Anayejua sababu kwanini wamarekani walikataa kumchagua Rais mwanamke kuwaongoza atujuze, wengine tunaomba kujifunza kupitia hayo maamuzi yao, si kwa ubaya lakini.
Agenda yake kuu ilikua ni utoaji mimba, ndoa za jinsia moja na kutetea mafirauni, kitu ambacho sio kipaumbele cha wamarekani wengi.
Mbaya zaidi,
wamarekani wengi hawakufurahishwa na uongozi wa huyu mwanamke kwa kujifungia white house ndiyo wana bwekabweka wakiwa wamejifungia ndani ba Biden.
Influence ya Marekeni kiuchumi, kijeshi na kitecholojia duniani imeporomoka sana huyu mama akihusika.
Hakua na sera ya maana kuhusu ajira, uhamiaji afya, elimu na hata usalama wa wa marekani duniani.
Kamala Haris ni mnyonge mno,
ukilinganisha na ujasiri na uwezo wa kiuchumi na kimamlaka kwa mataifa makubwa ya ulimwengu mathalani China, Russia n.k
Wamarekani wengi walihitaji mtu jasiri asie muoga, anaeweza kuchukua maamuzi magumu kwa maslahi ya wa marekani.
Kamala Haris ni dhaifu mno.🐒