Kwanini matukio ya Ngono za Kuagana kabla ya Harusi yanashika kasi Tanzania?


Halafu hapo hujasahau na UKIMWI pia anakuletea uishi nao.

Hawa wadada Millennials na Gen Z hichi kizazi nadhani hata Shetani huko alipo atajikatalia kwa matendo ya kikatili wanayotufanyia sisi Wanaume.

Ila Kuna fundisho nimeipata katika hili, usije muamini kiumbe kinachoitwa Mwanamke.

Mwanamke anaweza shika mimba leo, Kasi za kliniki akawa nazo tatu na Kila mwanaume kati ya hao watatu wakawa wanahudumia ila akizaliwq tu zinaweza zikatengenezwa Kadi za Kuzaliwa hata tatu za wanaume watatu na wote makes mnahudumia

Lakini Baba wa mtoto anaweza akawa hata siyo hao. Akawa kiumbe kingine huko Bodaboda ndiyo Baba halisi wa mtoto

Ikifika hatua hii wanataka Wanaume tusijichukulie Sheria Mkononi Bali tusamehe saba mara sabini.

Inasikitisha
 
Sabababu ya ongezeko la vijana kutokusikiliza la mkuu na kuchumbia malaya wa .com
 
Ni kweli, toka udogo tunafundishwa kubeba majukumu, kustahimili maumivu, na kutokupenda kuropoka.

Ndio maana wanaume wengi huwa tunakuja kuwaelewa wazee wetu zaidi pale tunapobeba majukumu kama yao
Hakika Mkuu

Nakumbuka hata kulia machozi ilionekana mwanamke ndiyo anatakiwa kulia, sisi Wanaume tulifundishwa kuwa na uwezo wa kuvumilia nyakati ngumu, hivyo kulia ni kosa

Japo miaka hii, hadi Wanaume nao hulia wakipewa zawadi na wapenzi wao ama wakati wa kuvalishana Pete za uchumba/ndoa 🙌

Na upande wa kuhudumia familia tulifundishwa tangu tukiwa jandoni, kwamba mume ni provider, unatakiwa ujitoe hasa kwaajili ya kuhakikisha familia inapata mahitaji

Lakini wenzetu wa kike, akilipa hata bili ya Maji/Umeme inakuwa matangazo kwa majirani ikitokea mmegombana 🙌
 
Inawezekana wakawa Wanaroga ili kupata mtu wa kumuona. Inawezekana Hawa wadada Wanaroga Wanaume wanaowataka wawaoe ndiyo maana ndoa zinafungwa.

Haiwezekani Mwanamke ni Malaya kitaani eti ghafla unasikia kesho anaolewa. Huwa haingii akilini
Hawa viumbe ndo wateja wakubwa kwa ndumba,
siku maisha yakikupiga ukakosa mwanzo Anza na uganga unatoka na mtaji mzuri tu, hela unayotaja inakuja bila malalamiko, mbususu nazo mpaka utazikimbia
 
Mimi nimemuambia kijana wangu marufuku kulia Lia....
Wanasaikolojia wa AI wanakuambia wanaume nao walie hahah sijui tunakwenda wapi
 
Unataka kupata Stroke wewe
 
Ndiyo maana nakuchapia mke wako, stay strong minded mwanetu
Hayo ni mambo ya kawaida katika jamii,ulitegemea nini? mke ana kuwa kazini masaa 10 halafu anakuwa na mume masaa mawili tu katika siku yanayobaki kulala,wanaomfaidi ni wale wanaokaa naye masaa 10.jipe moyo mkuu.
 
Hayo ni mambo ya kawaida katika jamii,ulitegemea nini? mke ana kuwa kazini masaa 10 halafu anakuwa na mume masaa mawili tu katika siku yanayobaki kulala,wanaomfaidi ni wale wanaokaa naye masaa 10.jipe moyo mkuu.
Unamaanisha nini mkuu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…