Jiulize swali; kwanini Nyoka hakwenda kwa Adam instead alimchagua Hawa? Uingereza hadi leo wanajilaumu kwa kumpa u PM mama Margaret Theacher, they will never repeat it, same as India kwa mama Indila Ghandi. Kina mama ni wazuri kwenye kuchamba; just nenda kasikilize hata hotuba za mama Harris Kamala akiwa anamjibu Trump, alikua anamchamba tu.
Kuna watu wanazungumzia sera eti, hebu warudishe kumbukumbu nyuma kidogo hapo hapo USA, mwanzoni mama Hilary Clinton alionesha Nia ya kugombea through chama chake, Obama nae pia, guess what? Democrats waliona bora wampe Blackman kuliko mwanamke Hillary; remember kwa maana ya experience, Hillary may be she could do better cause her husband was an Ex president of USA, not only ex president but alikua rais aliyeimarisha sana uchumi wa USA kwa kipindi chake, wakati hu ndio marekani ilikua imeyumba kiuchumi sana baada ya Bush kupigana vita 2, Afghanistan na Iraq, makampuni kadhaa yalifirisika na mabenki kadhaa yalifungwa, never on their history but they opt to go with a Man not a woman, well baada ya Obama kutoka madarakani, mama huyu si alishinda kwa kura za wananchi dhidi ya Trump? What happened? Wahafidhina wakaona bora kumpa tajiri asie na uzoefu wowote wa kisiasa, huyu sasa kihistoria ni mzee wa starehe na totoz, Hillary aliongoza vizuri sana ukamatwaji na mauaji ya Osama Bin Laden but Americans said No to their highest office. Mwisho, USA wanawake wameanza kuhurusiwa kupiga KURA mwishoni mwa miaka ya 60, means hata kuwapigia kura wanaume, wanawake hawakuruhusiwa.