Yani wa kujulie hali kwani wewe ndo uliwalea, nyie ndo mnajifanyaga miungu watu, na waliolelewa kwenu wasifanikiwe zaidi yenu, roho mbaya tumarehemu Baba aliwalea ndugu kibao, lakini hao aliowalea hakuna hata mmoja anaonyesha fadhila kiduchu tu ya hata kunijulia hali mimi mwakilishi wa Baba.
kwasababu hii ya waliolelewa kukosa fadhila, ndiyo maana matajiri wa siku hizi hawataki kukaa na ndugu.
Kwani unadhani nakutafutia wwTafuta hela zako
NiMiaka ya nyuma, hata urudi katika vitabu vitakatifu, watu matajiri waliishi na watu wengi nyumbani na wote walinyooshwa na kutii sheria za nyumbani.
Mfano Nabii Ibrahim alikuwa Bilionea aliyeishi na mamia ya watu kwenye familia yake. Alikuwa hadi anajeshi la watu 300 ambao ni sehemu ya familia yake.
Wazee wetu matajiri wa zamani walikuwa na wake wengi pamoja na watoto kibao. mji ulikuwa na ndugu lukuki hadi wale walioomba jujiunga na undugu. Bado wote walinyooshwa kwa mkono wa chuma, unaweza usisikie hata mtoto anamimba bila kuolewa.
Siku hizi tatizo ni nini?
Unakuta mtu tajiri, hajiamini, anaishi na vitoto vyake viwili na housegirl/Boy na mkewe. Hataki kusikia shangazi, mjomba wala kuarika watu kwake.
Karibuni kwa maoni.
JE uwezo wa wanaume wenye pesa mingi kutiisha familia zao umeshuka?
Je, utajiri wa hofu?
Je, ndugu na marafiki wa zama hizi usnitch na umbea umezidi kiasi kwamba huwezi kuwanyoosha?
Unadhani kwanini
zama zimebadilika kutoka kuishi kiujamaa na sasa tunaishi kwenye ulimwengu wa ubepari, kwenye ulimwengu wa ubepari kanuni ni kila mtu afe na tai yake shingoni ukijifanya una huruma ya kuwajaza ndugu zako maskini nyumbani kwako hao hao maskini wanakuangamiza.. kuna mzee mmoja niliwahi kutana naye Tanzania 2018 alianiambia Mtu maskini ni rahisi sana kukumkubali shetani na kuishi naye.. sikumuelewa ila baada ya kupigwa matukio kadhaa nilimuelewaaa, maskini wengi wana roho mbaya sana japo sio wote..Miaka ya nyuma, hata urudi katika vitabu vitakatifu, watu matajiri waliishi na watu wengi nyumbani na wote walinyooshwa na kutii sheria za nyumbani.
Mfano Nabii Ibrahim alikuwa Bilionea aliyeishi na mamia ya watu kwenye familia yake. Alikuwa hadi anajeshi la watu 300 ambao ni sehemu ya familia yake.
Wazee wetu matajiri wa zamani walikuwa na wake wengi pamoja na watoto kibao. mji ulikuwa na ndugu lukuki hadi wale walioomba jujiunga na undugu. Bado wote walinyooshwa kwa mkono wa chuma, unaweza usisikie hata mtoto anamimba bila kuolewa.
Siku hizi tatizo ni nini?
Unakuta mtu tajiri, hajiamini, anaishi na vitoto vyake viwili na housegirl/Boy na mkewe. Hataki kusikia shangazi, mjomba wala kuarika watu kwake.
Karibuni kwa maoni.
JE uwezo wa wanaume wenye pesa mingi kutiisha familia zao umeshuka?
Je, utajiri wa hofu?
Je, ndugu na marafiki wa zama hizi usnitch na umbea umezidi kiasi kwamba huwezi kuwanyoosha?
Unadhani kwanini
Ukitaka watoto wako waharibikiwe tabia basi jaza ndugu kwakoWatu wamebadilika wamekuwa wabinafsi
Jibu sahihi ndo hili... CAPITALISM!zama zimebadilika kutoka kuishi kiujamaa na sasa tunaishi kwenye ulimwengu wa ubepari, kwenye ulimwengu wa ubepari kanuni ni kila mtu afe na tai yake shingoni ukijifanya una huruma ya kuwajaza ndugu zako maskini nyumbani kwako hao hao maskini wanakuangamiza.. kuna mzee mmoja niliwahi kutana naye Tanzania 2018 alianiambia Mtu maskini ni rahisi sana kukumkubali shetani na kuishi naye.. sikumuelewa ila baada ya kupigwa matukio kadhaa nilimuelewaaa, maskini wengi wana roho mbaya sana japo sio wote..
Umbea umezidi siku hiziUmagharibi unatuumiza, tunafata maisha ya magharibi, tunageza kila Jambo.
Hatimae siku hizi hatuna mapenzi, mtu anaishi miaka dahari hajuk jirani yake anaishi vipi, ni kwenye gari, akirudi ndaani.
Nyumbani ni yeye na watoto zake wawili, mbwa na wafanyakazi.
Hilo moja, pili(nazungumzia mpaka masikini) Maisha yamebadilika, mahitaji siku hizi si nguvu ni pesa inahiitjika, zamani unaishi na mtoto wa mjomba, sijui nani na nani, ila una shamba kubwaa nguvu ya kulima((nguvu kazi ipo) una ng'ombe kadhaa. Asubuhi mnakamua lita kadhaa ndani mipunga kibao na mahindi, nyuma kisamvu, matembele, maboga maisha yanasogea. Ila siku hizi kimbembe, ugali tabu, huna hela hujala, mjini una chumba na sebule tu.
Tumefika tayari. Shida ni mfumo wa maisha umebadilikaMatajiri mkuje kuna ujumbe wenu mje kujibu maswali