Hili hata akili iliyo salimika inalikataa. Ili kitu kipimwe uzito kinahitaji nini na nini ? Unawezaje kuujua uzito wa jua kiufasaha hali ya kuwa huwezi kulidiriki jua ?Katika ulimwengu wa hisabati unaweza kukokotoa mambo mengi tuu bila kujali uhalisia, mfano uzito wa jua unaweza kupimwa kwa ufasaha, japokuwa hakuna aliyewahi kufika huko.
Swali hiyo miaka milioni na ziada hulo nyuma wanaweA kututhibitishia hali ilikuwaje ? Huu uongo mbona rahisi sana kuujua.Genetic changes is not a few centuries process but rather takes millions of years. Pale SA makaburu hawana hata 500 yrs hivyo haitegemewi wawe wamebadilika kijetiki kwa kiwango cha kubadilika rangi ya ngozi n.k.
Ndiyo maana hata mdau Kichuguu uu anashindwa kuzithibitisha.Nilisoma kozi moja ivi ya CHORDATE ZOOLOGY PALE UDSM kuna theory kibao za evolution lakini naona mengi ni nadharia tu?Eti mara maisha yalianzia baharin mara wengine nchi kavu!!nikaona ni story tu za kuvutia hazina mantiki yeyote!!!cha msingi mkono kinywani!!!
Kwani Wayahudi ni aina ya watu au ni dini ? Au sijaelewa hapa umemaanisha nini ?Hakuna sayansi ya namna hiyo. Ulishaoana Wayahudi wa Ethiopia ukawalinganisha na Wayahudi wa Urusi?
Nenda shule usomee sayansiKaka swali la msingi kwangu, je unaweza kututhibitishia hali ilivyokuwa miaka elfu nyuma juu ya hao mbilikimo walikuwaje ? Maana umekiri ya mbeleni huyajui sasa hayo ya nyuma mpaka wakawa vile walivyo ?
Sijakuelewa unachotaka kusema.Hili hata akili iliyo salimika inalikataa. Ili kitu kipimwe uzito kinahitaji nini na nini ? Unawezaje kuujua uzito wa jua kiufasaha hali ya kuwa huwezi kulidiriki jua ?
Kuupuuza uhalisia ni kuukaribisha UONGO, na kuishi katika UONGO dahari kwa dahari.
Hapa si ndiyo unatupa shule kaka, sasa tukisoma wote sayansu nani atakuwa anamuuliza mwenzake kuhusu sayansi ? Au kama pia swali limekushinda unasema sababu hizi nadharia hujazianzisha wewe, bali umezikuta tu.Nenda shule usomee sayansi
Namaanisja hivi ukitaka kujua kilo tano za mchele kuwa ni kweli unazijuaje ?Sijakuelewa unachotaka kusema.
Utahangaika sana kama huna misingi!Hapa si ndiyo unatupa shule kaka, sasa tukisoma wote sayansu nani atakuwa anamuuliza mwenzake kuhusu sayansi ? Au kama pia swali limekushinda unasema sababu hizi nadharia hujazianzisha wewe, bali umezikuta tu.
Hivi kwani Evolution nayo ni sayansi ? Maana hatujaona ukituthibitishia haya mambo kwa mujibi wa "Scientific Methods".
Misingi ya Sayansi si "scientific methods" kaka au kuna sayansi ya story zisizo kuwa na ithibati kama za Evolution ? Nimekuuliza swali rahisi sana lakini umeishia kujifaragua na hii ni ishara tosha kwamba huna misingi wala elimu juu ya nadharia.Utahangaika sana kama huna misingi!
Misingi ya Sayansi si "scientific methods" kaka au kuna sayansi ya story zisizo kuwa na ithibati kama za Evolution ? Nimekuuliza swali rahisi sana lakini umeishia kujifaragua na hii ni ishara tosha kwamba huna misingi wala elimu juu ya nadharia.
Hizi nyingine ni nadharia tu muwe mnaishia nazo huko huko kwenye vitabu ila mkizileta katika uhalisia zinakataa kama hivi.
Hakuna lugha chafu iliyotumika hapo, labda kama hujui maana ya lugha chafu, na ukisema lugha chafu inabidi utuambie je ni kwa mujibu wa wataalamu wa lugha ya Kiswahili au kwa mujibu wako wewe ?Juzi hapa imetolewa onyo kuwa matumzi ya lugha chafu ni nje ya kanuni za Jamii forums, na wewe ulianza kwa hizo lugha chafu.
Kwanini hukujibu swali rahisi nililo kuuliza ?Kama una elimu fupi, ni rahisi kurukia kuwa hizo ni nadharia za vitabu, lakini mimi nimeshazitumia hizo unazoita
Hakuna lugha chafu iliyotumika hapo, labda kama hujui maana ya lugha chafu, na ukisema lugha chafu inabidi utuambie je ni kwa mujibu wa wataalamu wa lugha ya Kiswahili au kwa mujibu wako wewe ?
Kwanini hukujibu swali rahisi nililo kuuliza ?
Kuzitumia wewe siyo kuonyesha ukweli wa nadharia hizo, leo mangapi ya kwenye nadharia wanayatumia watu lakini kwenye uhalisia hayakai ? Sisi kipimo chetu siyo wewe kutumia kipimo chetu ni uhalisia, sababu uhalisia upo hata kabla ya kuwepo kwa hizo nadharia.
Nyie watu huwa mnafanana sana. Maneno mengi hamjibu hoja.kwenye optimization kama Genetic Algorithms zinazofanya kazi kwa msingi huo wa evolutionary process na zinafanya kazi vizuri sana. Kama hujui kuwa unapotuma au kutumiwa text simu yako inatumia hizo evolututionary theories kama genetic algorithms, basi tupilia mbali simu yako itakuwa inakudanganya. Kuna vitu vingi vya kawaida sana kuinyesha jinsi eveolutionarry processes zinavyofanya kazi kwenye miili na mauombo viumbe mbalimbali. Kwa mfano watu wanaoishi kwenye mazingira yenye mbu wengi wa malaria huhimiri malaria miilini mwao kwa muda mrefu kuliko wale wanaotoka katika mazingira yasiyokuwa na mbu; unaweza kusema wanjenga imunity lakini ndiyo hiyo evolutionary process yenyewe.
Mwishoni, kwangu mimi kile nilichosoma niachie mimi na usinifundishe kukiacha, na wewe ulichosoma pia nakuachia wewe na wala sikukuambie ukiache. Kuna taabu sana ya kwenye tafsiri ya "Scientific process" au "Scientific methods" hasa kwa watu wasioijua kikamilifu; zamani sana niliwahi kuambiwa "elimu nusu ni sumu."
Hapa si ndiyo unatupa shule kaka, sasa tukisoma wote sayansu nani atakuwa anamuuliza mwenzake kuhusu sayansi ? Au kama pia swali limekushinda unasema sababu hizi nadharia hujazianzisha wewe, bali umezikuta tu.
Hivi kwani Evolution nayo ni sayansi ? Maana hatujaona ukituthibitishia haya mambo kwa mujibi wa "Scientific Methods".
Sababu niko serous na mambo ya kielimu, siwezi kufurahi napoona mtu unapoteza umri katika mambo ya dhans na utata, zaidi ya kukuonea huruma tu.Jibu rahisi ni kuwa "sina cha kukujibu zaidi ya hapo;" je umefurahi? Ila sitaacha nadharia hizo vitabuni kama ulivyonishauri.
Ndiyo maana nimekuacha kama ulivyo na mimi nimefanya kazi yangu au niseme nimetimiza wajibu wangu.Hatuko hapa kubishana na kupambana bali ni tunataka kubadilishana mawazo naa ufahamu wetu tu. Sawa?
Falsafa,na huwezi kuithibitisha evolution kwa njia za kisayandi, zaidi kucheza na maneno na story nyingi.Kama evolution sio sayansi ni nini?
Falsafa,na huwezi kuithibitisha evolution kwa njia za kisayandi, zaidi kucheza na maneno na story nyingi.
Kama unaamini utabiri wa hali ya hewa au unaamini simu yako ya kiganjani inapokuonesha direction basi elewa kuwa Inverse distance weighted interpolation inaweza pia kutumika kukadiria uzito wa kitu kilicho mbali.Namaanisja hivi ukitaka kujua kilo tano za mchele kuwa ni kweli unazijuaje ?
Maana uhalisia ndiyo UKWELI wenyewe sasa kama kuna vitu vinafanyika bila kuzingatia uhalisia huoni vitu hivyo vinakuwa na sofa ya UONGO ?
Falsafa ni nini?