Mjukuu wa kigogo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2023
- 445
- 1,094
Petro alikuwa Papa lini kwani ?Kanisa Moja Takatifu la Mitume [emoji3]
Papa anaketi Kitini pake Mtume Petro
Usawa ndio hua unaleta ushoga naisagajiWe need to crake down that idea, dunia ni ya watu wote tunahitaji zaidi usawa and equal power to all communities!
Simaanishi usawa wa kijinsiaUsawa ndio hua unaleta ushoga naisagaji
Kwa sababu hao ndio wahuni wenyewe,MAFIA wana msemo wao kwamba ukiwazingua...watakuingilia kinyume na human sized zucchini.🙂Wajuzi mnijuze kwanini kanisa katoliki likitoa matamko yake juu ya Serikali huwa yanakuwa na nguvu zaidi kuliko madhehebu mengine?
Mfano tangu sakata la bandari liibuke waraka wa kanisa katoliki ndio ulipata mileage na attention kubwa tofauti na madhehebu mengine ambayo pamoja na kutoa pia matamko hayakutiliwa maanani sana?
Je ni kweli RC Wana nguvu sana kuliko mengine? Na kama ni hivyo hiyo nguvu ilitokana na nini?
Definitely ndio papa wa 1...na Amezikwa pale..st.peter.....vatican....alipo papa huyu unayemfahamu.Petro alikuwa Papa lini kwani ?
Huo upapa alipewa na nani ?Definitely ndio papa wa 1...na Amezikwa pale..st.peter.....vatican....alipo papa huyu unayemfahamu.
Alipewa na aliyempa papa Francis.Huo upapa alipewa na nani ?
Papa Franscis alipewa na nani ?Alipewa na aliyempa papa Francis.
Utatu Mtakatifuwanaume katoriki................
Ni sawa na kuuliza Yusufu alikuwa Waziri Mkuu wa Misri lini kwani! Yawezekana kwa wakati ule jina la Papa halikutumika ila alifanya majukumu kama yalivyorithiwa na wengine waliokuja baadaye kuitwa PapaPetro alikuwa Papa lini kwani ?