Kwanini Marekani imeshindwa kuanzisha makundi ya kigaidi katika nchi mahasimu zisizo za Kiislamu?

Hata mtume Mohamad alifundishwa ushoga na Allah

Biblia yako imeandikwa

nedladdning.jpeg
 
Atajuaje kuandika wakati uislamu ni utamaduni wa waarabu.
Hapo ulipo bila lugha ya bwana wako muarabu huwezi kwenda msikitini wala Allah hakusikii wala hakutambui

Kuliko ukristo utamaduni wa kishoga wa wazungu? Mnafurahi kuolewa na wachungaji wa kizungu

nedladdning (1).jpeg
 
Yesu alipoondoka aliacha maagizo ya upendo, ukipigwa shavu la kulia geuza na la pili, mitume wakahubiri amani wakauawa kinyama, miaka 500 baadaye akaja muarabu na kuanzisha dini inayohubiri kinyume na kila kitu kilichohubiriwa na Yesu.
Mwenyewe huyo muarabu akaanzisha dini huku akichinja na kuuza watoto utumwani, leo nyie wafuasi wake mnachinja na kuteka watoto.
Ulimsikia wapi akihubiri hayo hayo uliandikiwa na watu hata hawajulikani unatuletea povu tu

[ATTACH=ful
 
Kuna ukweli gani kwa madai ya baadhi ya watu kwamba Marekani ndiyo mwanzilishi wa makundi ya kigaidi kama Al-Qaeda, ISIS, Boko Haram na mengine mengi yanayosumbua katika nchi za Kiislamu au Kiarabu ili kuvuruga amani na kuchota rasilimali?

Kwa nini Marekani haijaanzisha makundi ya kigaidi kama hayo kwa mahasimu wake wengine mfano Venezuela, Ecuador, Urusi, China, Korea Kaskazini, Belarus, Zimbabwe na Cuba?

Kwasababu waislam wengi hawana elimu na ni watu wa mihemuko
 
Yesu alipoondoka aliacha maagizo ya upendo, ukipigwa shavu la kulia geuza na la pili, mitume wakahubiri amani wakauawa kinyama, miaka 500 baadaye akaja muarabu na kuanzisha dini inayohubiri kinyume na kila kitu kilichohubiriwa na Yesu.
Mwenyewe huyo muarabu akaanzisha dini huku akichinja na kuuza watoto utumwani, leo nyie wafuasi wake mnachinja na kuteka watoto.
Kama mtu karubuniwa kuwa ataenda kutomba wanawake 72 huko ahera ili auamini uzushi
 
Kuna ukweli gani kwa madai ya baadhi ya watu kwamba Marekani ndiyo mwanzilishi wa makundi ya kigaidi kama Al-Qaeda, ISIS, Boko Haram na mengine mengi yanayosumbua katika nchi za Kiislamu au Kiarabu ili kuvuruga amani na kuchota rasilimali?

Kwa nini Marekani haijaanzisha makundi ya kigaidi kama hayo kwa mahasimu wake wengine mfano Venezuela, Ecuador, Urusi, China, Korea Kaskazini, Belarus, Zimbabwe na Cuba?

Kuna nchi zenye Tech kubwa na Ndogo

Nchi zenye Tech kubwa kama Urusi yapo hayo makundi ila hayana nguvu sababu Urusi ama China wanauwezo wa Kujitegemea. Same thing can be said kuhusu Iran.

Ila Nchi masikini zote utakuta hayo makundi popote kwenye Mali,

1. Tumeona Juzi ugomvi wa Congo ghafla tu Isis wametinga nao, je Isis na Congo wapi na wapi? Congo nchi ya kiisilamu?

2. Kabla ya Congo Tuliona msumbiji pia

3. Hapo Ukraine Usa ana support Azov ambao hawana tofauti na Alqaeda, pamoja na makundi mengine ya Neo Nazi.

4. Drugs lord wengi kuanzia Afghanistan, Pakistan hadi South America wapo supported na Cia.

Pia unatakiwa jambo moja ulijue Usa hasuport makundi sababu Nchi ni rafiki ama sio rafiki, bali a natafuta Mali za Kuiba, Zimbabwe akaibe nini? Congo kuna Madini, Msumbiji mafuta etc ina make sense wao kusupport vikundi, Cuba huko kuna Cigar tu,
 
Syiria na Burkinafaso kuna utajiri gani kuzidi Venezuela ?
 
Kuna ukweli gani kwa madai ya baadhi ya watu kwamba Marekani ndiyo mwanzilishi wa makundi ya kigaidi kama Al-Qaeda, ISIS, Boko Haram na mengine mengi yanayosumbua katika nchi za Kiislamu au Kiarabu ili kuvuruga amani na kuchota rasilimali?
Hizo huwa ni propaganda za wajinga!
99% ya ugaidi huasisiwa na kupangwa ndani ya nyumba za ibada za wahusika, na huungwa mkono na hao hao.

Hao Marekani ndiyo wanaongoza duniani kwa kupiga vita ugaidi kwa hali na mali...

View: https://youtube.com/watch?v=oQd7a1d9Gcw&si=iygaZRXNjh_TVr_e
 
Yesu alisema sikuja kuleta amani,nimeleta upanga.Matokeo yake akasulubiwa na kuchomwa mkuki,na kuuliwa.Mwanafunzi wake Yuda,akayafanyia kazi,akapanga na wauaji,anaitwa Yuda msaliti,wakati aliyafanyia kazi maagizo ya Yesu.
Yesu hakuacha amani,alisulubiwa,na maandiko yanasema kila aliyasulubiwa;amelaaniwa.Hapo amani iko wapi.Kxenye laana kuna amani?
Upanga ni neno la mungu muulize hata shekh mazinge atakuambia kuwa huo upanga ni neno la mungu maana na yeye hapo kabla alikuwa ajui upanga ni nini ...tena imeandikwa mti wa uzima wa milele unalindwa na upanga wenye makali kuwili maana yake akuna kula tunda la huo mti pasipo kufuata neno la mungu
 
Syiria na Burkinafaso kuna utajiri gani kuzidi Venezuela ?
Nchi zote za sahel France anapiga sana hela, kama Hufahamu Ufaransa ni Nchi ya tatu ama nne duniani kuwa na Dhahabu nyingi zaidi wakati Nchi yao haina hata mgodi mmoja

View: https://youtu.be/mmstPL9FWxg?si=mjGu0GKcCKOiJ_Qt

Burkina Faso na sahel kwa ujumla wana Dhahabu nyingi sana, ila wao wenyewe hata reserve ya dhahabu walikua hawana zikizalishwa zinaenda Ufaransa kukaa huko na Ufaransa ndio anawatengenezea pesa kutumia dhahabu zao ambazo zipo Ufaransa.

Video nilioweka juu ya Waziri mkuu wa Italy inaelezea.

Syria pia ana mafuta, Na Usa anachimba mafuta ya Syria bila ruhusa ya mtu yoyote, ukumbuke eneo ambalo waasi wa kikurdi wanaoungwa mkono na Usa ndio kulikua na Mafuta mengi, Usa haja hangaika kwenda Damascus ama kwengine, kaenda moja kwa moja kwenye mafuta.

Na Venezuela sababu hakuna machafuko haimaanishi Usa haja Attempt, it's just jamaa wame resist mda mrefu. Mara kwa mara attempt za kuangusha serikali ama mercenaries wana distabilize nchi wanakamatwa.

Hizo huwa ni propaganda za wajinga!
99% ya ugaidi huasisiwa na kupangwa ndani ya nyumba za ibada za wahusika, na huungwa mkono na hao hao.

Hao Marekani ndiyo wanaongoza duniani kwa kupiga vita ugaidi kwa hali na mali...

View: https://youtube.com/watch?v=oQd7a1d9Gcw&si=iygaZRXNjh_TVr_e

Unamjua kiongozi wa Isis/Al Qaeda Syria?

images (65).jpeg

Huyo Hapo anasalimiana na Trump na washa ingia mikataba kibao, kaa hivyo hivyo kueneza propaganda zako. Unless Trump naye anatoka mskitini.
 
Back
Top Bottom