Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Gentleman,Moja ya jambo limeniacha na peace of mind ni kuwa neutral sana kwenye siasa za Tanzania zisizoeleweka.
N
Directs the Administration to evaluate the extent of the People’s Republic of China’s military, economic and political engagement in Tanzania, including cooperation that could undermine democratic institutions and U.S. interests in the region.
Hizo interests za Marekani ni zipi?
Lakini hata kabla ya vita vya Iran, Marekani imekuwa na economic cooperation na Chinakukurupuka kwa Marekani dhidi ya kuivamia Irani isiyotabirika, kumemfanya confused D.Trump kuwaona sasa, maadui zake, mathalani China kama marafiki na washirika wake muhimu sana kijeshi, kijamii, kisiasa na kiuchumi.
Na Tanzania pia ikiwa sovereign state ina haki ya kulinda economic interests zake na mataifa mengine bila third party country kuiingiliaKutimizamwa na kutathminiwa upya kwa mahusiano ya serikali ya Marekani dhidi ya mataifa mbalimbali ni haki yake ya msingi na ni utaratibu wa kawaida hata kwa mataifa karibu yote ulimwenguni.
Mwanzo ina undermine democratic institution, ndio tupo hapo kabla ya kuangalia hizo US interest.Moja ya jambo limeniacha na peace of mind ni kuwa neutral sana kwenye siasa za Tanzania zisizoeleweka.
Hizo interests za Marekani ni zipi?
Umesema vyemaGharama inazotumia Marekani kutuliza hali ya mambo mashariki ya kati ni kubwa sana na imeexpose uwezo wa Marekani kijeshi kua ni wa kawaida na usio tishia usalama, uhuru na haki za mataifa mengine tena.
Democratic insitution kama zipi?Mwanzo ina undermine democratic institution, ndio tupo hapo kabla ya kuangalia hizo US interest.
Je wewe unaonaje ni Sawa Ku undermine his democratic institution
Sawa sasa China imeingiaje kwenye huo mjadala wa Marekani na Tanzania?Hakuna jambo geni wala jipya kwenye utaratibu huo usio na athari kubwa bali wenye maslahi mapana ya wahusika Katika hilo
lakini umeielezea China kwenye hoja yako mahususi mezani gentleman, kwani ilikua haihisiki kwenye hoja yako?Sawa sasa China imeingiaje kwenye huo mjadala wa Marekani na Tanzania?
Kuna tume ya uchaguzi, kuna bunge, kuna serikali, kuna vyombo vingine vinavyo imarisha hizo democratic institutions kama Mahakama, Mkaguzi Mkuu wa serikali, Polisi, usalama Taifa sio kikundi cha watu, magereza, ofisi ya vyama vingi , magazetiDemocratic insitution kama zipi?
lakini umeielezea China kwenye hoja yako mahususi mezani gentleman, kwani ilikua haihisiki kwenye hoja yako?
Kuna tume ya uchaguzi, kuna bunge, kuna serikali, kuna vyombo vingine vinavyo imarisha hizo democratic institutions kama Mahakama, Mkaguzi Mkuu wa serikali, Polisi, usalama Taifa sio kikundi cha watu, magereza, ofisi ya vyama vingi , magazeti
hiyo sio hoja ya Marekani gentleman,Nilichomaanisha kwa nini kwenye muswada imeandikwa:
Directs the Administration to evaluate the extent of the People’s Republic of China’s military, economic and political engagement in Tanzania
Hoja ya Marekani ni nini hasa hapo?
Umeuelewa huo mswada?? Kitu cha Kwanza cha US ni kuhusu Tanzania ni kuundermine democratic institutions, sasa wewe unakubaliana nao au unapingana nao hapo ndio nitakuja kwenye Hilo jingineHizo institution zinahusinaje na Tanzania ikiwa na economic cooperation na China?
Adui mchana usiku trade partnerChina ni Mshirika wa karibu na Muhimu sana wa Tanzania, ambae Marekani inamuhifia sana na awali China ilikua sio tu mshindani wa kiuchumi wa Marekani bali pia adui mkubwa na hatari mno kwa Marekani.
Nchi ngapi hazina demokrasia na zipo zinasemwa zinaundermine democracy?Umeuelewa huo mswada?? Kitu cha Kwanza cha US ni kuhusu Tanzania ni kuundermine democratic institutions, sasa wewe unakubaliana nao au unapingana nao hapo ndio nitakuja kwenye Hilo jingine