Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Zitungwe sheria ngapi kuhusu matusi?Kama kinachoendelea kwenye majukwaa ya kisiasa ni matusi nadhani ni wakati sasa nchi itunge sheria ya matusi ili polisi wafanye kazi yao kwa mujibu wa sheria siyo maelekezo.
Juzi Kingu kasema atawataja maawara wa Mbowe CHadema wakasema ni matusi; CHadema wamepigania bandari na issue ya ngorongoro wameambiwa ni matusi kwa sababu wanapingana na watawala......
Haya mambo yaondoke kwenye medali za siasa na umri wa anayezungumza yaingizwe mwenye sheria ili kila atakayetoa kinywani mwake akamatwe.
Ulaya hakuna tena fadhila za tamaduni na mila, kila mmoja anawajibishwa kisheria.
sheria zipo ila kwa ccm hazifanyi kazi isipokuwa kwa wapinzani hasa chademaKama kinachoendelea kwenye majukwaa ya kisiasa ni matusi nadhani ni wakati sasa nchi itunge sheria ya matusi ili polisi wafanye kazi yao kwa mujibu wa sheria siyo maelekezo.
Juzi Kingu kasema atawataja maawara wa Mbowe CHadema wakasema ni matusi; CHadema wamepigania bandari na issue ya ngorongoro wameambiwa ni matusi kwa sababu wanapingana na watawala......
Haya mambo yaondoke kwenye medali za siasa na umri wa anayezungumza yaingizwe mwenye sheria ili kila atakayetoa kinywani mwake akamatwe.
Ulaya hakuna tena fadhila za tamaduni na mila, kila mmoja anawajibishwa kisheria.
Una uhakika gani kama hizo sheria zikitungwa zitafuatwa kwa vyama vyote. Kwa sababu sheria nyingi zimetungwa lakini hazifuatwi. Mfano mkataba wa kuuza bandari zetu haujafuata sheria za nchi ambazo bunge limezitunga lenyewe na bunge hilo hilo linazivunja lenyewe kwa kupitisha au kupiga mhuri mikataba mibovu ambayo imevunja sheria za nchi. Ndio hapo sheria za matusi zikitungwa na akitukana mfuasi wa kile Chama Chakavu hatakamatwa lakini akitukana mpinzani lazima atakamatwa bila hata muongozo wa PGO.Kama kinachoendelea kwenye majukwaa ya kisiasa ni matusi nadhani ni wakati sasa nchi itunge sheria ya matusi ili polisi wafanye kazi yao kwa mujibu wa sheria siyo maelekezo.