Kwanini Marekani imeshindwa kuanzisha makundi ya kigaidi katika nchi mahasimu zisizo za Kiislamu?

Kwanini Marekani imeshindwa kuanzisha makundi ya kigaidi katika nchi mahasimu zisizo za Kiislamu?

Unamjua kiongozi wa Isis/Al Qaeda Syria?
Kiongozi wa iSIS/al-Qaeda Syria alikuwa ni ustaadh Abu Bakr al-Baghdadi.

Aliuawa na Marekani...
...................................................................................
U.S. President Donald Trump announces that Islamic State leader Abu Bakr al-Baghdadi was killed in U.S. special forces operation in Syria. According to Trump, the raid took place overnight at a compound in northwest Syria and lasted approximately two hours. He said al-Baghdadi was cornered by U.S. dogs in a dead-end tunnel.

Trump said it is there that he ignited a suicide vest, killing himself and three of his children.

Trump made the announcement from the White House on Sunday morning..

View: https://youtu.be/zdZ9C_IrAD8?si=pg9GcYMHqdhE2cEY
 
Not only USA Mabeberu wote wana support watu ambao wanaona watakidhi agenda zao, ukiwa against nao watatoa msaada kwa walio against na wewe na opportunity iliyopo sehemu hizo ni hivyo vikundi tofauti....; kama sio kwa kutumia mabavu basi hata kupenyeza Rupia kwenye Udhia

Saddam against Iran; Mobuto against Lumumba; Blaise Compaoré against Sankara; Afghan Mujahideen against Soviet Union; Fulgencio Batista's regime against Castro Rebels

Hawa wanaopenyezewa rupia wauane wao kwa wao hawana akili hivyo hawajitambui. kwa hiyo asilaumiwe marekani kwa mijitu ambayo haijitambui inaunda ugaidi kuua wenzao.
 
Kiongozi wa iSIS/al-Qaeda Syria alikuwa ni ustaadh Abu Bakr al-Baghdadi.

Aliuawa na operation ya Marekani...
...................................................................................
U.S. President Donald Trump announces that Islamic State leader Abu Bakr al-Baghdadi was killed in U.S. special forces operation in Syria. According to Trump, the raid took place overnight at a compound in northwest Syria and lasted approximately two hours. He said al-Baghdadi was cornered by U.S. dogs in a dead-end tunnel.

Trump said it is there that he ignited a suicide vest, killing himself and three of his children.

Trump made the announcement from the White House on Sunday morning..

View: https://youtu.be/zdZ9C_IrAD8?si=pg9GcYMHqdhE2cEY

Baghdad alikua Global angalia madesa yako vizuri.
 
Ni kwasababu uislamu unafuata sheria na ukristu unafuata demokrasia ( bora liende),, mfano katika suala la ushoga uislamu uko serious na unatoa adhabu kali kwa anayebainika,lkn ukiristu haujali unaona huo ni uhuru wa mtu binafsi,apaswi kuzuiwa..
Kwa hiyo nchi kama marekani inakuwa rahisi kutumia kigezo hicho dhidi ya baadhi ya mataifa ya kiislamu,lkn hao wanaotumiwa na marekani wanakuwa eidha si waislamu au waislamu wasiojitambua, maana yafaa ujue kuna muislamu na kuna muumini wa kiislamu,huyu muumini katu awezi kubali kufanya upuuzi huo, maana dini haijasema uende katikati ya watu ujilipue na kuua watu ambao hawana hatia.
Wafanyao hivyo wanakuwa na maslahi yao binafsi kwa kutumia mgongo wa dini tu.
Mbona mnawasupport mlio waumini wa kiislamu.
 
Jibu lako ni la mtu mvivu wa kufikiri

Hajakosea ndiyo ukweli. Kule kwa akina balakatu ukiwaambia haki bin haki, hapa kwenu hamna. Basi wanaanza kulianzisha au kuliamsha dude. Lakini hawa ambao si balakatu, ukiwaambia hakuna haki, watafikiri kidogo equity vs equality. Hakuna haki, lakini let the love lead.
 
Proganda kwa maana hawasalimiana na kuingia mikataba ama propaganda huyo jamaa sio Isis/Al qaeda?
ISIS, al-Qaeda, Hamas, Houthi, Boko Haram, al-Shabaab, Janjaweed, na magenge mengine ya magaidi ni miradi na mali za misikitini na inafadhiliwa na kuendeshwa na ma ustaadh...

👇
al-SHABAAB LADAI KUHUSIKA

Kundi la al Shabab limedai kuhusika na shambulio hilo ambapo msemaji wa operesheni za kijeshi wa kundi hilo Sheikh Abdiasis Abu Musab amekaririwa akisema kwamba waliwapambanuwa watu waliokuwa wakiwashikilia na kuwachilia huru wale walio Waislamu....
 
Ni rahisi kuanzisha ugaidi kwenye uislam kwa kutumia maandiko yao ni rahisi kuwafanyia brain wash waislamu kuliko jamii ingine
 
ISIS, al-Qaeda, Hamas, Houthi, Boko Haram, al-Shabaab, Janjaweed, na magenge mengine ya magaidi ni miradi na mali za misikitini na inafadhiliwa na kuendeshwa na ma ustaadh...

👇
al-SHABAAB LADAI KUHUSIKA

Kundi la al Shabab limedai kuhusika na shambulio hilo ambapo msemaji wa operesheni za kijeshi wa kundi hilo Sheikh Abdiasis Abu Musab amekaririwa akisema kwamba waliwapambanuwa watu waliokuwa wakiwashikilia na kuwachilia huru wale walio Waislamu....
Nimekuuliza swali jengine unanipa jibu jengine, hao Boko Haram si Usa wenyewe wamekiri wana wa fund? Na makundi ya Kigaidi yote ni Is ama Al Qaeda, hizo branch zinapewa hela na hao hao wakubwa.

Na hakuna Ustadh mwenye hela ambaye anaweza Fund Jeshi, Jeshi halilimi, linataka silaha, nguo, kula, kutibiwa etc ni matrilioni ya hela hayo, ni Serikali kubwa tu Duniani pekee zina uwezo wa kufadhili vikundi kama hivyo kwa miaka nenda rudi.
 
Uzushi...
Kwa hiyo kwa mfano hujui kuwa Iran/Ayatollah ndo wafadhili wa makundi ya magaidi ya Hezbollah, Hamas, Houthi, nk?!
 
Uzushi...
Kwa hiyo kwa mfano hujui kuwa Iran/Ayatollah ndo wafadhili wa makundi ya magaidi ya Hezbollah, Hamas, Houthi, nk?!
Hayo sio makundi ya Kigaidi, na Asante kwa kuprove point yangu, Iran ana fund Hezbollah, Hamas na Houth

Nani Ana fund Isis ana Al Qaeda usiniambie Maustadh maana hawana hela ya kufund hayo makundi ambayo yana silaha za kisasa kushinda Nchi zote za Africa na wana silaha mpya ambazo hata Usa wenyewe hawaja anza kuziuza.
 
Kwa mfano ni nani anafadhili al-Shabaab na ISIS Somalia?
 
Ila Nchi masikini zote utakuta hayo makundi popote kwenye Mali,

Pia unatakiwa jambo moja ulijue Usa hasuport makundi sababu Nchi ni rafiki ama sio rafiki, bali a natafuta Mali za Kuiba, Zimbabwe akaibe nini? Congo kuna Madini, Msumbiji mafuta etc ina make sense wao kusupport vikundi, Cuba huko kuna Cigar tu,
Zimbabwe ni nchi namba tatu duniani kwa kuwa na reserves kubwa ya platinum duniani.
 
Kwa mfano ni nani anafadhili al-Shabaab?
Angalia Kundi linajihusisha na nani? According to Serikali ya Marekani ni Al Qaeda,

Viongozi wa al Shabaab walikua Afghanistan.

Ukumbuke kabla ya 2001 Al Qaeda ni kundi pendwa la Usa ambalo walikua Trained na kufadhiliwa na Usa (Kwa Dhahiri) wapigane na Mrusi hapo Afghanistan. Baada ya Usa kuvamia Afghanistan ina maana mission kwao ipo completed wengine wakaja Africa kuanzisha Al Shabaab na makundi mengine, ila sababu stil ni Affiliated na Al Qaeda ina maana funding zake zinatoka huko.

Hakuna data kamili za Mafuta Somalia ila inakadiriwa mafuta yanaweza fika Barel billion 100 ambayo ni karibia nusu ya mafuta ya Saudia, hapo lazima pachimbike.

Ndio maana mturuki sasa hivi kaingia mkataba na serikali ya Somalia wawapige Al shabab na ku rudisha nchi kwenye Amani in return wapewe wao Tenda ya mafuta kuchimba na Somalia wale 10%.
 
Zimbabwe ni nchi namba tatu duniani kwa kuwa na reserves kubwa ya platinum duniani.
Zimbabwe ana Asilimia 1.7 ya Platinum, Reserve yao ni ndogo sana na nchi nzima ina Tani 1200 tu, for comparison South Africa ana Asilimia zaidi ya 80 ya Platinum yote Duniani na malaki ya Tani ya Platinum.

Kama wewe ndio Mzungu,
1. Utahangaika na hicho ki asilimia 1
2. Utaenda South Africa kwenye Asilimia zaidi ya 80?

Jibu unalo.

BTW asilimia kubwa ya wanaochimba hio platinum South Africa ni kampuni ya Anglo American ya Uingereza, so hawana shida nayo wanaipata vizuri tu
 
Back
Top Bottom