Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Hapo vip!!
Ukweli ni kwamba mtu mnafiki ni mbaya kuliko adui uliokwisha kumuweka mbali...mnafiki nanmchawi huwa wanafanana kitabia.
Moja kwa moja niende kwenye mada husika,ni hivi huyu mchungaji Kimaro wa kkt kijito nyama ni bora abadili dini na kuwa muslam au abadili dhehebu na kuwa Roman Catholic kwasababu zifuatazo:-
Kwanza kuna clips moja inasambaa sana mitandoni,akisikika akisema Roman Catholic ni dhehebu sahihi na la kweli kwa wa kristo,akasema haya madhehebu mengine tofauti na Roman Catholic ni madalali wa kuuza vitu..binafsi sijaele vitu gani tunauzwa...maana yake ni kwamba hata hao kkt ambao ndio waliomlea na kumkuza kiroho amewazalilisha kwa kuwaita madalali wa kuuza vitu.
Sasa kama kkt ni madalali anafanya nini kwa madalali kwa nini asiende kule kwenye dini ya kweli?
Cha ajabu na kushangaza baada ya kupewa likizo na kuagizwa kuripo makao makuu ameanza kufanya harakati na wachagga wenzake na wafuata upepo unapovuma kuwachafua viongozi, ni kimaanisha maskofu,ya kwamba wanamuonea na ni dalili yakuondolewa pale.
Sasa kama yeye sio anatetea maslahi anayoyapata pale hizi harakati za nini...si amshukuru Mungu na kwenda kule kwenye dhehebu sahihi..unang'ang'ania pahala ambapo apako sio sahihi kwasababu gani..basi itakuwa ni kwa maslahi fulani fulani ndio tafsiri yake.
Pili namshauri abadili dini nakuwa muslam kwasababu kuna clip amesikika akisema vijana wa kristo sio waaminifu ni wezi..na ndio maana anapenda kufanya kazi na vijana wa kislam kwasababu ni waaminifu...ha!ha!ni jambo la kushangaza sana.
Sasa inakuwaja anashirikiana, na ana imani inayofafana na wezi?si akawafuate waaminifu...cha ajabu wanaompa sadaka ni hao wahizi..waliomstiri mpaka akafika hapo ni hao waahizi ndio walio mfikisha.
Nashauri apangiwe kazi nyingine au afukuzwe kabisa,hili la mahubiri sio, anaroho ya kiburi fulani hivi..atashetani alijiinua mbinguni akafukuzwa.
Inamaana hawa watoto wadogo wakisikiliza haya mahubiri yake ya kuponda wakristo si wataona uslam ndio dini yenye watu waaminifu...?wewe