Nchi siyo yako, ni yao kama hutaki walalamike waachie nchi yao.Kulalamika ni jadi na asili ya mtanzania, akipewa yeye nafasi vichekesho vitupu.
Kwani lazima ujilazimishe kuwa kiongozi wao na HAWAKUTAKI?
MAPINDUZI dhidi ya nani?Hao waliouliwa wangeingia ikulu tungekuwa tunajiliza kwa kina ICC kuhusiana na vifo vyao?.
Mlitaka kufanya mapinduzi ya kihuni mkadhibitiwa kihuni pia.
Tangu lini MGOMBEA anapinduliwa??
Huko CCM wanaokota kila mwenye mtindio wa ubongo anapewa uongozi??
