Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,239
- 29,566
Hivi watu wanafichwa kwenye kizimba. Hakuna mtu anawaona hauoni kuwa Kuna uwezekano wa shahidi kuongopa chochote au hata mashahidi kujirudia kwa majina tofauti na dini anaweza kusema yoyote akiamua? Nani anathobitibitisha kuwa wao ni wakristo au siyo wakristo?Kwa sababu wanaulizwa dini gani mashahidi. Unahisi kwanini?
MaafandeHivi watu wanafichwa kwenye kizimba. Hakuna mtu anawaona hauoni ni rahisi mtu kuongopa chochote au hata mashahidi kujirudia kwa majina tofauti na dini anaweza kusema yoyote akiamua?
Kuna shahidi umemuona live?
Kumbe wewe ni mpuuzi kiasi hiki. Nimekudharau sananadhani ni kwasababu Chadema yenyewe ni chama cha kikristo na ndio maana viongozi wake wote wakuu ni wakristo pekee.
hata Fr.Charles Kitima, katibu mkuu wa TEC ni miongoni mwa wanachama na viongozi wakuu wa chadema wanaosaidia kuongoza chama hicho kisayansi na kuhakikisha mabeberu na mabwenyenye yanapitisha ufadhili wao kupitia kanisa ikiwa kupenyeza pesa mojakwamoja chadema itakua changamoto.
Chadema inafadhiliwa kwa 100% na nchi moja ya kikristo kutoka huko magharibi
Na mawakili? Na majaji? Mbona hao karibia wote ni wakristo pia?Maafande
Kwanini mashahidi wote ktk kesi ya Lissu ni wakiristo? Kila anaelizwa dini ya shahidi, hujitambulisha mkiristo
Huyu tlatlah,gallow bird,lucha,makebo na members karibia wote viazi na machawa wa Samia wanaonyesha patterns zilezile. Deep down unagundua Wana udini pia.Kumbe wewe ni mpuuzi kiasi hiki. Nimekudharau sana
Wewe dickhead kaa kwa kutuliammekutana kobazi kwa kobazi, umaneni wenyewe kwa wenyewe pimbi nyie!
Umeandika uwongo. Yule wa siku ya Ijumaa, mahakamani alisema yeye ni mkristo, maelezo aliyoandikisha polisi anasema kuwa ni muislam. Sasa hapo huyo ni mkristo au muidlam?
Kwa kuwa ushahidi wao ni wa uwongo, hakuna hata kimoja wanachokitamka ambacho kinaweza kuaminika kuwa ni cha kweli. Hakuna mkristo wa kweli anayeweza kukubalika kutumika na wauaji kama shahidi wao. Hao ni sawa na wale wakatoliki fake. Hao ni wapagani. Ukristo siyo jina bali maisha ya kila siku. Anayeweza kukubali kutumika na wauaji kutoa ushahidi bandia, hawezi kuwa mkristo. Ukristo unasisitiza kuwa mkweli. Na Yesu aliye Bwana wa Ukristo anasema aliye wa ukweli ndiye huisikia sauti yake. Hao ni wafuasi wa shetani.
Wewe fyongo brain usishoboke na jina langu pumbavuHuyu tlatlah,gallow bird,lucha,makebo na members karibia wote viazi na machawa wa Samia wanaonyesha patterns zilezile. Deep down unagundua Wana udini pia.
Hao wote niliowataja ni waislamu na wameamua kujizima data na kumtetea Samia muuaji kwa sababu ya dini tu. Muislamu mwenye akili awezi kufanya huu ujinga.
Humu tunao waislamu wengi tu wenye kujitambia na kupinga huo ushetani wa huyu bimkubwa.
dickhead ni weweWewe dickhead kaa kwa kutulia
Hiyo ni inferiority complex inawasumbua.Wewe fyongo brain usishoboke na jina langu pumbavu
Kenge wewe unadhani hatujui akili zenu za kipimbi mnajificha kwenye siasa na mashoga yenu ya TEC
Tulikuwepo kwenye uchaguzi wa Kikwete 2015, na tuliona nyinyi na TEC mlivyo mstari wa mbele kumtetea Slaa , ila alivyokuja yule mwehu wote mlihamia kwake kwa kuwa ni mgalatia mpaka kadinali Pengo ,
Kwanini Kitima alikaa kimya kipindi hiko, ulishawahi kuona akiitisha press, tena ana bahati sana ana uhuru hata wa kuongea na waandishi, kwenye kipindi cha magu alikuwa wapi ?
Na usilete ujinga wa eti walitoa waraka, huo upuuzi ni bullshit
Sisi hatumtaki hata huyo Samia, lakini kwa kuwa mnaleta udini, tukatana vichwa bila wasiwasi
Mshalala?
wavaa tai wanatumwa na bosi wao, hawana namna ya kukataa utumishi huo ukijua ndio ajira yaoWanaomungamiza lissu ktk ushahidi sio makobazi. Ni nyinyi wavaa Tai, wasomi, wapiga suti lkn moyoni mwao si unaona?
Wagalatia watu wabaya sana sana!!Kwanini mashahidi wote ktk kesi ya Lissu ni wakiristo? Kila anaelizwa dini ya shahidi, hujitambulisha mkiristo
Yeah!...All in all lissu aachiwe, inajulikana hii kesi ni ya kisiasa tu, ni mchezo wa kisiasa