Ndugaye anamuogopa Mbowe kisa msimsmo wake juu ya covid-19 kina Mdee.Jana nimecheka sana speaker anadai kuwa Mbowe amepotosha kuhusu taarifa ya CAG wakati Mbowe hakuzungumzia chochote kuhusu taarifa hiyo![emoji23][emoji23][emoji23]
Watakubali tuTumewaambia mara kadhaa , na labda turudie tena Bilionea Mbowe ndiye anayetoa Dira ya Taifa
MATAGA, CHAWA,AOB...
Hajapona madhala ya yule bundi aliyeingia bungeniHalafu sheria za bunge haziruhusu kumuongelea bngeni mtu ambae hana nafasi ya kujibu bungeni. By the way. Hatuna bunge bali tuna kamati kuu B ya Ccm.
Woote hawana sifa kabisaUkona hivi ujue WAJUMBE walio ndani ya mjengo:
1.Wamekosa UBUNIFU
2.Wamekosa MAONO(vision),
3.Wamekuwa wanaenda mwendo wa MAELEKEZO
4.Wajumbe wanaangalia maslahi yao binafsi.
WAJUMBE WAMEKOSA:
1.Ajenda
2.Utashi wa kusimamia masilahi ya wananchi
Wapo kwenye kamati ya chamaUsitegemee jambo jipya toka kwa wanao hudumu kwenye ilo jengo.Toka awamu ya kusifu na kuabudu ilivyoanza hakuna cha maana kilichozungumzwa toka kwa wale walio wengi zaidi ya kusema watu na kusifu na kuabudu.Na sasa hivi wako wenyewe unachotegemea nini.
Wanataka kumsafisha mtu waoTatizo kubwa lipo kwenye alichokisema kuhusu wao
Kama wanavyohaha na ripoti ya CAG kwa kila mtu kujaribu kujieleza, na alichosema Mbowe kinawatesa kama inavyowatesa ripoti ya CAG...
Hayo yote ni matokea ya kutotaka kukosolewa.... Kila anayekosoa anaonekana muongo. MADHAMBI YAO YAPO HADHARANI SASA WANAHAHA
Nijuacho, kama Mbowe amesema uwongo, kuna mahakama... The same to CAG, badala ya wao kuhangaika kutaka kuuaminisha uma kuwa ameongea uwongo, WAKAMSHITAKI TU
Lile bundi nalo bure kabisa, afadhali hata corona!Hajapona madhala ya yule bundi aliyeingia bungeni
SaluteLile bundi nalo bure kabisa, afadhali hata corona!
Mahubiri ya nini wakati Injili inajieleza yenyewe!
Ni kwa sababu wanaona wakishachaguliwa wanatumikiwa na wananchi badala ya wao kuwatumikia wananchi. Wote hao tunawatumikia sisi.Jana na Leo jina la mbunge wa zamani Freeman Mbowe limekuwa likitajwa tajwa sana bungeni huku wabunge wakipiga makofi na wengine vigelegele.
Nijuavyo mimi hili ni bunge la bajeti na Freeman Mbowe siyo mbunge na wala hajishughulishi na kazi za bunge
Kinachonishangaza wabunge wanapojadili mpango wa taifa wa maendeleo 2020/25 wanamrejea Mbowe.
Wanapojadili hotuba ya ofisi ya Waziri mkuu wanamrejea Mbowe kwamba kwanini bado ni mwenyekiti wa Chadema wakati ana mbunge mmoja tu.
Ndio najiuliza Freeman Mbowe ni nani katika bajeti ya nchi hii?
Au ni mtu maarufu sana ukimtajataja unapata kiki?
Niishie hapo.
Sasa Wewe huamini injili, imejielezaje kwako?!Unawazingua Mchungaji Matsai na Erasto.
Wamekuzingua?
Mpotoshaji yoyote mwenye kiwango cha kitaifa lazima idhibitiwe nje ndani,mtu aliyeshindwa kuiongoza taasisi yake anawezaje kuwa na mawazo mbadala ya kulijenga Taifa?Jana na Leo jina la mbunge wa zamani Freeman Mbowe limekuwa likitajwa tajwa sana bungeni huku wabunge wakipiga makofi na wengine vigelegele.
Nijuavyo mimi hili ni bunge la bajeti na Freeman Mbowe siyo mbunge na wala hajishughulishi na kazi za bunge
Kinachonishangaza wabunge wanapojadili mpango wa taifa wa maendeleo 2020/25 wanamrejea Mbowe.
Wanapojadili hotuba ya ofisi ya Waziri mkuu wanamrejea Mbowe kwamba kwanini bado ni mwenyekiti wa Chadema wakati ana mbunge mmoja tu.
Ndio najiuliza Freeman Mbowe ni nani katika bajeti ya nchi hii?
Au ni mtu maarufu sana ukimtajataja unapata kiki?
Niishie hapo.
Yule towashi wa kushi alikuwa anaisoma injili lakini hakuielewa mpaka philipo alipomfafanulia. Hayo ndiyo mahubiri. Mbowe ni mfano, mziki wenyewe ni 'kazi inaendelea'Mahubiri ya nini wakati Injili inajieleza yenyewe!
Huyu si ndiye anaupigia chapuo mradi wa bandari ya Bagamoyo.Spika amekua mkali sana na kuoneshwa wazi hapendi kuona miradi ya JPM ikitolewa kasoro ni hekima zaidi nae aache kumsema vibaya Mbowe.