baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 6,063
- 12,808
Marekani, maana kichwa chako hakijui ku comprehend mpaka utafuniwe kila kitu.Mbona unakwepa kujibu swali?
Nimeuliza kuwa ni nani mfadhili wa al-Shabaab na ISIS Somalia?
Marekani, maana kichwa chako hakijui ku comprehend mpaka utafuniwe kila kitu.Mbona unakwepa kujibu swali?
Nimeuliza kuwa ni nani mfadhili wa al-Shabaab na ISIS Somalia?
Nilitaka utamke wazi maana naona u hodari wa kuruka ruka kama maharagwe jikoni!Marekani, maana kichwa chako hakijui ku comprehend mpaka utafuniwe kila kitu.
Sasa kwa nini wasumbuke na Burkinafaso yenye reserve ya tani 800 za gold na ukizingatia Platinum ni bei juu kuliko dhahabu??Zimbabwe ana Asilimia 1.7 ya Platinum, Reserve yao ni ndogo sana na nchi nzima ina Tani 1200 tu, for comparison South Africa ana Asilimia zaidi ya 80 ya Platinum yote Duniani na malaki ya Tani ya Platinum.
Kama wewe ndio Mzungu,
1. Utahangaika na hicho ki asilimia 1
2. Utaenda South Africa kwenye Asilimia zaidi ya 80?
Jibu unalo.
BTW asilimia kubwa ya wanaochimba hio platinum South Africa ni kampuni ya Anglo American ya Uingereza, so hawana shida nayo wanaipata vizuri tu
US haikufadhili Al-Qaeda kupigana na kuwaondoa wavamizi wa USSR Afghanistan, US ilifadhili wapigani uhuru waliokuwa wanapigana dhidi ya uvamizi ambao baadaye baadhi yao walikuja kugeuka kuwa magaidi, ni kama vile leo US inavyofadhili Ukraine kupambana na uvamizi wa Urusi.Angalia Kundi linajihusisha na nani? According to Serikali ya Marekani ni Al Qaeda,
Viongozi wa al Shabaab walikua Afghanistan.
Ukumbuke kabla ya 2001 Al Qaeda ni kundi pendwa la Usa ambalo walikua Trained na kufadhiliwa na Usa (Kwa Dhahiri) wapigane na Mrusi hapo Afghanistan. Baada ya Usa kuvamia Afghanistan ina maana mission kwao ipo completed wengine wakaja Africa kuanzisha Al Shabaab na makundi mengine, ila sababu stil ni Affiliated na Al Qaeda ina maana funding zake zinatoka huko.
Hakuna data kamili za Mafuta Somalia ila inakadiriwa mafuta yanaweza fika Barel billion 100 ambayo ni karibia nusu ya mafuta ya Saudia, hapo lazima pachimbike.
Ndio maana mturuki sasa hivi kaingia mkataba na serikali ya Somalia wawapige Al shabab na ku rudisha nchi kwenye Amani in return wapewe wao Tenda ya mafuta kuchimba na Somalia wale 10%.
Al-Qaeda na ISIS wanapewa michango na watu wanaomini katika cause yao,Hayo sio makundi ya Kigaidi, na Asante kwa kuprove point yangu, Iran ana fund Hezbollah, Hamas na Houth
Nani Ana fund Isis ana Al Qaeda usiniambie Maustadh maana hawana hela ya kufund hayo makundi ambayo yana silaha za kisasa kushinda Nchi zote za Africa na wana silaha mpya ambazo hata Usa wenyewe hawaja anza kuziuza.
Kivipi, fafanua mkuuMbona mnawasupport mlio waumini wa kiislamu.
Ok wao mungu wao wanasema alikufa afu akafufuka hahaha hata mimi hio lugha bado inanichangan'ya kumbe mungu anakufa.Atawezaje hiyo lugha ya kiarabu na unajua kabisa sio lugha yetu?
Nilitaka utamke wazi maana naona u hodari wa kuruka ruka kama maharagwe jikoni!
Sasa, ikawaje tena majuzi tu hao hao wafadhili Marekani wakaporomosha makombora ya kufa mtu kwa hao wafadhiliwa ma ustaadh wa ISIS Somalia, nk?!!!
View: https://youtube.com/watch?v=oQd7a1d9Gcw&si=iygaZRXNjh_TVr_e
Dhahabu ina unlimited demand na Platinum ina kazi maalum vitu viwili tofauti unless hujui uses na hivyo vitu viwili.Sasa kwa nini wasumbuke na Burkinafaso yenye reserve ya tani 800 za gold na ukizingatia Platinum ni bei juu kuliko dhahabu??
Acha mbwembwe sheikh, hakuna nchi yenye hata reserve tani laki moja achilia mbali tani milioni moja ya reserve ya dhahabu, ukija kugundua kwamba dhahabu yote duniani iliyowahi kuchimbwa mpaka sasa haifiki hata tani laki mbili na nusu utajiona boya sana katika eneo hili.Dhahabu ina unlimited demand na Platinum ina kazi maalum vitu viwili tofauti unless hujui uses na hivyo vitu viwili.
Pia naona una tatizo kubwa sana kutofautisha baina ya reserve na production
Burkinafaso ina mamilioni ya Tani ya dhahabu, kama UNAFKIRI wana tani 800 tu unajidanganya.
Huu mgodi mmoja tu una tani milioni 31
BURKINA FASO: Wahgnion gold reserves up almost 40% » African Mining Network
www.africanminingnetwork.com
Na ni data za 2017 zimefanywa na hao hao wazungu hata kabla ya Traore haijaingia madarakani.
Huo mdogi mmoja tu thamani yake ni mara 1000 ya platinum ya nchi nzima ya Zimbabwe unahisi hata vinalinganishika hivi?
Hivi huoni kama maelezo yako ni contradictory?Kwani Usa hajawahi wapiga Isis Syria ama kwengineko? Hicho sio kigezo wao ndio wana fund hayo makundi, na kupiga sehemu haimaanishi wanayapiga hayo makundi na kuyamaliza, zinakua ni geresha kama Geresha nyengine.
Kwa mfano Marekani chini ya Trump walipomuua gaidi ustaadh Sheikh al Baghdadi, kiongozi mkuu wa ISIS Syria, ilikuwa geresha au walimuua kweli??....haimaanishi wanayapiga hayo makundi na kuyamaliza, zinakua ni geresha kama Geresha nyengine.
Sawa Saint Loth Lemashenzi
So hao Mujahideen walipo tea tu ghafla na sio kwamba baadae wakawa Al Qaeda?US haikufadhili Al-Qaeda kupigana na kuwaondoa wavamizi wa USSR Afghanistan, US ilifadhili wapigani uhuru waliokuwa wanapigana dhidi ya uvamizi ambao baadaye baadhi yao walikuja kugeuka kuwa magaidi, ni kama vile leo US inavyofadhili Ukraine kupambana na uvamizi wa Urusi.
Sawa.. lakini Mungu wa hao unao wasema/wakejeli anasikia lugha zote ikiwemo kiswahili mpaka lugha za makabila... sasa nyie wavaa kobasi Mungu anajua kiarabu tu? Mbaya zaidi Mudi kawapiga changa eti mkifika mbinguni wote mnakuwa waarabu.. mbaya zaidi mnawachukia ndugu zenu walio kataa kuvaa makobasi mpo radhi kuwauwa ndugu zenu kwa sababu mudi au mwarabu kasema kwa sababu ya dini tu!!!Ok wao mungu wao wanasema alikufa afu akafufuka hahaha hata mimi hio lugha bado inanichangan'ya kumbe mungu anakufa.
Kwani unatumia biblia ipi ?kanisa lako ni lipi?huo mstari haujataja ushoga acha upotoshaji kama hao walionukuu huo mstari kupotosha
Kazi ya Marekani ilikuwa kuwasaidia Afghanistan kuwaondoa wavamizi USSR, kama wao walipata hangover ya vita na kutamani kuendelea kupigana jihad muda wote tu hadi na aliyewasaidia katika matatizo yao hata baada ya USSR kuondolewa Afghanistan hilo lilikuwa ni tatizo lao na ujinga wao hao Mujahideen.So hao Mujahideen walipo tea tu ghafla na sio kwamba baadae wakawa Al Qaeda?
Mfano mzuri tu Ayman Al Zawahir alikua jela Egpty kwa pressure ya Usa aka pelekwa Pakistan na kuwa Dokta anayetibu hao Mujahideen vipenzi vya Usa, Al Zawahir si ndio second in command wa Al Qaeda? Unatofautisha vipi hayo makundi? Unahisi jeshi la maelfu ya watu unali Dissolve tu kirahisi?
Ni yule aliyetamka haya manenoSasa si ndo wale mtume wao alikuwa ananyonya ndimi wanaume?
Hivi huoni kama maelezo yako ni contradictory?
Mfano wewe uwe ni mfadhili wa kundi fulani halafu wewe huyo huyo unapiga na kuua wapiganaji wa hilo kundi, na pia unachakaza na kuua viongozi wake?!
Mbona hatujaona Iran wakiua wapiganaji wala viongozi wa yale magenge yao ya magaidi - Hamas, Hezbollah, Houthi, nk? Badala yake hayo makundi yakipigwa sawasawa Iran anatishia kulipa visasi !!!
Ni aibu watu wazima kushikilia uongo wa kitoto kama huo..
Kwa mfano Marekani chini ya Trump walipomuua gaidi ustaadh Sheikh al Baghdadi, kiongozi mkuu wa ISIS Syria, ilikuwa geresha au walimuua kweli??
View: https://youtu.be/cRLIHqlJXNs?si=6X1PhErFmthbk55q
Baada ya soviet kushindwa hadi leo Usa anaendelea kupeleka Hela kupitia Inteligency ya Pakistan, so Hivyo vikundi vimempiga Soviet why uendelee kuvisaidia na kuvipa silaha?Kazi ya Marekani ilikuwa kuwasaidia Afghanistan kuwaondoa wavamizi USSR, kama wao walipata hangover ya vita na kutamani kuendelea kupigana jihad muda wote tu hadi na aliyewasaidia katika matatizo yao hata baada ya USSR kuondolewa Afghanistan hilo lilikuwa ni tatizo lao na ujinga wao hao Mujahideen.
Kwa sababu Trump anajua sana na unamuamini sana chukua na hii aliyosema kabla ya kupewa mapesa na ndege uarabuniWaki sema tumemuua mtu fulani maana yake kastaafu, wote hao the so called Magaidi ni watu wao, Trump mwenyewe kwa mdomo wake amewahi tamka Obama ndie alie found isis
![]()
Trump insists 'Obama is founder of IS'
Republican Donald Trump describes US President Barack Obama as the "founder" of the Islamic State group and Hillary Clinton as co-founder.www.bbc.com
Sasa wewe na Trump nani anajua zaidi?
Na. Seneta wengi wa Republican wa naongea kuhusu issue ya Usa kufund hayo makundi.