister,waliwachoma wakristo kanisani wakawaua
9.Kijana wa kizuungu aliwauwa waktisto weusi kanisani kwa bastola
Hao wote na wengine wakristo ni magaidi
Hawa magaidi wa hizi nchi walianzishwa na Marekani?
 
Kila sehemu inaangamizwa kwa udhaifu wake.
Hizo nchi dini isingefanya kazi kama nchi za kiislam ambazo zinaamini kufia dini.
Misingi ya uislam na dini zisizo za kiislam ni tofauti.
Sidhani kama umewahi kulifikiria hili mkuu!?
Dini ni utumwa na upumbavu wa kiwango cha lami.
 
Back
Top Bottom