Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alfu na yey pia Ana master uzamili sijui Ni chuo gani hicho imempa mweu degree hyoKila mchambuzi anaangalia angle yake ili aweze kujitofautisha na wengine, Oscar kaamua kufikisha ujumbe kwa njia ya comedy na inamlipa kuliko hao waandishi ambao wako serious Sana, Oscar anajua anachokifanya
We jamaa nilijua utakuwa tu na info za ndani, nilotaka niku tag nikasema haina haja atapita hili jukwaa ataona atajibuKulitokea Ugomvi wa Maneno na Kuchukiana kati yake na Mchambuzi Mwenzake Jemedari Said.
Wote wawili ni Mashabiki lia lia wa Yanga SC ila kwa sasa Jemedari Said ana Chuki ya Kimaslahi na Yanga SC huku Oscar Oscar akiwa na Ukaribu na Matajiri na Wadhamini wa Yanga SC akina GSM.
Mwisho wote Wawili Oscar na Jemedari wanajiona ni Magalacha ( Mafundi ) katika Uchambuzi wa Mpira hali ambayo inapelekea Kudharauliana huku kila Mmoja akijiona yuko juu ya Mwenzake.
Kiutendaji na kama kweli unatafuta Ufanisi wa Kipindi kuwaweka hawa Wawili na hivi wakiwa na Uhasama wao huku wakiwa Wameshajibizana Ofisini ( Kipindini ) ni Hatari Kubwa hivyo kwakuwa Chombo ( EFM Radio na TvE ) inajua Potential yao na Upeo wao mkubwa ( hasa Kiakili ) Suluhu ilikuwa si Kuwafukuza bali ni Kuwatenganisha tu katika Vipindi huku Juhudi za Kuwapatanisha zikifanyika taratibu na kwa Umakini mkubwa.
Pamoja na kuhamishiwa hicho kipindi cha jioni lakini pia bado yupo kwa kipindi cha Sports upande wa TV akiwa pamoja na Geoff Lea na Kitenge?Msamiati tu, pointi ni kwamba aliondolewa
Tusaidie kutwambia jemedari Said anachambua nini yani katika chambuzi zake kipi anachokichambua ni dkka 90 za mchezo , siasa za mchezo, umbea wa mchezo ama chuki za mchezoOscar Oscar hajawahi kuwa mchamuzi mahiri wa soka.
Wachambuzi mahiri wa soka Tanzania ni....
1.Theogenes Alex kASHASHA.
2. George Ambangile
3. Jemedari said Kazumari.
Wengine wooote unaowajua ni wapiga kelele wa soka.
Oyaa. Sasa mbona unamtaja marehemu...!?Oscar Oscar hajawahi kuwa mchamuzi mahiri wa soka.
Wachambuzi mahiri wa soka Tanzania ni....
1.Theogenes Alex kASHASHA.
2. George Ambangile
3. Jemedari said Kazumari.
Wengine wooote unaowajua ni wapiga kelele wa soka.
Inawezekana mchizi mwenyewe ndio KazimariYani Kazumari unamweka miongoni mwa wachambuzi mahiri? Aisee. Kweli Mungu katuumba tofautitofauti.
Ukiona sijui Jambo / Kitu basi jua ni bahati mbaya sana ila kwa Tasnia na Fani yangu na tabia ya kupenda Kujichanganya na Makundi mbalimbali ya Watu, Kujishusha na kutopenda Kujulikana huku nikiwa na Vyanzo Rafiki vingi vya Kisekta GENTAMYCINE sitoacha kuwa Informed wa Masuala na ndiyo maana Wapumbavu, Waswahili na wenye Wivu na Chuki nami Kutwa wanasema Mimi najifanya najua kila Kitu.We jamaa nilijua utakuwa tu na info za ndani, nilotaka niku tag nikasema haina haja atapita hili jukwaa ataona atajibu
Shaffih Dauda mzee wa ku copy kutoka goal.comOyaa. Sasa mbona unamtaja marehemu...!?
Mchambuzi wa Pre, mid na post match anakufanyia A class analysis ni alikuwa (kabla betting companies hazijamchukua) ni Dr Leaky Abdallah tangu enzi za analogy to digital....RIP Mwl Kashasha alikua mtaalamu sana wa matukio ya match na anchors analysis in break,....na conclusion...yaani alikua anacheza na matukio ya uwanjani....
Hao wengine uliowataja ni wa wachambuzi wa ordinary situation na masimulizi ambayo mimi na wewe tunayoana uwanjani nothing hidden analysis.....tena wakichambua teams za nje wamasimulia tu Cltr+C then Cltr+V from Goal.com na Skysports na Supersportz ect ect
Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
Kazumari anachambua nini, Dagaa?Oscar Oscar hajawahi kuwa mchamuzi mahiri wa soka.
Wachambuzi mahiri wa soka Tanzania ni....
1.Theogenes Alex kASHASHA.
2. George Ambangile
3. Jemedari said Kazumari.
Wengine wooote unaowajua ni wapiga kelele wa soka.