Kwanini matamko ya Kanisa Katoliki kuhusu Serikali mienendo ya Serikali mbalimbali duniani huwa yanakuwa na nguvu zaidi na pengine tofauti na mengine

Nakubaliana na wewe kwamba ni taasisi kongwe, lakini nakataa kulazimishwa kwamba hii taasisi ilikuwepo kipindi cha Yesu na mitume hali tunafahamu fika kwamba ilianzishwa na Wakristo walioishi Roma mnamo karne ya tatu.
Usizunguke sana, tueleze taasisi ya kanisa unalosali wewe ilianzishwa karne ya ngapi?
 
Linaweza kusaidia wengi kuufahamu ukweli, au kufahamu kiwango cha ujinga wako.
Hahaha, Bloody Hell ! Hivi kuna kiwango kingine cha ujinga zaidi ya kuamini kwamba bwana Jorge Bergoglio ndiyo mrithi wa Petro ?
 
Kumbe mrithi wa Petro ni nani, miller?!

Nitashangaa kama,ana mmoja tu, " eti mrithi" Anao warithi. Enendeni ulimwenguni pote mkawafanye......

Kwa nini yanakuwa na nguvu? Tafuta maana ya kushika zamu kwenye Biblia. Ukishaipata angalia na idadi ya waumini wa Katoliki katika jamii.
 
Umeokoteza.
 
Hatutaki utumwa, yeyote yule anaweza kuja kuwekeza lkn mikataba iwe na kikomo, nyie mbona ni wapumbavu kupita kiasi, hamsikii, pumbavu kabsa.
 
Kuvurugwa ni kulazimisha neno mwamba na papa viwe kitu kimoja. Nyie majamaa ni maongo sana.
Ndio Dunia braza, ukitaka Ukweli saana hutafanikiwa,,,, yaani Dunia inaendeshwa kiuongo-uongo.

Hii ipo potepote si dini na kwingineko hata kwenye familia ukiwa mkweli sana mke akakujua in and out ya economic status quo yako-you are gone!
 
Hii ipo potepote si dini na kwingineko hata kwenye familia ukiwa mkweli sana mke akakujua in and out ya economic status quo yako-you are gone!
Huyo usiyetaka ajue status yako atakuwa mke wako? Au hawara! 😆😆
 
Vatican inatawala dunia

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Tatizo siyo wazawa, bali serikali na watawala duni waliokosa leadership and managerial abilities.
 
Wapi amesema Petro utakuwa Papa ?
Una asili ya ubishi? Unataka mpaka uone neno papa?

Kiufupi Petro alipewa uongozi mkuu wa Kanisa. Papa ni neno lililotumika kwa kiongozi mkuu wa kanisa baada ya Petro. Lingeweza kutumika neno lolote lile, na bado maana isingebadilika kuwa kuna kanisa moja tu ambalo mnyororo wake wa uongozi, toka Peteo mpaka Francis, haujakatika.

Makanisa mengine ama yaliibukia njiani jwa kujitenga toka Kanisa Katoliki, au yalianzishwa wakati fulani na watu fulani.

Home > Catholic Encyclopedia > P > The List of Popes

The List of Popes


St. Peter (32-67)

St. Linus (67-76)

St. Anacletus (Cletus) (76-88)

St. Clement I (88-97)

St. Evaristus (97-105)

St. Alexander I (105-115)

St. Sixtus I (115-125) Also called Xystus I

St. Telesphorus (125-136)

St. Hyginus (136-140)

St. Pius I (140-155)

St. Anicetus (155-166)

St. Soter (166-175)

St. Eleutherius (175-189)

St. Victor I (189-199)

St. Zephyrinus (199-217)

St. Callistus I (217-22) Callistus and the following three popes were opposed by St. Hippolytus, antipope (217-236)

St. Urban I (222-30)

St. Pontian (230-35)

St. Anterus (235-36)

St. Fabian (236-50)

St. Cornelius (251-53) Opposed by Novatian, antipope (251)

St. Lucius I (253-54)

St. Stephen I (254-257)

St. Sixtus II (257-258)

St. Dionysius (260-268)

St. Felix I (269-274)

St. Eutychian (275-283)

St. Caius (283-296) Also called Gaius

St. Marcellinus (296-304)

St. Marcellus I (308-309)

St. Eusebius (309 or 310)

St. Miltiades (311-14)

St. Sylvester I (314-35)

St. Marcus (336)

St. Julius I (337-52)

Liberius (352-66) Opposed by Felix II, antipope (355-365)

St. Damasus I (366-84) Opposed by Ursicinus, antipope (366-367)

St. Siricius (384-99)

St. Anastasius I (399-401)

St. Innocent I (401-17)

St. Zosimus (417-18)

St. Boniface I (418-22) Opposed by Eulalius, antipope (418-419)

St. Celestine I (422-32)

St. Sixtus III (432-40)

St. Leo I (the Great) (440-61)

St. Hilarius (461-68)

St. Simplicius (468-83)

St. Felix III (II) (483-92)

St. Gelasius I (492-96)

Anastasius II (496-98)

St. Symmachus (498-514) Opposed by Laurentius, antipope (498-501)

St. Hormisdas (514-23)

St. John I (523-26)

St. Felix IV (III) (526-30)

Boniface II (530-32) Opposed by Dioscorus, antipope (530)

John II (533-35)

St. Agapetus I (535-36) Also called Agapitus I

St. Silverius (536-37)

Vigilius (537-55)

Pelagius I (556-61)

John III (561-74)

Benedict I (575-79)

Pelagius II (579-90)

St. Gregory I (the Great) (590-604)

Sabinian (604-606)

Boniface III (607)

St. Boniface IV (608-15)

St. Deusdedit (Adeodatus I) (615-18)

Boniface V (619-25)

Honorius I (625-38)

Severinus (640)

John IV (640-42)

Theodore I (642-49)

St. Martin I (649-55)

St. Eugene I (655-57)

St. Vitalian (657-72)

Adeodatus (II) (672-76)

Donus (676-78)

St. Agatho (678-81)

St. Leo II (682-83)

St. Benedict II (684-85)

John V (685-86)

Conon (686-87)

St. Sergius I (687-701) Opposed by Theodore and Paschal, antipopes (687)

John VI (701-05)

John VII (705-07)

Sisinnius (708)

Constantine (708-15)

St. Gregory II (715-31)

St. Gregory III (731-41)

St. Zachary (741-52) Stephen II followed Zachary, but because he died before being consecrated, modern lists omit him

Stephen II (III) (752-57)

St. Paul I (757-67)

Stephen III (IV) (767-72) Opposed by Constantine II (767) and Philip (768), antipopes (767)

Adrian I (772-95)

St. Leo III (795-816)

Stephen IV (V) (816-17)

St. Paschal I (817-24)

Eugene II (824-27)

Valentine (827)

Gregory IV (827-44)

Sergius II (844-47) Opposed by John, antipope

St. Leo IV (847-55)

Benedict III (855-58) Opposed by Anastasius, antipope (855)

St. Nicholas I (the Great) (858-67)

Adrian II (867-72)

John VIII (872-82)

Marinus I (882-84)

St. Adrian III (884-85)

Stephen V (VI) (885-91)

Formosus (891-96)

Boniface VI (896)

Stephen VI (VII) (896-97)

Romanus (897)

Theodore II (897)

John IX (898-900)

Benedict IV (900-03)

Leo V (903) Opposed by Christopher, antipope (903-904)

Sergius III (904-11)

Anastasius III (911-13)

Lando (913-14)

John X (914-28)

Leo VI (928)

Stephen VIII (929-31)

John XI (931-35)

Leo VII (936-39)

Stephen IX (939-42)

Marinus II (942-46)

Agapetus II (946-55)

John XII (955-63)

Leo VIII (963-64)

Benedict V (964)

John XIII (965-72)

Benedict VI (973-74)

Benedict VII (974-83) Benedict and John XIV were opposed by Boniface VII, antipope (974; 984-985)

John XIV (983-84)

John XV (985-96)

Gregory V (996-99) Opposed by John XVI, antipope (997-998)

Sylvester II (999-1003)

John XVII (1003)

John XVIII (1003-09)

Sergius IV (1009-12)

Benedict VIII (1012-24) Opposed by Gregory, antipope (1012)

John XIX (1024-32)

Benedict IX (1032-45) He appears on this list three separate times, because he was twice deposed and restored

Sylvester III (1045) Considered by some to be an antipope

Benedict IX (1045)

Gregory VI (1045-46)

Clement II (1046-47)

Benedict IX (1047-48)

Damasus II (1048)

St. Leo IX (1049-54)

Victor II (1055-57)

Stephen X (1057-58)

Nicholas II (1058-61) Opposed by Benedict X, antipope (1058)

Alexander II (1061-73) Opposed by Honorius II, antipope (1061-1072)

St. Gregory VII (1073-85) Gregory and the following three popes were opposed by Guibert ("Clement III"), antipope (1080-1100)

Blessed Victor III (1086-87)

Blessed Urban II (1088-99)

Paschal II (1099-1118) Opposed by Theodoric (1100), Aleric (1102) and Maginulf ("Sylvester IV", 1105-1111), antipopes (1100)

Gelasius II (1118-19) Opposed by Burdin ("Gregory VIII"), antipope (1118)

Callistus II (1119-24)

Honorius II (1124-30) Opposed by Celestine II, antipope (1124)

Innocent II (1130-43) Opposed by Anacletus II (1130-1138) and Gregory Conti ("Victor IV") (1138), antipopes (1138)

Celestine II (1143-44)

Lucius II (1144-45)

Blessed Eugene III (1145-53)

Anastasius IV (1153-54)

Adrian IV (1154-59)

Alexander III (1159-81) Opposed by Octavius ("Victor IV") (1159-1164), Pascal III (1165-1168), Callistus III (1168-1177) and Innocent III (1178-1180), antipopes

Lucius III (1181-85)

Urban III (1185-87)

Gregory VIII (1187)

Clement III (1187-91)

Celestine III (1191-98)

Innocent III (1198-1216)

Honorius III (1216-27)

Gregory IX (1227-41)

Celestine IV (1241)

Innocent IV (1243-54)

Alexander IV (1254-61)

Urban IV (1261-64)

Clement IV (1265-68)

Blessed Gregory X (1271-76)

Blessed Innocent V (1276)

Adrian V (1276)

John XXI (1276-77)

Nicholas III (1277-80)

Martin IV (1281-85)

Honorius IV (1285-87)

Nicholas IV (1288-92)

St. Celestine V (1294)

Boniface VIII (1294-1303)

Blessed Benedict XI (1303-04)

Clement V (1305-14)

John XXII (1316-34) Opposed by Nicholas V, antipope (1328-1330)

Benedict XII (1334-42)

Clement VI (1342-52)

Innocent VI (1352-62)

Blessed Urban V (1362-70)

Gregory XI (1370-78)

Urban VI (1378-89) Opposed by Robert of Geneva ("Clement VII"), antipope (1378-1394)

Boniface IX (1389-1404) Opposed by Robert of Geneva ("Clement VII") (1378-1394), Pedro de Luna ("Benedict XIII") (1394-1417) and Baldassare Cossa ("John XXIII") (1400-1415), antipopes

Innocent VII (1404-06) Opposed by Pedro de Luna ("Benedict XIII") (1394-1417) and Baldassare Cossa ("John XXIII") (1400-1415), antipopes

Gregory XII (1406-15) Opposed by Pedro de Luna ("Benedict XIII") (1394-1417), Baldassare Cossa ("John XXIII") (1400-1415), and Pietro Philarghi ("Alexander V") (1409-1410), antipopes

Martin V (1417-31)

Eugene IV (1431-47) Opposed by Amadeus of Savoy ("Felix V"), antipope (1439-1449)

Nicholas V (1447-55)

Callistus III (1455-58)

Pius II (1458-64)

Paul II (1464-71)

Sixtus IV (1471-84)

Innocent VIII (1484-92)

Alexander VI (1492-1503)

Pius III (1503)

Julius II (1503-13)

Leo X (1513-21)

Adrian VI (1522-23)

Clement VII (1523-34)

Paul III (1534-49)

Julius III (1550-55)

Marcellus II (1555)

Paul IV (1555-59)

Pius IV (1559-65)

St. Pius V (1566-72)

Gregory XIII (1572-85)

Sixtus V (1585-90)

Urban VII (1590)

Gregory XIV (1590-91)

Innocent IX (1591)

Clement VIII (1592-1605)

Leo XI (1605)

Paul V (1605-21)

Gregory XV (1621-23)

Urban VIII (1623-44)

Innocent X (1644-55)

Alexander VII (1655-67)

Clement IX (1667-69)

Clement X (1670-76)

Blessed Innocent XI (1676-89)

Alexander VIII (1689-91)

Innocent XII (1691-1700)

Clement XI (1700-21)

Innocent XIII (1721-24)

Benedict XIII (1724-30)

Clement XII (1730-40)

Benedict XIV (1740-58)

Clement XIII (1758-69)

Clement XIV (1769-74)

Pius VI (1775-99)

Pius VII (1800-23)

Leo XII (1823-29)

Pius VIII (1829-30)

Gregory XVI (1831-46)

Blessed Pius IX (1846-78)

Leo XIII (1878-1903)

St. Pius X (1903-14)

Benedict XV (1914-22) Biographies of Benedict XV and his successors will be added at a later date

Pius XI (1922-39)

Pius XII (1939-58)

St. John XXIII (1958-63)

Paul VI (1963-78)

John Paul I (1978)

St. John Paul II (1978-2005)

Benedict XVI (2005-2013)

Francis (2013—)
 
Vatcan ndiyo inayo control dunia, ni kwamba roma empire inatawala dunia kupitia katoliki hakuna mtawa yoyote katika dunia hii anaweza kushindana nao. kupitia jesuit wameweza kuidhibiti dunia yote.
Nilipokuwa bado naishi kijijini wakati huo kuna mambo mengi nilikuwa ninaamini ni sisi tu wenye nguvu na influence kuliko jamii nyingine. Nilipokuja mjini ndipo nikafunguka macho kuwa kumbe nilikuwa nimejifungia chumba cha giza.
Hivyo na wewe upo Tz hapo kwavile kanisa Katoliki ndilo kubwa basi unaamini ndilo linaloendesha duniani . Nikushauri tu kuwa utoke nje hasa Kifikra maana najua physically huwezi kwenda hata hapo Zanzibar, toka ndipo utakapojua ukweli ulivyo.
Yes Kanisa Katoliki ni kanisa Kubwa duniani na lina heshima yake LAKINI HAYA MENGINE MNAONGEZEA CHUMVI SANA NA HASA NDUGU ZANGU NYIE MBUMBUMBU WA TANZANIA
 
Bwana Bams huu ujinga unaoleta hapa hauna tofuati na ule wa kulazimisha kusema Yesu, Musa na Ibrahimu walikuwa ni waislamu, ilhali tunafahamu kwamba uislamu ulianzia Mecca mwaka 610.
 

Kama hawezi kuelewa hata hapa, atakuwa amechagua kutoelewa. Asante.
 
Bwana Bams huu ujinga unaoleta hapa hauna tofuati na ule wa kulazimisha kusema Yesu, Musa na Ibrahimu walikuwa ni waislamu, ilhali tunafahamu kwamba uislamu ulianzia Mecca mwaka 610.
Mjinga ni wewe unayesoma biblia kama kitabu cha hadithi.

Kwa kuwa umechagua ujinga, ishi nao ili ufaidi matunda yake.

Kama unataka kuuzungumzia uislam, kaanzishe mada yake, usitumbukize kwenye mada isiyo na uhusiano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…