Kwanini mashahidi wote katika kesi ya Lissu ni wakiristo?

Mwalimu mwafwele aliyewakaririsha si ni mmoja mkuu? Yeye mwenyewe kakaririshwa uvisisiemu unafikiri anaweza kuedit script?
 
Kwanini mashahidi wote ktk kesi ya Lissu ni wakiristo? Kila anaelizwa dini ya shahidi, hujitambulisha mkiristo
Mtu amejificha, hataki kujulikana, serikali haitaki ajulikane, CCM hawataji ajulikane, mahakama haitaki ajulikane na vyombo vya dola havitaki ajulikane sasa hapo unadhani atatoa particulars za ukweli? Haujui kuwa particulars za uongo ndiyo zinakutupa mbali kuweza kumhisi mtu ambaye hataki kujulikana kabisa mpaka mahakama(dola) imemjengea kibanda cha kujificha wakati anatoa ushahidi?
Hapo hakuna shahidi anayetoa details sahihi na lengo ni kupoteza watakaojaribu kuunganisha dots ili wapate pattern wambaini huyo shahidi husika.
 
Mashekhe wa BAKWATA wakitoana ngeu kugombea vijinyama toka Makkah
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Hata majaji wote watatu kesi ya Lissu nao ni wakristo, mkuu mfumo kristo ndio unaongoza Tz!
Cc gaidi the big showw
 
 

Attachments

  • downloadfile-305.jpg
    123.1 KB · Views: 16
Kwanini mashahidi wote ktk kesi ya Lissu ni wakiristo? Kila anaelizwa dini ya shahidi, hujitambulisha mkiristo

Tatizo muislamu kusema uwongo ni ngumu
wkt kashika Quran jua atasema kweli tu


wazi kabisa ukitaka kuidanganya Mahakama tafuta mwenye kuweza kuhapa uwongo uwongo!!!!
 
Tatizo muislamu kusema uwongo ni ngumu
wkt kashika Quran jua atasema kweli tu


wazi kabisa ukitaka kuidanganya Mahakama tafuta mwenye kuweza kuhapa uwongo uwongo!!!!
Waislam waleo baadhi yao wanakamata msahafu na wanasema uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…