Kwanini Mbilikimo wengi wanapatikana kwenye Misitu ya DRC

Unawezaje?
Katika ulimwengu wa hisabati unaweza kukokotoa mambo mengi tuu bila kujali uhalisia, mfano uzito wa jua unaweza kupimwa kwa ufasaha, japokuwa hakuna aliyewahi kufika huko.

Tukirudi kwenye mada yetu nafikiri unakumbuka kuwa viumbe hai na visivyo hai huwa vinachembechembe za mkaa (Carbon). Ukichoma magome ya miti au mifupa ya ng'ombe kwa muda fulani utaziona chembechembe hizo. Kiasili hii Carbon inatokea kwa aina tatu (isotopes of carbon) na mojawapo ya hizo ni Carbon-14. Sasa hii isotope huwa inaharibika baada ya muda fulani (radioactive decay), hivyo kwakulinganisha na zile ambazo hazijaharibika (mfano za viumbe hai) unaweza kukokotoa nyakati ambazo kiumbe kiliishi.
 
Katika ulimwengu wa hisabati unaweza kukokotoa mambo mengi tuu bila kujali uhalisia, mfano uzito wa jua unaweza kupimwa kwa ufasaha, japokuwa hakuna aliyewahi kufika huko.

Kwa ufasaha? Hiyo nakataa...labda uniambie wanakadiria tu.


Still huwezi kupata matokeo ya uhakika. Utakachopata ni makadirio tu. Na makadirio si ufasaha wala usahihi.

Kwa hiyo, hapo utaona kuwa hata sayansi haina majbu kwa kila kitu na kwa baadhi ya mambo inaishia kukadiria tu.
 

Ni kweli hapo niliteleza kidogo neno fasaha si sahihi ila kadirio bora ndiyo tafsiri nzuri.
 
Ahsanteni sana wadau leo nimeelimika sana. Ila saluti kubwa kwako Kichuguu.
 
Salute kwako Kichuguu. Hakika asiyeweza kuelewa maelezo yako si kosa lake ila ni madhara ya hizi shule zetu za kata.
 
Salute kwako Kichuguu. Hakika asiyeweza kuelewa maelezo yako si kosa lake ila ni madhara ya hizi shule zetu za kata.
Kwa hiyo kipimo chako cha mtu anayeelewa vizuri ni yule anayekubaliana na bwana Kichuguu??!!! Funny as it may sound but this sounds too naive and stupid (no offence) but trust me there are very good counter argument against evolution and all you need to do to get them is using your keyboard wisely.
 

G wale watoto kwenye hiyo link wanapendeza sana, yaani nimewazimia ghafla and that is why I salute the creator and originator of the University the Almighty Allah(sw). (Najua watu watapanic hapa.........pole kwa yeyote atakayekwazika.)
 
G wale watoto kwenye hiyo link wanapendeza sana, yaani nimewazimia ghafla and that is why I salute the creator and originator of the University the Almighty Allah(sw). (Najua watu watapanic hapa.........pole kwa yeyote atakayekwazika.)

I know....they are super adorable!

Na kuwa Wazungu waliacha "mbegu" visiwani humo, ni uzushi. Nywele nyeupe zao wenyewe 🙂
 
Hivi mbilikimo ni sababu ya genes au kuna sababu nyingine yoyote. Je kama niko kawaida, naweza kupata mtoto mbilikimo?
 
Hivi mbilikimo ni sababu ya genes au kuna sababu nyingine yoyote. Je kama niko kawaida, naweza kupata mtoto mbilikimo?

Ndiyo unaweza kuzaa mtoto mbilikimo aina ya dwarf. Nilieleza huko nyuma kuwa kuna mbilikimo aina mbili: pigmies na dwarfs. Dwarf wanatokana na pituitary glands kwenye miili yao kushindwa kutengeza hormones zinazohitajika ili mwili uweze kukua. Tatizo hili linaweza kumpata mtoto yeyote duniani bila kujali mazingira anamoishi; kwa hiyo hata wewe unaweza kumpata mtoto wa aina hiyo.
 
Asante Kichuguu. Nini tofauti ya hao wawili maana wote si ndio hao hao?
 

Kuna mambo mengine ni basic unaposhindwa kuelewa inaleta mashaka, unless uwe umeamua kuwa mbishi. Wewe usiye sound naive na stupid, zilete hizo arguments then tuzipime. Everyone knows via search engines unapata a lot of info, but for your benefit sio kila kinachopatikana via ur keyboard kipo sahihi. Unavyoamua kubisha inabidi ubishe kwa hoja za msingi sio kwa kuandika tu. Nimesoma na kuyapima aliyoyaandika Kichuguu yanaleta mashiko kwa elimu ndogo sana na ya kawaida ya sayansi kimu shule ya msingi au ya biologia ya form two. Sio kwamba hakuna more theories againsts the subject, may be kuna billions of theories but sio zote zina mashiko.
 

Wewe mjanja, hata beer unapojifunza kunywa huwa chungu kidogo,evolution iki take place (sijui ni millions of years) inakuwa tamu, kwenye maelezo mengine mnasema evolution haiwezi kuonwa kwa kuwa inachukua millions of years, mkitoa mifano mnasema qrolokwini ambayo haina hayo mamillion, mmh kuna wakati inakuwa ngumu kumeza.
 

Shangaa na wewe,hata hivyo kuna nadharia nyingine inayohusu klorokwini kushindwa kufanya kazi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…