Rashidi Jololo JF-Expert Member Joined Sep 21, 2022 Posts 1,704 Reaction score 2,858 Dec 12, 2022 #81 Wabaki makwao tu, tunaogopa watabaka na kulawiti watoto
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 23,322 Reaction score 64,738 Dec 12, 2022 #82 Semahengere said: Hizi ni siku za mwisho hii traller kuna mengi yanakuja Click to expand... Sku za mwisho kvp mkuu
Semahengere said: Hizi ni siku za mwisho hii traller kuna mengi yanakuja Click to expand... Sku za mwisho kvp mkuu
Ok9 JF-Expert Member Joined Oct 5, 2013 Posts 4,549 Reaction score 4,133 Dec 12, 2022 #83 Hujui chakula cha watu 20 ni gharama kubwa?
Mickbrown JF-Expert Member Joined Sep 13, 2022 Posts 409 Reaction score 496 Dec 12, 2022 #84 Twilumba said: Lkn pia watu wamebadilika hawaaminiki, unaeza ukawa unamsaidia kumbe anakulia mchongo! Click to expand... Na hili ndio kubwa pengine . Unafiki umewazid walimwengu wa sasa
Twilumba said: Lkn pia watu wamebadilika hawaaminiki, unaeza ukawa unamsaidia kumbe anakulia mchongo! Click to expand... Na hili ndio kubwa pengine . Unafiki umewazid walimwengu wa sasa
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 47,274 Reaction score 126,778 Jan 7, 2023 #85 Bangida said: Matajiri wa zamani walikua na ng'ombe na mashamba.. Siku hz mjini huez kulima lami Click to expand... Hahaha.. Kwamba ukienda kujipendekeza huko unakumbana na kulima na kuchunga mifugo😁
Bangida said: Matajiri wa zamani walikua na ng'ombe na mashamba.. Siku hz mjini huez kulima lami Click to expand... Hahaha.. Kwamba ukienda kujipendekeza huko unakumbana na kulima na kuchunga mifugo😁
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 15,188 Reaction score 18,583 Jan 7, 2023 #86 Location ndo imepoza yote hayo