Kwanini masheikh wa Iran hawawakemei Waislamu wafanya maandamano?

Kwanini masheikh wa Iran hawawakemei Waislamu wafanya maandamano?

Mashia ni Waislamu tena wajukuu wa mtume kuliko wewe Mmatumbi.

Mashia rafidha ni makafiri. Mmatumbi Muislam ni bora kuliko shia rafidha Muarabu au Muajemi. Uislam sio Dini ya kabila wewe.
 
hahah kwa hiyo niggas wa kigoma ni muslim zaidi klk persians ? …


Yeah, Ahlus-Sunnah wa Kigoma ni bora kuliko watu wanaowatukana Maswahaba wa Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake) hata kama watakuwa ni Waajemi au Waarabu.

Ahlus-Sunnah wa Kiajemi ni bora kuliko washirikina wa kirafidhi na waabudu moto. Allah Airudishe Iran katika Mikono ya Waislam kama ilivyokuwa zamani kabla Safavids hawajaichukua karne ya 16, Allahumma Aamiin.


Hawatofanikiwa watu wanaowatukana Maswahaba wa Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake)

Allah Awaridhie Maswahaba wote wa Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake).
 
Iran kuna Baraza la maulamaa la Ayatollah linaloitwa Guardian Council na masheikh viongozi mbalimbali wa kidini ila mpaka sasa hakuna masheikh wowote waliothubutu kujitokeza kuwasomea watu vifungu vya Quran na Biblia kuwasisitiza Uislamu ni dini ya amani na kwamba amani ni muhimu zaidi ya Haki kulingana na dini.



Maandamano ni haramu katika Uislam na hayafai. Cha kusikitisha hao akina Khamenei wenyewe wamewalea watu wao katika maandamano, bali cha kusikitisha zaidi ni kuwa msingi wao wenyewe ni mbovu, ushia rafidha ni ukafiri.

Allah Awaongoze katika Uislam. Allah Airejeshe Iran katika mikono ya Ahlus-Sunnah, Allahumma Aamiin.
 
Back
Top Bottom