Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama ni kuwa Rais basi Mama Clinton angekuwa Rais ila kwa kuwa hawajawahi kuamini katika jinsia ya kike hadi Kesho Kamwe Mwanamke hawezi kuwa Rais wa USA.Anayejua sababu kwanini wamarekani walikataa kumchagua Rais mwanamke kuwaongoza atujuze, wengine tunaomba kujifunza kupitia hayo maamuzi yao, si kwa ubaya lakini.
Agenda yake kuu ilikua ni utoaji mimba, ndoa za jinsia moja na kutetea mafirauni, kitu ambacho sio kipaumbele cha wamarekani wengi.Anayejua sababu kwanini wamarekani walikataa kumchagua Rais mwanamke kuwaongoza atujuze, wengine tunaomba kujifunza kupitia hayo maamuzi yao, si kwa ubaya lakini.
Hajakataliwa sababu ni mwanamke, ila sababu Democrats ilifeli kwenye uchumi na yeye alikua serikalini. Ila angegombea 2020 kipindi Covid 19 imemmaliza Trump mbona angeshinda. Marekani huko kama wanasupport ushoga ndio watashindwa chagua mwanamke?Anayejua sababu kwanini wamarekani walikataa kumchagua Rais mwanamke kuwaongoza atujuze, wengine tunaomba kujifunza kupitia hayo maamuzi yao, si kwa ubaya lakini.
Tanzania mbona tunalia umaskini miaka 60 hao wanaume walitusaidia nini?Mwanamke sio kiongozi. Uliza mataifa yenye viongozi hao. Utasikia vilio vyao