Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Iran kuna Baraza la maulamaa la Ayatollah linaloitwa Guardian Council na masheikh viongozi mbalimbali wa kidini ila mpaka sasa hakuna masheikh wowote waliothubutu kujitokeza kuwasomea watu vifungu vya Quran na Biblia kuwasisitiza Uislamu ni dini ya amani na kwamba amani ni muhimu zaidi ya Haki kulingana na dini.