Uchaguzi wa taifa kubwa USA Kwaio BBC ya uingereza walivyokua wanatoa projection nakuwahoji kina Trump ilikua ni kuvujisha taarifa...uchaguzi huu wenyewe wa mabalozi wa mtaa wa nchi inayotegemea misaada kununua V8 za mafisadi ? Who is interested ? Tumia iyo ๐ kunyea na sio kuwazia kama hapa ๐๏ธJe, ni halali kuvujisha Taarifa za Uchaguzi wa ndani wakati zoezi la Kupiga Kura halijakamilika?
Ona sasa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania umekuwa ndio habari kuu ya Al Jazeera Kwa Siku ya Leo
Viongozi tuwe Wazalendo ๐ผ
Unajisaidia ndani halafu hutaki harufu isikike nje?Je, ni halali kuvujisha Taarifa za Uchaguzi wa ndani wakati zoezi la Kupiga Kura halijakamilika?
Ona sasa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania umekuwa ndio habari kuu ya Al Jazeera Kwa Siku ya Leo
Viongozi tuwe Wazalendo ๐ผ
Wewe Sativieee uachage ujungamavi
RTD ๐๐๐๐ ya Pascal MayallaUnajisaidia ndani halafu hutaki harufu isikike nje?
Shida ya wana ccm wengi wanafikiria bado tupo zama za RTD
Ya juma ngondaeRTD ๐๐๐๐ ya Pascal Mayalla
Al Jazeera wako biased hiyo inajulikana ๐ผWazalendo au wajinga?
Uchaguzi gani wakati kuna watu wanauawa kwa kujaribu kuzuia wizi na uporaji wa kura?Je, ni halali kuvujisha Taarifa za Uchaguzi wa ndani wakati zoezi la Kupiga Kura halijakamilika?
chaguzi zetu zimejaa vichekesho mwaka kuna sanduku la wakina mama mimi nimeuliza kwanini la akina baba halipo wameniambia.wao hawahusiki ndiyo utaratibu wa mwaka huuJe, ni halali kuvujisha Taarifa za Uchaguzi wa ndani wakati zoezi la Kupiga Kura halijakamilika?
Ona sasa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania umekuwa ndio habari kuu ya Al Jazeera Kwa Siku ya Leo
Viongozi tuwe Wazalendo ๐ผ
Kuna mzalendo hapa kwetu..? Maana uzalendo maana yake sijaijua mm mpaka sasaJe, ni halali kuvujisha Taarifa za Uchaguzi wa ndani wakati zoezi la Kupiga Kura halijakamilika?
Ona sasa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania umekuwa ndio habari kuu ya Al Jazeera Kwa Siku ya Leo
Viongozi tuwe Wazalendo ๐ผ
Unaiba kura..hufati pillar za FREE & FAIR ELECTION.Je, ni halali kuvujisha Taarifa za Uchaguzi wa ndani wakati zoezi la Kupiga Kura halijakamilika?
Ona sasa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania umekuwa ndio habari kuu ya Al Jazeera Kwa Siku ya Leo
Viongozi tuwe Wazalendo ๐ผ
Mshamtishia sana acha akama sheria ina mhusu akanyee kwelijamani mbowe anaenda kunyea ndoo segereeaa mazeee
Uchaguzi ulishaisha kabla hata kuanza. Ana kila uhalali wa kuambia ulimwengu ubaradhuli wa Samia, Mchengerwa na CCM yao.Je, ni halali kuvujisha Taarifa za Uchaguzi wa ndani wakati zoezi la Kupiga Kura halijakamilika?
Ona sasa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania umekuwa ndio habari kuu ya Al Jazeera Kwa Siku ya Leo
Viongozi tuwe Wazalendo ๐ผ
Wazalendo wa wizi wa kura na uchafuzi wa uchaguzi kiasi hiki?Je, ni halali kuvujisha Taarifa za Uchaguzi wa ndani wakati zoezi la Kupiga Kura halijakamilika?
Ona sasa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania umekuwa ndio habari kuu ya Al Jazeera Kwa Siku ya Leo
Viongozi tuwe Wazalendo ๐ผ
Alichoongea ni ukweli ama uongo? Maana anachosema Mbowe ni uhalifu ulio wazi, Aljazeera wameripoti na sio waliotenda uovu. Mkitaka ccm nendeni Aljazeera mkabalance storyAl Jazeera wako biased hiyo inajulikana ๐ผ
Tayari ni wajinga ndo maana anasema tuwe Wazalendo.Wazalendo au wajinga?
Wewe ni mpumbavuJe, ni halali kuvujisha Taarifa za Uchaguzi wa ndani wakati zoezi la Kupiga Kura halijakamilika?
Ona sasa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania umekuwa ndio habari kuu ya Al Jazeera Kwa Siku ya Leo
Viongozi tuwe Wazalendo ๐ผ
Mchengerwa alipokubali ombi la mkwewe kubaka demokrasia hakujua kuwa dunia ni kijiji? Mumeua watu wengi sana katika uchaguzi huu mwakani si ndiyo nchi itatapakaa damu za wapinzani ili muendelee kutawala na kuzidi kuifukarisha nchi.Je, ni halali kuvujisha Taarifa za Uchaguzi wa ndani wakati zoezi la Kupiga Kura halijakamilika?
Ona sasa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania umekuwa ndio habari kuu ya Al Jazeera Kwa Siku ya Leo
Viongozi tuwe Wazalendo ๐ผ