Kwanini Mbeya maisha yako nafuu kiasi hiki ukilinganisha na sehemu zingine za nchi yetu?

ngoja niweke mentality ya wilaya flani hivi [emoji1]
pia nijipange kama mtalii flani

Ntakuja december mana staki vumbi, nitakaa kwa miezi mi3 ya majaribio..
Wanyakyusa ni wakarimu? vipi kuhusu ushirikina?
Ushirikina sio sana......Ila kuna baadhi ya mitaa kuna mitambo ya chuma ulete imetegeshwa.
Ngoja nikwambie ni jinsi gan inafanya kazi hio advanced chuma ulete.

Unaweza ukawa unaishi mtaa fulan tuseme mtaa K,sasa kwenye huo mtaa anaweza akawepo mtaalamu fulan,akategesha matunguli yake sehemu ambayo asilimia kubwa ya watu wa huo wanapita au kukusanyika.
Sasa Hilo tunguli ukipita linachukua 1k kwa siku haijalishi umepita mara ngap au una kias gan mfukon,jenyewe ni buku tu we utashangaa buku haipo. Siku ukipita hauna hata mia inakuwa deni siku ukipita litachukua 2k kufidishia na jana ake.

Ukipita week nzima upo dolo utashangaa siku umepita na 10k lazima kitokee kitu ushangae umetumia hio 7k kimchezo,yaan unaweza jikuta umenunua parachichi la ovyo kwa 7k afu unakuta parachichi limeoza.
Hiyo chuma ulete imekaakaa kama Songesha ya Voda vile.
 
🙏🙏,Natunza hii comment.Soon ntakua Mbeya hapo.
 
The blessed land
 
Viazi kindoo kidogo elfu 6... Maparachichi 10 elfu 3[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
daah kweli advanced [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
yani chuma ulete inadai nmècheka sana
 
duuh hii noma aisee nimecheka sana

naomba kufahamu kwa anaefahamu bei ya sasa mwezi april mchele mbeya ni bei gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…