Kwanini matukio ya Ngono za Kuagana kabla ya Harusi yanashika kasi Tanzania?

๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Hii nimecheka sana..!!
Umeongea kutoka moyoni, pole kiongozi..!!
 
Inawezekana wakawa Wanaroga ili kupata mtu wa kumuona. Inawezekana Hawa wadada Wanaroga Wanaume wanaowataka wawaoe ndiyo maana ndoa zinafungwa.

Haiwezekani Mwanamke ni Malaya kitaani eti ghafla unasikia kesho anaolewa. Huwa haingii akilini
Michezo tu!
Hakuna kurogwa mtu ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Kaoa mwanamke ambaye alikuwa na uhusiano naye hadi wakazaa mtoto na hawakuachana mpaka awe Ex wake. Mtoto mwenyewe yale meno na mdomo Mheshimiwa kapiga photocopy
Kwani hao wengine hawakuwa na mahusiano na wenza wao waliooana nao?

Kutoa photocopy haihusiani na kugongewa..!!
Kugongewa kuko pale pale ni vile mke wake anacheat kwa akili..!!
 
Kwani hao wengine hawakuwa na mahusiano na wenza wao waliooana nao?

Kutoa photocopy haihusiani na kugongewa..!!
Kugongewa kuko pale pale ni vile mke wake anacheat kwa akili..!!
Ana uhakika tu na kiwanja chake hadi documents, hajapata chenye mgogoro
 
Tatizo kubwa ni umasikini,ukikutana na binti anatoka familia ya kipato cha juu kwa asilimia kubwa unaounguza huo ujinga.
Masikini ana tamaa vibaya sana,masikini hana dhamana.
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Maskini tunaonewa sana..!!
Mbona Mama Janeth alimvumilia Jiwe akiwa ticha wa kemia mpaka akatoboa kuwa prezidaa??
 
Ndoa inahusisha utimamu wa akili, Ukiona unaenda kutoa penzi siku moja kabla ya kuoa/kuolewa basi ujue hujawa tayari kwa hiyo ndoa

Ndiyo maana matukio ya kuchepuka ndani ya ndoa yameshika kasi, kumbe kuna mtu amekukubali uingie kwenye maisha yake kwa kuwa chaguo lake la kwanza haliku-tick
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ