Kwanini Mbowe anakuwa sehemu ya mjadala wa bunge la bajeti pasipo na ulazima? Je, ni kwa sababu ni Mtu Maarufu?!

Kwanini Mbowe anakuwa sehemu ya mjadala wa bunge la bajeti pasipo na ulazima? Je, ni kwa sababu ni Mtu Maarufu?!

Jana nimecheka sana speaker anadai kuwa Mbowe amepotosha kuhusu taarifa ya CAG wakati Mbowe hakuzungumzia chochote kuhusu taarifa hiyo![emoji23][emoji23][emoji23]
Ndugaye anamuogopa Mbowe kisa msimsmo wake juu ya covid-19 kina Mdee.

Maana anajua cdm ikishakataa rufaa ya kina Matiko ndiyo wanakosa sifa ya kubakia bungeni.
 
Halafu sheria za bunge haziruhusu kumuongelea bngeni mtu ambae hana nafasi ya kujibu bungeni. By the way. Hatuna bunge bali tuna kamati kuu B ya Ccm.
Hajapona madhala ya yule bundi aliyeingia bungeni
 
Ukona hivi ujue WAJUMBE walio ndani ya mjengo:
1.Wamekosa UBUNIFU
2.Wamekosa MAONO(vision),
3.Wamekuwa wanaenda mwendo wa MAELEKEZO
4.Wajumbe wanaangalia maslahi yao binafsi.

WAJUMBE WAMEKOSA:
1.Ajenda
2.Utashi wa kusimamia masilahi ya wananchi
Woote hawana sifa kabisa
 
Usitegemee jambo jipya toka kwa wanao hudumu kwenye ilo jengo.Toka awamu ya kusifu na kuabudu ilivyoanza hakuna cha maana kilichozungumzwa toka kwa wale walio wengi zaidi ya kusema watu na kusifu na kuabudu.Na sasa hivi wako wenyewe unachotegemea nini.
Wapo kwenye kamati ya chama
 
Tatizo kubwa lipo kwenye alichokisema kuhusu wao
Kama wanavyohaha na ripoti ya CAG kwa kila mtu kujaribu kujieleza, na alichosema Mbowe kinawatesa kama inavyowatesa ripoti ya CAG...

Hayo yote ni matokea ya kutotaka kukosolewa.... Kila anayekosoa anaonekana muongo. MADHAMBI YAO YAPO HADHARANI SASA WANAHAHA

Nijuacho, kama Mbowe amesema uwongo, kuna mahakama... The same to CAG, badala ya wao kuhangaika kutaka kuuaminisha uma kuwa ameongea uwongo, WAKAMSHITAKI TU
Wanataka kumsafisha mtu wao
 
Jana na Leo jina la mbunge wa zamani Freeman Mbowe limekuwa likitajwa tajwa sana bungeni huku wabunge wakipiga makofi na wengine vigelegele.

Nijuavyo mimi hili ni bunge la bajeti na Freeman Mbowe siyo mbunge na wala hajishughulishi na kazi za bunge

Kinachonishangaza wabunge wanapojadili mpango wa taifa wa maendeleo 2020/25 wanamrejea Mbowe.
Wanapojadili hotuba ya ofisi ya Waziri mkuu wanamrejea Mbowe kwamba kwanini bado ni mwenyekiti wa Chadema wakati ana mbunge mmoja tu.

Ndio najiuliza Freeman Mbowe ni nani katika bajeti ya nchi hii?

Au ni mtu maarufu sana ukimtajataja unapata kiki?

Niishie hapo.
Ni kwa sababu wanaona wakishachaguliwa wanatumikiwa na wananchi badala ya wao kuwatumikia wananchi. Wote hao tunawatumikia sisi.
 
Mbowe ni Shujaa, Mbowe ni MWAMBA.
Kapiga za mbavu kama kawaida MaCCM lazima mkae.
 
Jana na Leo jina la mbunge wa zamani Freeman Mbowe limekuwa likitajwa tajwa sana bungeni huku wabunge wakipiga makofi na wengine vigelegele.

Nijuavyo mimi hili ni bunge la bajeti na Freeman Mbowe siyo mbunge na wala hajishughulishi na kazi za bunge

Kinachonishangaza wabunge wanapojadili mpango wa taifa wa maendeleo 2020/25 wanamrejea Mbowe.
Wanapojadili hotuba ya ofisi ya Waziri mkuu wanamrejea Mbowe kwamba kwanini bado ni mwenyekiti wa Chadema wakati ana mbunge mmoja tu.

Ndio najiuliza Freeman Mbowe ni nani katika bajeti ya nchi hii?

Au ni mtu maarufu sana ukimtajataja unapata kiki?

Niishie hapo.
Mpotoshaji yoyote mwenye kiwango cha kitaifa lazima idhibitiwe nje ndani,mtu aliyeshindwa kuiongoza taasisi yake anawezaje kuwa na mawazo mbadala ya kulijenga Taifa?
 
Mbowe akili kubwa,ametia mafuta ya taa kwenye shimo la nyoka wote wamekurupuka. Hotuba ya Mbowe imetusaidia Watanzania kujua hasara tuliyopata kuwa na Bunge sampuli hii,yaani tunawalipa watu mishahara na posho kwenda kuendekeza mipasho,matusi na kejeli huku Bunge zima likirindima kushangilia matusi,hiki ni kipimo tosha kuwa tumepigwa,hakuna Bunge pale. Asante Mh. Mbowe kwa kuwachezesha kiduku hawa mataga.
 
Spika amekua mkali sana na kuoneshwa wazi hapendi kuona miradi ya JPM ikitolewa kasoro ni hekima zaidi nae aache kumsema vibaya Mbowe.
 
Spika amekua mkali sana na kuoneshwa wazi hapendi kuona miradi ya JPM ikitolewa kasoro ni hekima zaidi nae aache kumsema vibaya Mbowe.
Huyu si ndiye anaupigia chapuo mradi wa bandari ya Bagamoyo.

Mi namuona MNAFIKI na si MKALI.
 
BAVICHA Tupo tuna mobilize michango, Siku si nyingi tutampeleka Milembe akapate sindano maana hali yake sio nzuri sana!
 
Back
Top Bottom