Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Anayejua sababu kwanini wamarekani walikataa kumchagua Rais mwanamke kuwaongoza atujuze, wengine tunaomba kujifunza kupitia hayo maamuzi yao, si kwa ubaya lakini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lile ni taifa kubwa lenye maadui wengi duniani, wanawake ni watu wa jikoni, kitandani na sebureni. Ndo maana kwetu hapa hatuwezi kusonga mbele, mambo mengi ni ya jikoni na sebureni. Mambo makubwa hakuna.Anayejua sababu kwanini wamarekani walikataa kumchagua Rais mwanamke kuwaongoza atujuze, wengine tunaomba kujifunza kupitia hayo maamuzi yao, si kwa ubaya lakini. Ila Mode msifute huu uzi maana mnahisia kali sana, mm sipo huko mtakapo peleka hisia zenu sawa. 😂 hapa kazi ni kujifunza tu.
Mwanamke sio kiongozi. Uliza mataifa yenye viongozi hao. Utasikia vilio vyao
We bwana mkubwa Nozzle shingapi zile ulinipostia?
OvaLile ni taifa kubwa lenye maadui wengi duniani, wanawake ni watu wa jikoni, kitandani na sebureni. Ndo maana kwetu hapa hatuwezi kusonga mbele, mambo mengi ni ya jikoni na sebureni. Mambo makubwa hakuna.
Unawa-overestimate sana hao wamarekani.Marekani wanachagua sera hawachagui jinsia. Hata wagombea wote wangekuwa wa kike bado mshindi angekuwa mmoja mwenye sera walizozielewa.
🤣We bwana mkubwa Nozzle shingapi zile ulinipostia?
Zote nzima lakini?🤣
25@.
Yeah!!!Zote nzima lakini?
Tatizo wengi mmekaza vichwa na kung'ang'ania mnavyotaka kuskia badala ya kuchukua muda kuchunguza ukweli ulikuwaje. Manifesto ya yule mama yalikuwa kuiingiza dunia kwenye ww3. Alipoulizwa atakuja kufanya nn kuuinua uchumi ulioangushwa ndani ya uongozi wa Biden(yeye akiwa v president) hakuwa n lolote la kusema. Kuhusu wahamiaji haramu hakuwa na chochote cha kusema. Ila Alipoulizwa Kuhusu vita ya urusi dhidi ya Ukraine n genocide in Gaza, alianza kuropokwa hadi shidaah.Anayejua sababu kwanini wamarekani walikataa kumchagua Rais mwanamke kuwaongoza atujuze, wengine tunaomba kujifunza kupitia hayo maamuzi yao, si kwa ubaya lakini. Ila Mode msifute huu uzi maana mnahisia kali sana, mm sipo huko mtakapo peleka hisia zenu sawa. 😂 hapa kazi ni kujifunza tu.