Magezi bugaga
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 1,181
- 1,594
Woman are too emotionalAnayejua sababu kwanini wamarekani walikataa kumchagua Rais mwanamke kuwaongoza atujuze, wengine tunaomba kujifunza kupitia hayo maamuzi yao, si kwa ubaya lakini. Ila Mode msifute huu uzi maana mnahisia kali sana, mm sipo huko mtakapo peleka hisia zenu sawa. 😂 hapa kazi ni kujifunza tu.
Madhaifu ya wanawake ni mengi, fikiria tu inasemekana leo huko Morogoro wafanyakazi wameambiwa waende kwenye msikiti mpya unaotembelewa na mama yake Lucas MwashambwaAnayejua sababu kwanini wamarekani walikataa kumchagua Rais mwanamke kuwaongoza atujuze, wengine tunaomba kujifunza kupitia hayo maamuzi yao, si kwa ubaya lakini. Ila Mode msifute huu uzi maana mnahisia kali sana, mm sipo huko mtakapo peleka hisia zenu sawa. 😂 hapa kazi ni kujifunza tu.
Unashindwa kuelewa tatizo si jinsia, ni sera za chama chake, hakuandaliwa.Anayejua sababu kwanini wamarekani walikataa kumchagua Rais mwanamke kuwaongoza atujuze, wengine tunaomba kujifunza kupitia hayo maamuzi yao, si kwa ubaya lakini. Ila Mode msifute huu uzi maana mnahisia kali sana, mm sipo huko mtakapo peleka hisia zenu sawa. 😂 hapa kazi ni kujifunza tu.
Wanachagua kiongozi wa nchi si gender, gender haitosaidia chochote kama sera ni mbovuWanapromote gender stereotype..
Anayejua sababu kwanini wamarekani walikataa kumchagua Rais mwanamke kuwaongoza atujuze, wengine tunaomba kujifunza kupitia hayo maamuzi yao, si kwa ubaya lakini. Ila Mode msifute huu uzi maana mnahisia kali sana, mm sipo huko mtakapo peleka hisia zenu sawa. 😂 hapa kazi ni kujifunza tu.
Kabisa, wanadhani wao wanapiga kura kama huku. Eti utasikia sasa hivi ni zamu ya mwanamke. Yani watu wanachagua kiongozi kwa sifa ya jinsia yake wala si uwezo wake.Unashindwa kuelewa tatizo si jinsia, ni sera za chama chake, hakuandaliwa.
Linapokuja suala la kuchagua kiongozi ngozi nyeupe huwa hazifanyi ujinga kabisa.
Kama hujataja Golda Meir wa Israel hao wawili ni paka wa jikoni.Unafahamu Angel Markel? Uliwahi kumsikia Margareth Thatcher? Wanawake ni viongozi Tena very powerful
Marekani raia wao Wana akili kubwaAnayejua sababu kwanini wamarekani walikataa kumchagua Rais mwanamke kuwaongoza atujuze, wengine tunaomba kujifunza kupitia hayo maamuzi yao, si kwa ubaya lakini. Ila Mode msifute huu uzi maana mnahisia kali sana, mm sipo huko mtakapo peleka hisia zenu sawa. 😂 hapa kazi ni kujifunza tu.
Wamefikia lengo la kuwame-brainwash watu kama nyinyiMarekani wanachagua sera hawachagui jinsia. Hata wagombea wote wangekuwa wa kike bado mshindi angekuwa mmoja mwenye sera walizozielewa.
Ukitaka ujute ufanye kazi na boss mwanamkeWanawake wanatumia hisia sana kwenye maamuzi, just like MAZA
Sababu moawapo, alikuwa hana nia ya kumaliza vita walivyovianzisha kwenye utawala wake wa sasa.Anayejua sababu kwanini wamarekani walikataa kumchagua Rais mwanamke kuwaongoza atujuze, wengine tunaomba kujifunza kupitia hayo maamuzi yao, si kwa ubaya lakini.
Kama vinalipa angefanyajeSababu moawapo, alikuwa hana nia ya kumaliza vita walivyovianzisha kwenye utawala wake wa sasa.
Nyingoine ni kukumbatia lgbtq.
havijalipa, raia walio wengi wamevikataa.Kama vinalipa angefanyaje
Hawachagui mtu kwa uongeaji wa mbwembwe. Kwani Trump aliposhindwa na Biden napo Trump alikuwa mwanamke?Siyo kweli.Kama ni sera na uongeaji wa mbwembwe,basi Kamala angeshinda.Twende mbali zaidi ya hayo.
Kamala hakuwa na sera za maana kwenye uhamiaji, masuala ya kiusalama na vita, manufacturing ya Marekani, diplomasia ya Marekani kimataifa. Kamala sera zake kubwa zililenga kwenye petty issues kama kuruhusu haki ya kutoa mimba, mambo ya kijinsiia na mashoga yalikuwa muhimu kwake kuliko mambo ya msingi ya kimaisha, kutoa misaada, kulinda demokrasia duniani ilikuwa muhimu kwake wakati Trump sera yake ni Marekani kwanza.Siyo kweli.Kama ni sera na uongeaji wa mbwembwe,basi Kamala angeshinda.Twende mbali zaidi ya hayo.