Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Money talks
Na sera ya China ni win-win economic cooperation bila kuingilia internal affairs ya trade partnerSera ya Marekan ni kuwa hana Adui wa kudumu au Rafiki wa kudumu.
Umeelewa kilichoandikwa kwenye uzi?Yani watu waache kufanya biashara zao za mabilioni ya dola kwa sababu kuna manyani yanauana yenyewe kwa yenyewe shitholeni?
Can you come to your senses kijana?
Umeelewa kilichoandikwa kwenye uzi?
Oo, kumbe ni hivyo basi tuendele hivi hivi , kila mtu atumie nguvu zake kupata anacho kitaka.Nchi ngapi hazina demokrasia na zipo zinasemwa zinaundermine democracy?
Kuna demokrasia ya Magharibi UAE, Saudi Arabia, Kuwait n.k?
Mbona hatusikii Marekani ikienda huko kutathmini uhusiano wao na nchi hizo?
Mwaka jana Trump alienda Middle East akasaini mikataba ya kibiashara ya billions of dollars na nchi zisizo za Kidemokrasia na trade partner wao mkubwa ni China
Wamarekan na wanaowa support ni ******* tuNa Tanzania pia ikiwa sovereign state ina haki ya kulinda economic interests zake na mataifa mengine bila third party country kuiingilia
China inanyonga MAFISADI na inajali wananchi wake.Moja ya jambo limeniacha na peace of mind ni kuwa neutral sana kwenye siasa za Tanzania zisizoeleweka.
Nimeona mahali JF mleta mada ameleta document ya Desemba 2025 ambapo bunge la senate la Marekani limepanga kupitisha muswada unaagiza kutathmini ushirikiano wa Tanzania na China kijeshi, kiuchumi na kisiasa.
Wanasubiri tu Trump abariki muswada huo kwa kumwaga wino Tanzania ishughulikiwe.
Kwa miongo kadhaa media na wachambuzi wa Magharibi wakiongozwa na Marekani wamekuwa wakiiaminisha dunia kuwa China haina Demokrasia, uhuru wa maoni, wala uhuru wa vyombo vya habari hakuna.
Na kama haitoshi wanasema kuwa Serikali ya China huwa inawanyanyasa, kuwatesa na kuwaua jamii ya Waislamu iliyopo Xinjiang.
Mbona hao Marekani bado wanafanya biashara za billions of dollars na China?
Nchi ambayo haifuati Demokrasia ya Magharibi na wanadai inaua Waislamu Xinjiang?
Wamuondoe Xi na chama cha CPC basi tuone au waondoe economic cooperation na China.
Lakini ndio kwanza wiki 2 zilizopita Trump alienda kutafuta deals China. Dunia ina unafiki sana, inataka akili sana ku-deal na Marekani na nchi za Magharibi.
By the way hapa ni mahali Watanzania waondoe uCCM, uCHADEMA, uhanarakati, na Pro-U.S mentality panataka akili sana. Kwa sehemu muswada ulisema:
Directs the Administration to evaluate the extent of the People’s Republic of China’s military, economic and political engagement in Tanzania, including cooperation that could undermine democratic institutions and U.S. interests in the region.
Hizo interests za Marekani ni zipi?
UTU, HAKI ZA BINADAMU havina MIPAKA.Na Tanzania pia ikiwa sovereign state ina haki ya kulinda economic interests zake na mataifa mengine bila third party country kuiingilia
Huyu jamaa anatoa mifano iliyokufa kabisaa!!! China na TANZANIA wapi na wapi..Level yetu ya kutuniana kifua ni kina Kenya, Rwanda sio Marekani au China, mbona baba huwa anarudi saa sita usiku namimi leo narudi saa sita.
The big issue ni kutenda haki. Kwani Marekani anapokuambia usiteke, usiue wananchi wako anakosea wapi, anaposema fanyeni uchaguzi wa haki anakosea wapi hata kama kwake hafanyi, do your rights leave his lefts, nje ya hapo tutaendelea kuyalaumu mataifa makubwa yanapojitengenezea njia ili yafanye biashara zao vizuri.
Kabla ya kuanza kuwalaumu wamarekani Anza kuwalaumu viongozi wako wa CCM ambao wanaiba pesa hapa TANZANIA na kwenda kuficha USA na ulaya hata wakiugua wanakimbilia hukohuko USA kutibiwa , Acha kufananisha TANZANIA na china weweeeeNa sera ya China ni win-win economic cooperation bila kuingilia internal affairs ya trade partner
Raia wa hizo nchi za Kiarabu na China wanaitaka demokrasia kama ambavyo Raia wa Tanzania wanavyoitaka?Nchi ngapi hazina demokrasia na zipo zinasemwa zinaundermine democracy?
Kuna demokrasia ya Magharibi UAE, Qatar, Saudi Arabia, Kuwait n.k?
Mbona hatusikii Marekani ikienda huko kutathmini uhusiano wao na nchi hizo?
Mwaka jana Trump alienda Middle East akasaini mikataba ya kibiashara ya billions of dollars na nchi zisizo za Kidemokrasia na trade partner wao mkubwa ni China
Hivi tunacho cha kulinda?Na Tanzania pia ikiwa sovereign state ina haki ya kulinda economic interests zake na mataifa mengine bila third party country kuiingilia
Mpaka sasa swali langu halijajibiwa, inasemwa kuwa Tanzania inaundermine demokrasiaOo, kumbe ni hivyo basi tuendele hivi hivi , kila mtu atumie nguvu zake kupata anacho kitaka.
Umesema vyema, China haicheki na majizi na mafisadi na wala hawakuhitaji Demokrasia ya Magharibi kupambana na hiloChina inanyonga MAFISADI na inajali wananchi wake.
Umesema vyemaMarekani ni MNAFIKI
Imani yako ipo kwenye maelezo yako haya, sasa mtu akujibu nini wakati wewe mwenye unamajibu yakoMpaka sasa swali langu halijajibiwa, inasemwa kuwa Tanzania inaundermine demokrasia
Basi kwa nini Marekani iingilie economic cooperation kati ya Tanzania na China?
Kuna uhusiano gani kati ya mambo hayo mawili?