Kwanini Matajiri wa siku hizi hawawezi kuishi na watu wengi majumbani mwao kuliko wale wa enzi za zamani?

Leo familia yake itakuwa inakufa masikin na walio saidiwa hawarudishi fadhila kwa hiyo familia.
 
Ndugu masikini asilimia kubwa wanakuwa na roho mbaya na chuki waliowahi kuwa matajiri na baadae kufirisika tayari majibu wanayo ndugu ata umbebe kiasi gani siku ukikwama atafurahi
Kiukweli ukikwama Maskini kwao ni furaha kubwa sana. Kwa hali ilivyo kila mtu abebe msalaba wake. Hakuna haja ya kufuatana fuatana. Cha muhimu wazazi wapambane kuhakikisha watoto wanapendana na wanakuja kujitegemea baadae. Sio kwenye familia inatokea watoto wanne maskini wa kutupwa mmoja ndo anajiweza. Wazazi hakikisheni watoto wanapata maadili na elimu nzuri. Inasaidia sana kupunguza matatizo.
 
Siku hizi hakuna utumwa kama wa zamani, japo kuna utumwa wa hiari.
 
Mfumo wa utafutaji umebadilika. Zamani ulikuwa ujamaa lkn sahv ubepari wenye kufavor watu wachache. Sasa aishi na wengi ili mali ziishe?
 
Mh Mwakilishi wa baba je wewe huwa unawajulia hali hao ndugu zako?.
 
kwa sasa ugumu wa maisha unampata mpaka tajiri
 
Afu familia mkiwa wengi then muwe mnapatana(usnitch hakuna) huwa inanoga kweli
 
Sasa mtu mmoja akajiuliza mnataka watu muwe maskini wa kutupa Mungu asiinue wakuu?! [emoji848]

Wenzetu wachaga tu kwa wastani ndio hawanaga mambo ya uchawi na ushirikina.

Na ndio maana walau wanaendelea.

Lakini the rest ni shida.
Hayo matambuko yao wachaga ya mbuzi siyo ushirikina
 
We ng'ombe haitakuja kutokea siku ya mwisho
 
Hayo matambuko yao wachaga ya mbuzi siyo ushirikina


Hawakusudii kumharibia mtu yeyote kama unavyofanyika uchawi na ushirikina.

Wao ni kama dua tu za kuomba mambo yao yaende Kwa wepesi na sio kutaka mtu mwingine ahafibikiwe na mambo yake.
 
Siku hizi maharage tu kilo 4000 utakaa na wangapi sasa
 
Kila mtu akae kwake, msaidie mtu huko huko aliko, akika kwako aje kusalimia aondoke siku hiyo hiyo.
 

Ndugu wamekuwa maadui ni kucheza kwa tahadhari. Unaweza kuharibikiwa maisha vibaya kabisa
 
Maisha yanabadilika na watu nao wanabadilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…