antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Trump anasema wamemuua Sheikh al Baghdadi, wewe unasema amestaafu kwa hiyo wewe unajua kuliko Trump?Sasa wewe na Trump nani anajua zaidi?
Kama ndivyo leta proof
Trump anasema wamemuua Sheikh al Baghdadi, wewe unasema amestaafu kwa hiyo wewe unajua kuliko Trump?Sasa wewe na Trump nani anajua zaidi?
Huyo ni mzee wa cherry picking, half truths, straw man na red herring fallacies katika haya mambo ya deen.Trump anasema wamemuua Sheikh al Baghdadi, wewe unasema amestaafu kwa hiyo wewe unajua kuliko Trump?
Kama ndivyo leta proof
Sababu hao Mahasimu wake kwa ujumla wao sio Waislamu.Kuna ukweli gani kwa madai ya baadhi ya watu kwamba Marekani ndiyo mwanzilishi wa makundi ya kigaidi kama Al-Qaeda, ISIS, Boko Haram na mengine mengi yanayosumbua katika nchi za Kiislamu au Kiarabu ili kuvuruga amani na kuchota rasilimali?
Kwa nini Marekani haijaanzisha makundi ya kigaidi kama hayo kwa mahasimu wake wengine mfano Venezuela, Ecuador, Urusi, China, Korea Kaskazini, Belarus, Zimbabwe na Cuba?
Acha mbwembwe sheikh, hakuna nchi yenye hata reserve tani laki moja achilia mbali tani milioni moja ya reserve ya dhahabu, ukija kugundua kwamba dhahabu yote duniani iliyowahi kuchimbwa mpaka sasa haifiki hata tani laki mbili na nusu utajiona boya sana katika eneo hili.
Nani kakumbia Allah hajui lugha zote nenda kapime akili zako dogo mirembeSawa.. lakini Mungu wa hao unao wasema/wakejeli anasikia lugha zote ikiwemo kiswahili mpaka lugha za makabila... sasa nyie wavaa kobasi Mungu anajua kiarabu tu? Mbaya zaidi Mudi kawapiga changa eti mkifika mbinguni wote mnakuwa waarabu.. mbaya zaidi mnawachukia ndugu zenu walio kataa kuvaa makobasi mpo radhi kuwauwa ndugu zenu kwa sababu mudi au mwarabu kasema kwa sababu ya dini tu!!!
Mmepigwa kweupeee kabisa....
Trump mwenyewe alishakanusha hiyo kauli mara kadhaa kwa mdomo wake. Ilikuwa ni vijembe vya kampeni. Alisema alikuwa "sarcastic" tu...Trump mwenyewe kwa mdomo wake amewahi tamka Obama ndie alie found isis
Kutoka link yakoTrump mwenyewe alishakanusha hiyo kauli mara kadhaa kwa mdomo wake. Ilikuwa ni vijembe vya kampeni. Alisema alikuwa "sarcastic" tu...
![]()
6 Times Donald Trump Says He's Been 'Sarcastic' or 'Misinterpreted'
Comes as he claims he was being sarcastic about Obama founding ISIS.abcnews.go.com
dilyana.bg
Hivi unajua huyo huyo Obama ndiye ali oversee mauaji ya mkulungwa wa al-Qaeda Osama bin Laden?Ushahidi kama huo unachomoka wapi?
Anaesema Alqaeda imeanzishwa na USA haijui wala kuitambua Al Qaeda ... kunautofauti kat ya kuanzisha makundi na kusambaza silaha cha zaidi USA..RUSSIA ndio wasambaza silaha duniaKuna ukweli gani kwa madai ya baadhi ya watu kwamba Marekani ndiyo mwanzilishi wa makundi ya kigaidi kama Al-Qaeda, ISIS, Boko Haram na mengine mengi yanayosumbua katika nchi za Kiislamu au Kiarabu ili kuvuruga amani na kuchota rasilimali?
Kwa nini Marekani haijaanzisha makundi ya kigaidi kama hayo kwa mahasimu wake wengine mfano Venezuela, Ecuador, Urusi, China, Korea Kaskazini, Belarus, Zimbabwe na Cuba?
Mtu kafanya tafiti zake, Dilyana amepeka hio report hadi Bunge la Ulaya imesomwa, wewe umeipinga na nini hio report? Trust me bro evidence, huna hata evidence moja kupangua hoja zake.Hivi unajua huyo huyo Obama ndiye ali oversee mauaji ya mkulungwa wa al-Qaeda Osama bin Laden?
Na kama ni kweli kuwa US ndo huanzisha, kumiliki na kuendesha hayo magenge ya magaidi, ni kwanini wanaotumikia huo uhalifu, mauaji, nk kupitia kujilipua na kujitoa mhanga huku wakitaja jina la "mungu" wao ni Kobaz tu??
Na ni kwanini mipango yote ya hayo maovu, uhalifu na mauaji hupangwa ndani ya misikitini??
Dogo, acheni huo uongo, tafuteni mambo ya maana ya kufanya
Kwa hiyo Osama hakuuawa?Una uhakika Osama kauli wa zaidi ya tu ya Maneno ya serikali ya Obama? Mpaka leo hata maiti hakuna unaambiwa tu katupwa baharini.
Nimekupa evidence nyingi ila naona wewe ni either slow learner au hutaki kuambiwa ukweli.Trust me bro evidence, huna hata evidence moja kupangua hoja zake.
Moja wapo si ndo mtume wenu huoni alikuwa anawanyonya ndimi?
Wao hawana shida na uislam wao wanashida na rasilimali tuSababu hao Mahasimu wake kwa ujumla wao sio Waislamu.
Hapo adui wao mkubwa ni UISLAMU. Kwahiyo wanawatumia Waislamu WAJINGA wasio kuwa na elimu sahihi ya dini, kuuchafua UISLAMU.
Sasa ajue kutamka kiufasaha yeye muarabu au kapitia madrasa kujifunza lugha ya allah? Yaani ka 'U' tu ndio kakufanye ushike jambia?Sio Allah Akbar ni Allahu Akbar tatizo kenge kazoewa kuimba kanisani hawezi kutamka Allahu Akbar, ukiwa mkanisa huwezi kutamka sawa sawa lazima ukosee tu.
Uislam hautaki ujinga ukikosea.rekebisha ulicho kosea we huoni nyie mlimfananisha Mungu na Yesu hahaha Yesu atabaki kuwa Ntume wa Mungu hawezi kufanana na Mungu hata siku moja. Mungu ni level ingine sio kufananishwa na mtoto wa MariamSasa ajue kutamka kiufasaha yeye muarabu au kapitia madrasa kujifunza lugha ya allah? Yaani ka 'U' tu ndio kakufanye ushike jambia?
Kwa yanayoendelea makanisani siku hizi bado utaona waislamu tu ndio hawana elimu? Wale wafuasi wa yule mama anayejiita mungu sio waislamu wale ila kinachoendelea pale bado wewe umeshikilia waislamu tu ndio hawana elimu?Kwasababu waislam wengi hawana elimu na ni watu wa mihemuko
Moja wapo si ndo mtume wenu huoni alikuwa anawanyonya ndimi?
Sikuja kuleta amani,nimeleta upanga. Na amani ni neno la shetani?Ikiwa upanga ni neno la Mungu?Upanga ni neno la mungu muulize hata shekh mazinge atakuambia kuwa huo upanga ni neno la mungu maana na yeye hapo kabla alikuwa ajui upanga ni nini ...tena imeandikwa mti wa uzima wa milele unalindwa na upanga wenye makali kuwili maana yake akuna kula tunda la huo mti pasipo kufuata neno la mungu
Pia mnapewa na mshekhe zenu huoni mlivyotamalaki Mombasa lamu na Zanzibar?Mafundisho hayo ndiyo mnapewa na waume zenu wachungaji
View attachment 3338618
Kamuulize shekh mazinge atakupa jibu, maana hata yeye qnajua vizuri jibu la swali lako...ukienda kwa wavuta bangi na walevi walio kubuu ukawaletea neno la haki kuwaonya na ulevi na bangi ujue ilo neno unalo lipeleka upo uwezekano wa asilimia 90% kuondoa amani kwa sababu watu waovu wanachukia mema ....ukiwa rais mwadilifu basi jua duniani amani yako inapotea kwa sababu waovu awapendi watu wahadilifu..maandiko yanasema nuru ushindana na giza siku zote hivyo hakuna AMANI BAINA YA NURU NA GIZA na Neno la Mungu ni nuru limetumwa duniani kuliko na Giza sasa amani itatoka wapi ?Sikuja kuleta amani,nimeleta upanga. Na amani ni neno la shetani?Ikiwa upanga ni neno la Mungu?