Tafuta hela uondokane na hayo makasirikoLakini ujue jambo hili, kwamba katika siku za mwisho kutakuwa na nyakati za hatari zilizo ngumu kushughulika nazo.2Kwa maana watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda pesa, wenye kujidai, wenye majivuno, wakufuru, wasiotii wazazi, wasio na shukrani, wasio washikamanifu,3wasio na upendo wa asili, wasiotaka makubaliano yoyote, wachongezi, wasiojizuia, wakali, wasiopenda wema,4wasaliti, wenye vichwa vigumu, waliojaa kiburi, wanaopenda raha badala ya kumpenda Mungu,5wakionekana kama watu wanaomwogopa Mungu lakini wakizikana nguvu zake; nawe jiepushe nao.
Ndugu wengi wanapenda enda sehemu ambayo hakuna kazi.Umesema kweli ,kama una shamba wakalime wasikae bure
Kabisa nabishana nae 😂Kwahiyo unabishana na mzee makamba 😅
Usiwe serious mkuu.Tafuta kazi ufanye
Hospital kwa sasa zipo kila kanda sio lazima kwenda kwa watu
Unamchukia mtu kisa kwake
😂😂😂😂 utapata tu ambao sio wavivuNdugu wengi wanapenda enda sehemu ambayo hakuna kazi.
Ila kama wanajua kuna kazi za kutumia nguvu hawaji
Maisha ya kukaa na watu hapana,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utapata tu ambao sio wavivu
Ndumba mzee hao bandugu wanaharibu sana.Miaka ya nyuma, hata urudi katika vitabu vitakatifu, watu matajiri waliishi na watu wengi nyumbani na wote walinyooshwa na kutii sheria za nyumbani.
Mfano Nabii Ibrahim alukuwa Bilionea aliyeishi na mamia ya watu kwenye familia yake. Alikuwa hadi anajeshi la watu 300 ambao ni sehemu ya familia yake.
Wazee wetu matajiri wa zamani walikuwa na wake wengi pamoja na watoto kibao. mji ulikuwa na ndugu lukuki hadi wale walioomba jujiunga na undugu. Bado wote walinyooshwa kwa mkono wa chuma, unaweza usisikie hata mtoto anamimba bila kuolewa.
Siku hizi tatizo ni nini?
Unakuta mtu tajiri, hajiamini, anaishi na vitoto vyake viwili na housegirl/Boy na mkewe. Hataki kusikia shangazi, mjomba wala kuarika watu kwake.
karibuni kwa maoni.
JE uwezo wa wanaume wenye pesa mingi kutiisha familia zao umeshuka?
Je utajiri wa hofu?
Je ndugu na marafiki wa zama hizi usnitch na umbea umezidi kiasi kwamba huwezi kuwanyoosha?
unadhani kwa nini
😂😂😂😹😹😹😹Pia anakuja kulawiti watoto kila mtu akae kwao
We umesahau wanapenda pia sehemu zenye msosi kwelikweli [emoji2]Ndugu wengi wanapenda enda sehemu ambayo hakuna kazi.
Ila kama wanajua kuna kazi za kutumia nguvu hawaji
Matajiri wa sa hii ni wachoyo kheeeeeeMiaka ya nyuma, hata urudi katika vitabu vitakatifu, watu matajiri waliishi na watu wengi nyumbani na wote walinyooshwa na kutii sheria za nyumbani.
Mfano Nabii Ibrahim alukuwa Bilionea aliyeishi na mamia ya watu kwenye familia yake. Alikuwa hadi anajeshi la watu 300 ambao ni sehemu ya familia yake.
Wazee wetu matajiri wa zamani walikuwa na wake wengi pamoja na watoto kibao. mji ulikuwa na ndugu lukuki hadi wale walioomba jujiunga na undugu. Bado wote walinyooshwa kwa mkono wa chuma, unaweza usisikie hata mtoto anamimba bila kuolewa.
Siku hizi tatizo ni nini?
Unakuta mtu tajiri, hajiamini, anaishi na vitoto vyake viwili na housegirl/Boy na mkewe. Hataki kusikia shangazi, mjomba wala kuarika watu kwake.
karibuni kwa maoni.
JE uwezo wa wanaume wenye pesa mingi kutiisha familia zao umeshuka?
Je utajiri wa hofu?
Je ndugu na marafiki wa zama hizi usnitch na umbea umezidi kiasi kwamba huwezi kuwanyoosha?
unadhani kwa nini
Tafuta hela zakoMatajiri wa sa hii ni wachoyo kheeeeee