Kwanini mashahidi wote katika kesi ya Lissu ni wakiristo?

Kwanini mashahidi wote katika kesi ya Lissu ni wakiristo?

Kwa sababu wanaulizwa dini gani mashahidi. Unahisi kwanini?
Hivi watu wanafichwa kwenye kizimba. Hakuna mtu anawaona hauoni kuwa Kuna uwezekano wa shahidi kuongopa chochote au hata mashahidi kujirudia kwa majina tofauti na dini anaweza kusema yoyote akiamua? Nani anathobitibitisha kuwa wao ni wakristo au siyo wakristo?

Kuna shahidi umemuona live?
 
Hivi watu wanafichwa kwenye kizimba. Hakuna mtu anawaona hauoni ni rahisi mtu kuongopa chochote au hata mashahidi kujirudia kwa majina tofauti na dini anaweza kusema yoyote akiamua?

Kuna shahidi umemuona live?
Maafande
 
nadhani ni kwasababu Chadema yenyewe ni chama cha kikristo na ndio maana viongozi wake wote wakuu ni wakristo pekee.

hata Fr.Charles Kitima, katibu mkuu wa TEC ni miongoni mwa wanachama na viongozi wakuu wa chadema wanaosaidia kuongoza chama hicho kisayansi na kuhakikisha mabeberu na mabwenyenye yanapitisha ufadhili wao kupitia kanisa ikiwa kupenyeza pesa mojakwamoja chadema itakua changamoto.
Chadema inafadhiliwa kwa 100% na nchi moja ya kikristo kutoka huko magharibi :1Head:
Kumbe wewe ni mpuuzi kiasi hiki. Nimekudharau sana
 
Kumbe wewe ni mpuuzi kiasi hiki. Nimekudharau sana
Huyu tlatlah,gallow bird,lucha,makebo na members karibia wote viazi na machawa wa Samia wanaonyesha patterns zilezile. Deep down unagundua Wana udini pia.

Hao wote niliowataja ni waislamu na wameamua kujizima data na kumtetea Samia muuaji kwa sababu ya dini tu. Muislamu mwenye akili awezi kufanya huu ujinga.

Humu tunao waislamu wengi tu wenye kujitambia na kupinga huo ushetani wa huyu bimkubwa.
 
sababu wakristo kusema uongo ni kawaida wakristo kumsingizia mtu kwao ni kawaida wakristo wanajali pesa tu
 
Umeandika uwongo. Yule wa siku ya Ijumaa, mahakamani alisema yeye ni mkristo, maelezo aliyoandikisha polisi anasema kuwa ni muislam. Sasa hapo huyo ni mkristo au muidlam?
Kwa kuwa ushahidi wao ni wa uwongo, hakuna hata kimoja wanachokitamka ambacho kinaweza kuaminika kuwa ni cha kweli. Hakuna mkristo wa kweli anayeweza kukubalika kutumika na wauaji kama shahidi wao. Hao ni sawa na wale wakatoliki fake. Hao ni wapagani. Ukristo siyo jina bali maisha ya kila siku. Anayeweza kukubali kutumika na wauaji kutoa ushahidi bandia, hawezi kuwa mkristo. Ukristo unasisitiza kuwa mkweli. Na Yesu aliye Bwana wa Ukristo anasema aliye wa ukweli ndiye huisikia sauti yake. Hao ni wafuasi wa shetani.

Hivi mbulula unadhani uko kijijini kwenu hapa, unatapika na mataputapu ya kichwani kwako halafu wanakijiji wenzako wanakushangilia
Yaani unatunga tu kichwani na kuamua kujiandikia kwa kuwa una kitecno simu janja
 
Huyu tlatlah,gallow bird,lucha,makebo na members karibia wote viazi na machawa wa Samia wanaonyesha patterns zilezile. Deep down unagundua Wana udini pia.

Hao wote niliowataja ni waislamu na wameamua kujizima data na kumtetea Samia muuaji kwa sababu ya dini tu. Muislamu mwenye akili awezi kufanya huu ujinga.

Humu tunao waislamu wengi tu wenye kujitambia na kupinga huo ushetani wa huyu bimkubwa.
Wewe fyongo brain usishoboke na jina langu pumbavu
Kenge wewe unadhani hatujui akili zenu za kipimbi mnajificha kwenye siasa na mashoga yenu ya TEC

Tulikuwepo kwenye uchaguzi wa Kikwete 2015, na tuliona nyinyi na TEC mlivyo mstari wa mbele kumtetea Slaa , ila alivyokuja yule mwehu wote mlihamia kwake kwa kuwa ni mgalatia mpaka kadinali Pengo ,
Kwanini Kitima alikaa kimya kipindi hiko, ulishawahi kuona akiitisha press, tena ana bahati sana ana uhuru hata wa kuongea na waandishi, kwenye kipindi cha magu alikuwa wapi ?
Na usilete ujinga wa eti walitoa waraka, huo upuuzi ni bullshit

Sisi hatumtaki hata huyo Samia, lakini kwa kuwa mnaleta udini, tukatana vichwa bila wasiwasi
 
Hiyo ni inferiority complex inawasumbua.

Kuhisi kuonewa katika Kila jambo huo ni ujinga.

Wewe na wenzio mnaowaza hivyo ni wajinga tu.
 
Mshalala?
Screenshot_20260216-194530~2.png
 
All in all lissu aachiwe, inajulikana hii kesi ni ya kisiasa tu, ni mchezo wa kisiasa
 
Back
Top Bottom