Kwanini mchambuzi Oscar Oscar alifukuzwa kipindi cha michezo E FM?

Alifukuzwa au alipangiwa majukumu mengine?
 
Kila mchambuzi anaangalia angle yake ili aweze kujitofautisha na wengine, Oscar kaamua kufikisha ujumbe kwa njia ya comedy na inamlipa kuliko hao waandishi ambao wako serious Sana, Oscar anajua anachokifanya
Alfu na yey pia Ana master uzamili sijui Ni chuo gani hicho imempa mweu degree hyo
 
We jamaa nilijua utakuwa tu na info za ndani, nilotaka niku tag nikasema haina haja atapita hili jukwaa ataona atajibu
 
Msamiati tu, pointi ni kwamba aliondolewa
Pamoja na kuhamishiwa hicho kipindi cha jioni lakini pia bado yupo kwa kipindi cha Sports upande wa TV akiwa pamoja na Geoff Lea na Kitenge?
 
Oscar Oscar hajawahi kuwa mchamuzi mahiri wa soka.
Wachambuzi mahiri wa soka Tanzania ni....

1.Theogenes Alex kASHASHA.
2. George Ambangile
3. Jemedari said Kazumari.


Wengine wooote unaowajua ni wapiga kelele wa soka.
Tusaidie kutwambia jemedari Said anachambua nini yani katika chambuzi zake kipi anachokichambua ni dkka 90 za mchezo , siasa za mchezo, umbea wa mchezo ama chuki za mchezo
 
Oscar Oscar hajawahi kuwa mchamuzi mahiri wa soka.
Wachambuzi mahiri wa soka Tanzania ni....

1.Theogenes Alex kASHASHA.
2. George Ambangile
3. Jemedari said Kazumari.


Wengine wooote unaowajua ni wapiga kelele wa soka.
Oyaa. Sasa mbona unamtaja marehemu...!?
Mchambuzi wa Pre, mid na post match anakufanyia A class analysis ni alikuwa (kabla betting companies hazijamchukua) ni Dr Leaky Abdallah tangu enzi za analogy to digital....RIP Mwl Kashasha alikua mtaalamu sana wa matukio ya match na anchors analysis in break,....na conclusion...yaani alikua anacheza na matukio ya uwanjani....
Hao wengine uliowataja ni wa wachambuzi wa ordinary situation na masimulizi ambayo mimi na wewe tunayoana uwanjani nothing hidden analysis.....tena wakichambua teams za nje wamasimulia tu Cltr+C then Cltr+V from Goal.com na Skysports na Supersportz ect ect

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
We jamaa nilijua utakuwa tu na info za ndani, nilotaka niku tag nikasema haina haja atapita hili jukwaa ataona atajibu
Ukiona sijui Jambo / Kitu basi jua ni bahati mbaya sana ila kwa Tasnia na Fani yangu na tabia ya kupenda Kujichanganya na Makundi mbalimbali ya Watu, Kujishusha na kutopenda Kujulikana huku nikiwa na Vyanzo Rafiki vingi vya Kisekta GENTAMYCINE sitoacha kuwa Informed wa Masuala na ndiyo maana Wapumbavu, Waswahili na wenye Wivu na Chuki nami Kutwa wanasema Mimi najifanya najua kila Kitu.
 
Shaffih Dauda mzee wa ku copy kutoka goal.com
 
Oscar Oscar hajawahi kuwa mchamuzi mahiri wa soka.
Wachambuzi mahiri wa soka Tanzania ni....

1.Theogenes Alex kASHASHA.
2. George Ambangile
3. Jemedari said Kazumari.


Wengine wooote unaowajua ni wapiga kelele wa soka.
Kazumari anachambua nini, Dagaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…