Kwanini mashahidi wote katika kesi ya Lissu ni wakiristo?

nadhani ni kwasababu Chadema yenyewe ni chama cha kikristo na ndio maana viongozi wake wote wakuu ni wakristo pekee.

hata Fr.Charles Kitima, katibu mkuu wa TEC ni miongoni mwa wanachama na viongozi wakuu wa chadema wanaosaidia kuongoza chama hicho kisayansi na kuhakikisha mabeberu na mabwenyenye yanapitisha ufadhili wao kupitia kanisa ikiwa kupenyeza pesa mojakwamoja chadema itakua changamoto.
Chadema inafadhiliwa kwa 100% na nchi moja ya kikristo kutoka huko magharibi :1Head:
Hata pole pole alikua na kejeli kama wewe, dunia hii haina mwenyewe. Mwenyewe ni Allah tu
 
sinaga muda na ramli nonsense kama hizo gentleman,
ni muhimu kuzingatia ukweli huo hapo juu kwnye comment mahususi na itakusaidia sana kuliko kutia huruma useless kihivyo :1Head:
 
Rais ni muislam, mashahidi wakiwa waislam italeta hisia za udini. Tena wangeweka wakatoliki kabisa washindane wenyewe kwa wenyewe haina hisia mbaya
Mtume Muhammad (S.A.W.) alionya vikali kuhusu ushahidi wa uongo:
Katika hadithi sahihi iliyopokewa na Al-Bukhari na Muslim ibn al-Hajjaj, Mtume alitaja ushahidi wa uongo kuwa miongoni mwa madhambi makubwa (kabā’ir), na aliirudia mara kadhaa kuonyesha uzito wake.

MUISLAMU KUWA SHAHIDI WA AINA HII NI KUJIANGAMIZA
 
sasa kama angepangiwa kazi hiyo na bosi wake atakataaje?
 
Wanaomungamiza lissu ktk ushahidi sio makobazi. Ni nyinyi wavaa Tai, wasomi, wapiga suti lkn moyoni mwao si unaona?
Hii kesi siyo ya kidini kabisa ila sijui kinakupataga nini wewe ndugu Kila kitu unakiangalia katika jicho la udini....Kila kitu!! Yani nyuzi zako karibia zote ni za udini.

Mbona hata hao majaji na mawakili kwenye hii kesi mzima ni wakristo zaidi ya 90% na husemi hili?

Hii kesi ni ya kisiasa kuliko namna unavyotaka kuitwist.

Shame on you.
 
Umeandika uwongo. Yule wa siku ya Ijumaa, mahakamani alisema yeye ni mkristo, maelezo aliyoandikisha polisi anasema kuwa ni muislam. Sasa hapo huyo ni mkristo au muidlam?
Kwa kuwa ushahidi wao ni wa uwongo, hakuna hata kimoja wanachokitamka ambacho kinaweza kuaminika kuwa ni cha kweli. Hakuna mkristo wa kweli anayeweza kukubalika kutumika na wauaji kama shahidi wao. Hao ni sawa na wale wakatoliki fake. Hao ni wapagani. Ukristo siyo jina bali maisha ya kila siku. Anayeweza kukubali kutumika na wauaji kutoa ushahidi bandia, hawezi kuwa mkristo. Ukristo unasisitiza kuwa mkweli. Na Yesu aliye Bwana wa Ukristo anasema aliye wa ukweli ndiye huisikia sauti yake. Hao ni wafuasi wa shetani.
 
Kwa sababu wanaulizwa dini gani mashahidi. Unahisi kwanini?
 
Alafu hoja ya mleta mada angalau ingeleta mashiko endapo mashahidi wote 30 wangekuwa wameshatoa ushahidi na katika hao mashahidi wangekuwa wote wakristo huu Uzi ungeleta maana.

Ila mpaka Leo wamwjitokeza mashahidi 8 Tena wengi wao kutoka songea ambalo inaeleweka asilimia kubwa ya watu wa pale ni wakristo wakatoliki.

Mfano huo mkutano angeufanyia Tanga na kukamatwa huko tungeshuhudia mashahidi wa huko wengi kuwa siyo wakristo.

Malaria 2 tusubiri kesi iishe ndiyo tulifanye mjadala hili.
 
Back
Top Bottom